Kenneth Ernest Nollo,ndc(T) (@KennethNollo) header
Kenneth Ernest Nollo,ndc(T) (@KennethNollo) profile picture

Member of Parliament, National Defense College Graduate and Awardee of the Most Prestigious "ndc" Symbol on Security and Strategic Studies.

Tanzania
Joined March 2012
Finished "For the Record" by @HonAdenDuale. A masterclass in East African politics, betrayal, and resilience. Truly appreciate the honesty in this book—Tanzanian politicians should take note! – at Tanzania
1
18
Heri ya kuzaliwa Comrade @JMakamba Wewe ni kiongozi,mtu muwazi mwenye maono, una upendo kwa kila mtu bilakujali hali yake,ni kiongozi rahmu na muungwana. Ni mwalimu wa watu wengi. Mungu akupe baraka na neema ulitumikie Taifa lako kwa kadri ya vipaji alivyo kujaalia
54
Nimeshiriki ufunguzi wa Zahanati ya Chali Igongo. Zahanati hii imejengwa na Mfadhili Shirika la Qatar Charity. Jumla ya Shilingi Milioni 150 zimetumika kukamilisha ujenzi wa Zahanati hii. Zahanati hii itahudumia watu zaidi ya Elfu 8. Nawashukuru sana Ndugu zangu wa Qatar Charity.
2
1
99
Nimeshiriki zoezi la kuchimba mitaro kwa ajili ya usambazaji wa maji kwenye kijiji cha Mzogole na Mpinga. Mradi huo utagharimu kiasi cha Tsh 600m utakua na vituo vya kuchotea maji 19,Mradi utanufaisha watu zaidi ya elfu 7. Mradi unafadhiliwa na Shirika la Water Mission.
1
1
1
609
Zahanati ya Chali Igongo iliyojengwa kwa Ufadhili wa Shirika la Qatar Charity imekamilika. Nina mshukuru sana Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Qatar Charity Ndugu Ahmed kwa namna alivyo tupa zawadi hii. Namshukuru sana Mungu kwa Neema hii ya kuwatumikia ndugu zangu.
1
64
Leo nimepata nafasi ya kuchangia na kuishauri Serikali,zaidi nimeweka mkazo juu ya suala la kilimo mkoa wa Dodoma pamoja na kuundwa Bodi ya zao la Zabibu.
1
2
2
69
Tayari nimesha nunua Kaka. Lazima kuunga juhudi za wazawa
What a way to end the year. Finally, both the Kindle and Paperback version of my book, "Diary of an African Hub Manager" is available on Amazon. a.co/d/9nJ0puv The hard copies of the book will be available in Tanzania next year. Enjoy the holiday read. @Afruturist
43
Msingi wa Taifa letu ulianzia hapa! Umoja ni Nguvu
Tukishirki kwa Pamoja kumwaga Zege ujenzi wa Zahanati ya Nchinila,Kata ya Mtitaa. Ushiriki wa Wananchi kujiletea Maendeleo ni hatua ya kufikia maendeleo ya kweli – at Dodoma, Tanzania
1
7
Nikichangia Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje.
3
Dodoma,Leo nikiapa Bungeni kuwa Mbunge wa Bahi
2
2
It is deemed Beef from Dodoma is more delicious and taste! We take this opportunity to feed the World
5
3
1
10