SOTTES (@Joesottes) header
SOTTES (@Joesottes) profile picture

➧ 𝟏 𝖔𝖋 𝟏

Joined January 2019
Photo by SOTTES (@Joesottes)Photo by SOTTES (@Joesottes)Photo by SOTTES (@Joesottes)Photo by SOTTES (@Joesottes)Photo by SOTTES (@Joesottes)Photo by SOTTES (@Joesottes)Photo by SOTTES (@Joesottes)Photo by SOTTES (@Joesottes)Photo by SOTTES (@Joesottes)Photo by SOTTES (@Joesottes)
My name is Joe Sottes, and I'm dead already.
2
12
3,312
Logistics texts would solve all this bullshit.
Well That Escalated Quickly
65
Bongo hii ya watu wanaoshinda Tiktok na instagram ndo hata kwenye list hazipo?
Kila nchi ina uraibu wake. Tanzania na Uganda ni kamali ila majirani Kenya kama kawaida yao wameamua kuwa tofauti.
45
Self-education is, I firmly believe, the only kind of education there is.
2
2
16
436
SOTTES retweeted
so jealous of people who live in coastal areas cause wdym you can just go to the beach on a random weekday
1
11
1
35
1,109
Usiishie kutamani tu, AMUA na FANYA.
Natamani Nikae Mwaka Mmoja Bila Kutumia Mtandao wowote Wa Kijamii, Nisafiri tu niishi zamani , Niskilize Tu 89.0, 88.1, 95.3 😁
2
5
253
Kipindi nilichokaa huko ndio kilinifanya nisiamini dawa za hospitali hata kidogo na situmii kabisa. Mimi ni asili tu. Kule watu wanaishi kwa asili. Mtu anang'atwa na nyoka anawekewa jiwe linalonyonya sumu, likianguka ujue sumu imeisha na ushapona. Ingekuwa town mguu ni bye bye.
1
32
Nilikuwa sijui kama kuna miti ni sabuni na inatoa povu. Yanachukuliwa majani yanatwanga halafu unafulia nguo na zinatakata. Nilikuwa najua panya haliwi ila kule panya ni mboga nzuri tu hadi Kenge nilikula. Maisha ya asili raha sana maana unaishi na nature. Kuumwa umwa ovyo SAHAU!
38
Muundo wa texts zake unatia mashaka. Ongea nae vizuri. Usikute kashatoa sema anatafuta wa kumuunga mkono na kumpooza machungu.
Kumbe kuna watu wanaambiwa mahari 10M huko😄😄 Aah tutachelewa kuoa.
2
1
6
847
Y'all gotta stop living in fear of the breakup. Dating is always trials and errors. You find love, you break up, you move on you'll run into love again. It's really that easy.
Replying to @Joesottes
Absence of an evidence doesn't prove that there's no evidence though...
2
1
4
453
Women only cry during the breakup when they are caught off guard without a replacement. It’s emotionally uncomfortable for them to be alone. This is why they monkey branch. Once they have one, it’s as if you never existed.
2
5
1
20
907
A woman won't confess her wrongdoings out of guilt. She does it to hand you a choice, either you initiate the breakup and save her the burden or you stay and become her puppet from that day onwards. The choice is yours but either way, she will do it again without hesitation.
12
37
1,900
SOTTES retweeted
Siku ya msiba wangu, tafadhali mtu mmoja aje akiwa amevaa nguo nyeusi, miwani nyeusi pia aje kashikilia mwamvuli mweusi halafu asimame kwa mbali kidogo tofauti na wengine ili wanafamilia wangu wakimuona wajue pengine kuna kitu cha siri nilikuwa nakifanya.
25
33
6
486
27,695
Listen, a 5/10 "Halafu baby sikia nikwambie..." woman is better than a 9/10 "Aww, niambie" woman. Save a bro.
3
8
443
Me 3 minutes into the talking stage "Kama utakua unasubiri mimi ndio nikutext wakwanza kila siku, niambie tu mapema tuachane"
2
4
1
18
1,240
SOTTES retweeted
Mixed signals huwa ni NO.
Mixed signals are so annoying like do you fucking want me or not???
1
1
152
Once you've been through the trenches and survived the darkest period of your life alone, something in you changes permanently. You stop caring who stays or leaves. You learnt to survive alone. You won't ever chase people, force connections or beg to be in anyone's life anymore.
7
134
Dakika kadhaa tu baada ya kuzaliwa, ukachaguliwa jina, dini, kabila na utaifa halafu unaaachwa uyatumie maisha yako yote kulinda na kuyatetea hayo yote ambayo hata hukuyachagua mwenyewe.
1
9
207
women throw themselves at the men they like and that’s why i haven’t wasted my time chasing a woman who doesn’t want me.
116
2,605
101
21,452
338,789