6brand (@Josefly6) header
6brand (@Josefly6) profile picture

politicians

Frankfurt on the Main, Germany
Joined February 2020
Photo by 6brand (@Josefly6)Photo by 6brand (@Josefly6)Photo by 6brand (@Josefly6)Photo by 6brand (@Josefly6)Photo by 6brand (@Josefly6)Photo by 6brand (@Josefly6)Photo by 6brand (@Josefly6)Photo by 6brand (@Josefly6)Photo by 6brand (@Josefly6)Photo by 6brand (@Josefly6)
siku tanzania ikabdilisha mfumo wa kupata viongozi, alaf mahakama ikawa huru, mkapata katiba mpya, nchi ya ahadi itaanzia hapo hapo! ila kama bado mtakuwa mnawatoa watu kwenye mitaro ya maji machafu na kuwapa utukufu mtaendelea kuseka mpk kizaz cha mwisho
2
2
7
478
6brand retweeted
Make money, bro. Make a lot of it. Money makes you a better friend, a better partner, a better parent, and a better sibling.
21
44
3
453
24,384
Swali ni hili: ikiwa deni linaongezeka, kwa nini matokeo ya ukuaji wa uchumi hayaonekani kwa kiwango kinachostahili katika maisha ya wananchi? Ukuaji wa uchumi una maana gani ikiwa wananchi hawaoni maboresho ya kutosha katika kipato na hali zao za maisha? CCM ni tatizo.
Fikiria, poverty headcount ratio ilikuwa 26.4% mwaka 2018, leo inatajwa kuwa kati ya 45–48%. Hebu angalia namna CCM inavyozidi kupalilia ukubwa wa changamoto ya umaskini nchini. Halafu, pamoja na changamoto hizi za kiuchumi, bado tunaambiwa kwamba deni la taifa linaendelea kupaa
2
2
4
246
huyo ni taira kitambo 😂😂
Simu gani bwana acha ujivuni 😅😅😅
22
6brand retweeted
Mwaka jana kutekwa kwa kakaangu MDUDE nilipitia stress kama miezi mitatu. Huu mwaka kwa ndugu yangu TWAHA kunanitesa sana, sijui hii haki itaisha lini. Kwamba wapigania HAKI WOTE huu ndio mwisho wetu daah..! LEO MOYO WANGU UNAUMA SANA.
35
193
2
1,067
26,263
6brand retweeted
Kuna muda natamani kuandika WOSIA lakini kuna sauti inaniambia NITAISHI nitaiona Tanzania Mpya. Kuna muda Naogopa, lakini kuna sauti inaniambia NILIKUFA KATAVI kwasasa hakuna mwanadamu wa KUNIUA. Sauti inayosema na mm kwenye hizi nyakati naamini ni MUNGU wangu wa KATAVI, Acha nimuamini🙏
48
157
7
1,156
18,566
Msikilize Makamu mwenyekiti @HecheJohn Ujumbe mwanana kabisa
30
94
952
Mtoe Lissu, Mlipe Stahiki Zake Zote. Itisha kikao cha Maridhiano ya Kitaifa. Badilisha Katiba. 2029-2030 twende kwenye Chaguzi Huru na Haki. Asante. A letter to you, 🙏
24
71
4
329
5,621
Asante @HecheJohn kwa kuendelea kuwa sauti ya Wanachi.Hakuna kurudi nyuma.Kila mpenda haki ni wakati wa kuungana na wapenda haki wengine ili kuunganisha nguvu.Udalali wa siasa hauna tena nafasi kwa karne hii.#freetwahamwaipaya#Freetundulisu#Katibampya
3
93
385
6,498
Huishiwi nadharia mzee😂💔💔 uliiabika kwenye kesi ile ya tundu bado upo tuu na hizi mambo 💔😂
Hakuna siku mtamuona mwaipaya akiwa hai! Nina uhakika na kuna simu muhimu nimepokea sehemu inasikitisha! Tujifunze kuwa tunajilinda zaidi, niliwaambia kuhusu mdude, nikasema kuhusu Polepole , tunaishia free free free !! Hawa watu wakishakutia mkononi Wanamalizana nawe
43
Japo umasikini ni mbaya, Dunia ni katili sana kwa mwanaume masikini lakini bado kuna namna nzuri ya kukabiliana nayo bila kupoteza ubingwa au kuwa CHAWA. Unaweza kuwa CHAWA, ukawa na hela nyingi ila ni aibu sana kwa watoto wako kujua mzee bila UCHAWA hatuli 💔
14
29
180
3,997
ndio wanachoweza 29 walikjikuta wachumba tu na vijora vyao
38
alafu ukamtombe baada ya kumaliza kumvalisha 📌
10
Naona biashara ya kwenda ikulu imepata maana mpya. Kama 'chama' chako hakijapata kura mahali propose mtajidaije wawakilishi. Wawakilishi wa nani? Bila shaka wajilishi
18
74
3
429
11,130
6brand retweeted
Kura MILIONI 31+ zilisema ndio kwako sawa na 98%. waliopata kura laki 7 sijui kwa ujumla wao wakakupongeza kwa USHINDI wa kihistoria. Leo unawaita tena mnaridhiana. Hii nchi kila mtu atachanganyikiwa kwa muda wake.
12
102
4
670
21,174
baadhi ya wazee wale kwenye vile tuvyama tupate namba zao basi wanangu 😂😂 mbona hamvujishi namba zao qmmke tuende ulalo ulalo
Mtu alishinda UCHAGUZI 98%. Na hivyo vyama VIKAKUPONGEZA kwa uchaguzi huru na HAKI. Sasa mnaridhiana nini?
1
112
You’re so goddamn right! Lakini kama serikali inawaua raia wake walio ndani ya nchi, itawajali vipi wale walio nje? Ogopa nchi ambayo watu wanapoteza maisha kwa kiwango kilichoripotiwa tarehe 29 October, lakini bado kuna wanaosifia serikali kwa sababu ya ujenzi wa barabara.
Twaha amepotea akiwa Kenya vipi serikali ya Tz haitaki kujua mwananchi wake yupo wapi? Haiwezi kutuma team ya uchunguzi Kenya kujua ukweli? Au niache kuangalia sana movies???
2
5
13
304
Wakitaka wafute tu chama lakini dio kuwaweka viongozi wawatakao wao waitumie CHADEMA kama dekio kwa masilahi yao waendelee kuitafuna nchi mda wao wakuendelea kukalia madaraka waliyo nayo waliyo jipa uliisha toka 29/10/2025
Ushetani unaopangwa na wauwaji juu ya Lissu na Chadema……
1
30
202
8,220
Mwaka 2021 alipoingia madarakani story ilikuwa hii hii, tena zikapambwa viingereza. Tukaambiwa Reconciliation, Resilience, Reforms, Rebuilding, na ngonjera za 4hara. Mnaweza kutumbusha ametekeleza lipi kati ya haya?🤔🤔 Sio huyu huyu aliyepiga risasi na kuua maelfu jana tu? Sio huyu huyu anayeendelea kuteka, kuua, na kupakazia watu kesi za uhaini kila uchwao? But but but MARIDHIANO MARIDHIANO MARIDHIANO.
20
29
3
138
7,558
Mtu Anasafiri Kutoka TANZANIA Mpaka MAKKAH MADINAH Kuzuru Kaburi La MUHAMMAD Wengine Wanasafiri Hadi YERUSALEM Nchini ISRAEL Kuzuru Kaburi La YESU Wanaacha Kuzuru Makaburi Ya Mababu Zao Wanasema Eti Ni MIZIMU Mungu Hapendi. Kwani Muhammad Na Yesu Siwalikua Binadamu Kama Mababu Zetu. Yaani Wao Wanawaita Watu Wao Waliokufa WATAKATIFU Halafu Wakwetu Wanawaita MIZIMU.
41
59
4
370
20,891