Pinned Tweet
Kifo chako kimetuachia funzo na kuwatambua wale wazalendo wa kweli na wale wafuata upepo kama bendera
Unaanzaje kunilazimisha nimkubali kiongozi ambaye hata haeleweki?
Endelea kustarehe kwa amani Mzalendo no.1 Afrika hakika ardhi yatu ipo siku itanena ukweli.
Salum 40s鈩光劉馃嚬馃嚳 retweeted
Kipindi hiki bunge linaendelea huko dodoma halina mvuto sababu wanachoongea hakina maana. Bunge linatenga siku ya kumpongeza rais badala kujadili ripoti ya CAG.
#kataawahuni
Salum 40s鈩光劉馃嚬馃嚳 retweeted
Baadhi ya akaunti za Twitter ambazo zina followers zaidi ya Milioni moja zimerudishiwa kitiki cha blue leo na Kampuni ya Twitter bila kulipia gharama za kitiki hicho, hatua hii inakuja baada ya baadhi ya Watu maarufu kusema hawatolipia blue tick zao.
#MillardAyoUPDATES
Salum 40s鈩光劉馃嚬馃嚳 retweeted
Ilikua Mvua,ikawa pia jua alikua na sisi,zungumza nasi kama wananchi wake. Asante kwa Maisha yako.
RIP JPM
Salum 40s鈩光劉馃嚬馃嚳 retweeted
Mwanzilishi wa Twitter, Jack Dorsey ni miongoni mwa watu mashuhuri duniani ambao alama ya uthibitisho imeondolewa kwenye akaunti zao baada ya Elon Musk kuleta utaratibu wa kulipia.
Papa Francis, Beyonce, Bill Gates, Rais Trump ni miongoni mwa wengi walioondolewa alama hizo.
Asante Mungu kwa kuniondolea mnafiki mwengine katika hii app,
tuna viongozi hovyo sana taifa hili
Sijaona sababu ya alichokifanya馃毊
1
1
88
Salum 40s鈩光劉馃嚬馃嚳 retweeted
Sauti kutoka Kikao kilichohusisha wawakilishi kutoka wizara ya Uwekezaji, Viwanda na biashara na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kikijadili mustakabali na maendeleo ya Tanzania ya viwanda.
Salum 40s鈩光劉馃嚬馃嚳 retweeted
Serikali ya Rwanda imewatangazia Waajiri na Waajiriwa wa Sekta za Umma na Binafsi kwamba kesho Ijumaa ni Siku ya Mapumziko ya Kitaifa hivyo Watu hawatoenda kazini ili kuwapa fursa ya kusherehekea Eid El Fitri ambayo imethibitishwa na Jumuiya ya Waislamu Rwanda.
#MillardAyoUPDATES
Salum 40s鈩光劉馃嚬馃嚳 retweeted
SIMBA yapokonywa bluetick 馃敟
Account zingine kubwa zilizopokonywa bluetick
Salum 40s鈩光劉馃嚬馃嚳 retweeted
Bunge lingefutwa tu,maana mapendekezo ya bajeti yanapita bila kupingwa.Hela wangekuwa wanawekewa tu mawaziri kwenye akaunti zao wanapewa na rais anapewa ATM kadi yake then waishi si tutalipa kodi wasijali.
Salum 40s鈩光劉馃嚬馃嚳 retweeted
I鈥檓 Breaking My Own Records!!
#Number_1 In Less Than 10Hrs!!
HIP HOP ON MAP 馃拹
Huyu jamaa kama akili zako haziko sawa hutamuelewa kabisa..
na unaweza mkubali kimya kimya..
#NIPENI_MAUA_YANGU
26
Salum 40s鈩光劉馃嚬馃嚳 retweeted
Wawafundishe ilo somo kwanza viongozi waache kuiba. Wakiacha hawana haja ya kufundisha mashuleni. Watoto watajifunza maadili kwa vitendo kutoka kwa viongozi wao. Tutakuwa tunapoteza muda kufundisha watoto maadili alafu ikija Report za CAG wanakuta baba zao na mama zao wezi.
Salum 40s鈩光劉馃嚬馃嚳 retweeted
Mbunge anayewakilisha watu wa Kahama Mjini, tena aliyeishia Darasa la 7 tu ila akawa mfanyabiashara Mkubwa na Mkurugenzi wa Supermarket za Imalaseko. Jumanne Kishimba akiwa Bungeni huwa anatumia mifano rahisi kuelezea hoja nzito na zenye mantiki kubwa. Akiongea Utamsikiliza tu.


































