Julius (@Julius_MZA) header
Julius (@Julius_MZA) profile picture

no bio

Joined April 2024
Photo by Julius (@Julius_MZA)Photo by Julius (@Julius_MZA)
OMG 10/10 Highly recommended 🍿💄🎬
21
2
205
5,976
#Pichani Anaitwa Isaack Manyangu Misalaba ni Week ya tatu sasa tangu apotee Jijini Mwanza, gari yake ilikutwa imepakiwa tu somewhere around Mwanza hadi leo haonekani wala hajulikani alipo na namba zake za simu hazipatikani. #FreeIsaacManyanguMisalaba
6
110
1
425
11,335
Julius retweeted
#FreeTunduLissu hoja zake za kutetea watanzania ndio zimemuweka Gerezani mpaka leo. Kama mlikuwa hamtaki ushindani wa HOJA mngefuta vyama vingi tuwasikilizage nyie tuu.
15
227
3
1,010
8,937
Kuna hizi nimepenyezewa kuhusu hali ya huko ndani. Itoshe kusema tushikilie hapa hapa wazee, kikubwa morali isirudi nyuma, si muda nyani atatema bungo!
13
29
288
14,967
Katuni
45
162
12
1,441
40,280
Highly recommended 10/10💄🍿🔥
2
15
132
5,372
Julius retweeted
“Kama dini yako inakufundisha kusubiri haki katika maisha yajayo, huku ukikubali dhuluma katika maisha haya, basi unapaswa kujiuliza ni nani hasa anafaidika na imani hiyo. Imani ya kweli inapaswa kumwamsha mtu, si kumfanya alale."  Malcom X
36
380
7
1,773
28,518
Kesho IJumaa Soko Kuu Arusha.
26
204
2
1,291
19,644
Sometimes inabidi tu uwaelewe vijana wanaogoma kuwapisha Wazee kwenye Seat wakae. Maadili pande zote yameyumba!
74
249
11
1,696
34,073
Hii nchi tumeipambania sana kubabake! Hapo wadwanzi walichana suti yangu mpya kabisa ya Calvin Klein, MATAKO YAO!😎 #FREELISSU #KATAARIPOTI
268
479
34
4,032
84,137
Greatest to watch, 10/10..!!🔥🍿🎬
5
65
599
35,196
Huyu Luteni General wa Jeshi yuko kwenye Stress kali kwa kuushishwa na Tume iliyofanya mambo ya kihuni Jeshini huyo uwa ni namba mbili, na uwa ni mtu mmoja tu mwenye cheo hicho Jeshini, Kwenye Jeshi ukiondoa CDF anayefuata ni Luten General Fikiria mtu mwenye uzoefu mkubwa hivyo yamemshinda yuko na stress kali namna hii Hawa wanashinikizwa kusema uongo hivi wanakubali kwa nini? Majeshi ya kigeni yalikuwepo nchini, kulikuwa na watu wanaongea lugha ya kigeni na wasiojua kiswahili na walipiga watu Risasi Dar, mwanza na Tunduma
21
85
2
631
55,554
Julius retweeted
Ndio naamka hapa kumbe yule mstaafu alisema video zile za Oktoba 29 ni za "GAZA" 😅 kwamba GAZA polisi nawapigilia code kama za Bongo? Kwamba GAZA watu ni weusi kama sisi? Kwamba miundombinu na mazingira ya GAZA ni kama BONGO vild vile. Ndiomaana kila siku wanataka waje kutufafanulia RIPOTI yao, na kila siku wakionekana wanaongeza Maswali ya Ripoti yao. Hayo kamuambieni ZUMBUKUKU aliewapa kazi sio sisi. Sisi tumeambiwa hiyo ripoti haituhusu punguzeni NYEGE wakina kyande.
23
58
1
472
18,537
Tamko La Wanazuoni Wa Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam (UDASA) Kuhusu Ripoti Ya Jaji Chande📌
19
161
2
552
17,402
Leo kuna ukunga! Naam! Wapiga ukunga wanatoa milio ya hovyo kama subwoofer mbovu ya Sunda inaposema “Line in” Wanapiga ukunga wakitaka tushiriki kilio chao. Eti Rita Kanjambile au maarufu kama Ritha Paulsen kawatukana. Yaani kitendo kidogo tu cha Kanjambile kuwaita “Media Uchwara” wameshikwa na maumivu kama mtu aliyegongewa demu wake na sharp boys ambao wamemsambazia High voltage electricity kutoka transformer lisilojulikana. Naam! Demu wao ambaye ni mwananchi wanayemlisha udaku,na kumyima habari za maana. Ndugu za demu wao walipotekwa, Media uchwara zilimkaushia. Ndugu za demu wao walipouwawa kinyama na miili yao kutopatikana kwa maziko, media uchwara zilikuwa zinatangaza habari za shoga Mr. T linaloliwa Sundus. Ndugu wa demu wao walipopewa kesi feki za kisiasa, media uchwara zikamwambia demu wao habari kuwa ukishikwa bega unaweza kupoteza Mugombero, the turbo charger. Leo Rita Kanjambile Geigeige, anapowaita uchwara, wanataka kuungana na kuandamana. Wanataka kutuhamasisha na sisi tuandamane kuwaunga mkono, tulie nao na kukinukisha. Uhaini huu. Inye cheiiii, Kalia mpali!
57
90
2
714
47,331
ONCE A TRAITOR, ALWAYS A TRAITOR. Waliondoka kwa mbwembwe nyingi wakakitukana sana Chama pamoja na Viongozi wetu matusi ya kila aina. Wengine wakaenda mbali zaidi wakaanza kusema #NoReformsNoElection ni uhaini, wakawa wanasema wanashangaa inakuaje Serikali haimkamati Mhe. Lissu wakati anahamasisha UHAINI hata haikuchukua muda Mhe. Lissu akakamatwa na kupewa kesi ya Uwongo mpaka leo ni zaidi ya Mwaka mmoja yupo jela. Walisema CHADEMA imepoteza mwelekeo mara sijui CHADEMA ishajifia bora waende huko wakatimize ndoto zao kisa waliambia watapewa majimbo 20 na Viti maalum 25. Mungu alivofundi walikula kofi la uso wakaangukia pua sasa baada ya kukosa Ubunge kama walivoahidiwa leo wanajifanya wameweka mikono nyuma, wanaomba kurudi kwenye CHAMA as if sio wao waliokua wanatukana mitusi na kudhalilisha Viongozi wetu. Hawa watu sio wakuwachekea maana msaliti ni msaliti, kama waliweza kutusaliti jana unadhan nini ambacho kitamzua kutusaliti leo/kesho..?
106
186
6
1,067
122,749
Tukutane ground.
145
767
23
3,240
42,811
Bora nyie , Kassim Majaliwa ali-drop ahadi ya barabara. Sisi tuliuziwa “maisha bora kwa kila Mtanzania” enzi za Jakaya Kikwete ( Mumeo) … hadi leo ni trailer tu, movie haijatoka. Na miaka 10 ulikuwa First Lady. Kama ningekuwa advisor wa Kassim Majaliwa, ningemwambia, awe makini na kupigiwa makofi 🔥
63
178
2
1,543
82,803
Mnyonge mnyongen ila walau hapa hotuba zilikua zina sound good
36
20
3
441
39,749
Usiku wa kuamkia leo Watu waliojitambulisha kuwa ni askari polisi, wakiwa na gari aina ya Toyota Landcruiser yenye namba za usajili T 696 BSR wamemfuata Bi.Pauline Pallangyo @ms_walterss nyumbani kwake Dodoma na kuondoka naye kwa maelezo kwamba wanampeleka kituo kikuu cha polisi Dodoma (Central). Familia ilipohoji kosa lake watu hao wamekataa kueleza na kusema atajua akifika polisi. Baadhi ya ndugu wamefika Central lakini hawajaruhusiwa kumuona. Ndugu zake wanasema wakati watu hao wakimchukua Pauline, walikuwa wanamlazimisha atoe password ya simu yake lakini alikataa. Pauline ni mmoja kati ya mamia ya vijana waliokamatwa na kupewa kesi ya Uhaini October 29, kabla ya kufutiwa mashtaka baadae. #FreePauline #Justice4Pauline
34
229
3
1,132
79,038