Hakuna kitu kibaya kama kuwa na kimbele mbele kwenye jambo la mtu,watu wengi wanaumia sana kwa staili hii..π Ona kilichomkuta Nishai..
Ingia JotiTv On YouTube now.. youtu.be/_7CQIQzwB48?si=jkl8β¦
Joti retweeted
Tarehe 24 Septemba 1973 Mkutano Mkuu wa 16 wa TANU uliamua Makao Makuu ya Tanzania yahamishiwe Dodoma. Tangu wakati huo, kila awamu ya uongozi imeendeleza azimio hilo, nami leo nimeungana na Rais wa Jamhuri ya Angola, Mheshimiwa JoΓ£o LourenΓ§o, kuzindua majengo ya ofisi za Wizara na Taasisi za Serikali pamoja na barabara za lami katika Mji wa Serikali Mtumba, Dodoma.
Ninawashukuru Marais wote walionitangulia kwa kuendeleza maono ya Baba wa Taifa. Pia, nawapongeza viongozi, watendaji wa serikali na sekta binafsi, makandarasi na wananchi wote walioshiriki katika kutekeleza mradi huu. Kazi yenu ni ya thamani na itaenziwa katika historia ya nchi yetu.
Mji huu uliojengwa kwa fedha za ndani umebuniwa kuwa kitovu cha shughuli za Serikali, huduma kwa wananchi, diplomasia na shughuli za kiuchumi na kijamii. Ni wajibu wetu kuhakikisha uwekezaji huu unaleta tija kwa kuwahudumia wananchi kwa heshima, weledi na ufanisi. Hata hivyo, huduma ziwafuate wananchi walipo kupitia mifumo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA), badala ya kuwalazimu kufika Dodoma kuzifuata.
Ili kuendeleza ustawi wa Mji huu na Makao Makuu kwa ujumla, nimetoa maelekezo yafuatayo:
1. Majengo, miundombinu na mazingira yatunzwe na kuwa safi wakati wote.
2. Mamlaka husika zisimamie kikamilifu utekelezaji wa Mpango Mkuu wa Uendelezaji wa Jiji la Dodoma wa mwaka 2019β2039.
3. Wizara zinazohusika na huduma za kijamii zihakikishe huduma hizo zinapatikana kikamilifu.
4. Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji iendelee kuhamasisha na kuvutia uwekezaji ili kuunga mkono maendeleo ya Jiji la Dodoma.
Joti retweeted
DREAMS ft FID Q,, hii Ngoma mjadala ulianzia hapa enzi za Twitter ,, Kwa sasa Deni tushalikamilisha!! Ahsanteni ipo kwenye all Digital platforms!
Mafundi magari, ukienda kwa mwingine, anakwambia aliyepita amekosea kufanya kitu fulani ππππ.
Kwenye 6 kwa 6 Nani analala juu na nani analala chini..π Wakati wazazi wengi wanakuwa na Hofu,Kumbe Vitoto vya 2000 Vina bonda na Vina nyonga..!!ππUcheke sasa Ingia JotiTv On YouTube now..ππ

















