
Official account of @JKT_Tanzania women team|| Champions of TWPL🇹🇿 x4 || Champions of CECAFA-UGANDA 2023🇺🇬-KENYA 2025🇰🇪 ||Ngao ya Jamii×2 🆕
Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2023
- Tweets584
- Following16
- Followers279
- Likes233
Pinned Tweet
CHAMPIONS🏆
#WajengaNchi
#KichapoChaKizalendo
Siku nyingine ya kuendeleza mwanzo wetu mzuri kwenye Women's premier League 💪
#WajengaNchi
#KichapoChaKizalendo
Mchezaji wa kimataifa wa Tanzania na JKT Queens, Winfrida Gerald, amcheguliwa kuwania tuzo ya mchezaji bora chipukizi ya wanawake wa Mwaka katika tuzo za shirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF Awards 2026).
#WajengaNchi
#KichapoChaKizalendo
Kutwaa Ubingwa wa CECAFA nje ya Tanzania🇹🇿 haifanywi na kila timu.
Karibuni JKT Queens kwa mafunzo zaidi ili kuepuka aibu ndogo ndogo kama hizo za huko Rwanda 😅
#WajengaNchi
#KichapoChaKizalendo
Ratiba ya mwezi April kwenye Women's Premier League 💪
#WajengaNchi
#KichapoChaKizalendo
1
29
Uongozi wa timu ya JKT Tanzania/Queens, unatoa pongezi za dhati kwa mchezaji huru wa kike, Khadija Bakari, kwa kuteuliwa kujiunga na timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 (U-17).
1
2
44
Khadija (Golikipa), aliungana na timu ya JKT Tanzania FC, akifanya mazoezi chini ya kocha wa magolikipa, Fatuma Jawadu, ambaye amemtengeneza na kuwa golikipa Mahiri kiasi cha kuwa bora na kuitwa kulitumikia Taifa kupitia timu hiyo ya vijana ya wanawake.
#KichapoChaKizalendo
1
23
JKT Queens retweeted
Mchezo mwingine mkubwa katika uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo🏟️ tunapokutana na mabingwa wa ligi wa mwaka 1988.
Hautakuwa mchezo rahisi hivyo mashabiki wetu tunaomba mje kwa wingi kutuunga mkono🙏
#WajengaNchi
#KichapoChaKizalendo
⌛:FT
BAHATI YAO WAMECHOMOA
Mchezo wetu dhidi ya @simbaqueensctz umemalizika kwa sare ya bao 1️⃣ kwa 1️⃣.
Tunajipanga kwa michezo iliyopo mbele yetu🙏
#WajengaNchi
#KichapoChaKizalendo
39
MATCH DAY
🏆 Women's Premier league
⚽ JKT Queens 🆚 Tausi FC
📅 02/01/2026
🏟️ Maj Gen Isamuhyo
🕰️ Saa 10:00 jioni
#WajengaNchi
#KichapoChaKizalendo
2
60
NEXT MATCH
🆚 Tausi FC
📅 02//1/2026
🕰️ Saa 10:00 jioni
🏟️ Maj. Gen. Isamuhyo Stadium
#WajengaNchi
#KichapoChaKizalendo
1
68
JKT Queens retweeted
JKT TANZANIA TUKIENDELEZA KUTAWALA SOKA LA TANZANIA 2025 KUELEKEA 2026🇹🇿
Mambo kama haya Wanazuoni mnaanza kuyajadili saa ngapi😅
#WajengaNchi
#KichapoChaKizalendo
⌛:FT
Tumelazimishwa sare ugenini dhidi ya Fountain Gate Princess🟣
#WajengaNchi
#KichapoChaKizalendo
1
29
⌛:FT
JKT Queens tumefanikiwa kuchukua alama zote 3️⃣ dhidi ya Ceasiaa Queens
Kichapo Cha Kizalendo hakikwepeki💪
#WajengaNchi
#KichapoChaKizalendo
2
30
USHINDI UMEBAKI NYUMBANI🏟️
Pointi 3️⃣ muhimu
#WajengaNchi
#KichapoChaKizalendo
1
49
JKT Queens tulifika uwanjani 🏟️ kwa ajili ya mchezo wetu dhidi ya Bunda Queens lakini wapinzani hawakufika
Baada ya tararibu zote za mchezo kufuatwa mwamuzi alimaliza mchezo.
#WajengaNchi
#KichapoChaKizalendo
1
32
Kikosi chetu kinachoanza dhidi ya Bunda Queens
#WajengaNchi
#KichapoChaKizalendo
1
34





















