Maryam Kitosi retweeted
Raila Odinga was a true champion of democracy. A child of independence, he endured decades of struggle and sacrifice for the broader cause of freedom and self-governance in Kenya. Time and again, I personally saw him put the interests of his country ahead of his own ambitions. Like few other leaders anywhere, he was willing to choose the path of peaceful reconciliation without compromising his core values. Through his life, Raila Odinga set an example not just for Kenyans, but across Africa and around the world. I know he will be missed. Michelle and I send our deepest condolences to his family and to the people of Kenya.
Maryam Kitosi retweeted
Leo ni fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika, na kwa unyenyekevu mkubwa tunamuomba Mwenyezi Mungu atujaalie baraka, rehema, na ulinzi kwa timu yetu pendwa — Simba Sports Club.
Naomba Mwenyezi Mungu awalinde wachezaji wetu, awape utulivu, awape nguvu, awape umakini, na awape uwezo wa kuzingatia maelekezo ya benchi la ufundi ili waweze kucheza kwa nidhamu, uhodari, na ushindi.
Tumefanya maandalizi yote kwa kiwango cha juu kadri tulivyoweza, tumefanya kazi kwa bidii, lakini sasa tunamtegemea Allah peke yake.
Ewe Mola wetu, ni Wewe tu tunayekuabudu, na ni Kwako tu tunakuomba msaada. Hatuna wa kumkimbilia ila Wewe. Tunakuomba utusaidie tupate ushindi katika fainali hii, utukirimu kwa kheri, na utujaalie furaha hii ambayo mioyo yetu inaitamani.
Na tunakubali, Mola wetu, kuwa Wewe ndiye mbora wa waandishi wa mipango, na hakika mipango Yako ni bora kuliko yetu. Tunakuomba utupe lililo bora kwa sisi – khair – na tukubali kwa moyo mmoja yale utakayotuandikia, kwa sababu imani yetu iko Kwako tu, ee Mwenyezi Mungu.
#NguvuMoja
#SimbaSC
Maryam Kitosi retweeted
Replying to @Kinara____
Walai nimeipenda hii nguo color yake ni nzur imekutoa🙌
Maryam Kitosi retweeted
Ibraah anasema mama yake aliumwa akamfuata Konde kumuomba hela ya matibabu Konde akamjibu usingekuwa msanii ungemtegemea nani
Source JIRANI, CROWN MEDIA.
Maryam Kitosi retweeted
Huzuni haidumu milele, sawa na furaha. Usitegemee kuwa na furaha kila wakati. Inapaswa kusawazisha. Hiyo ni sheria za asili.
Maryam Kitosi retweeted
“Jina Kiba lilitolewa na Jirani yangu nikiwa na Ujauzito wa Ally, alikuwa akiniita Mama Kibanio baada ya kukua na kuingia kwenye Muziki mwenyewe akaweka swaga zake ikabaki KIBA”, Mama Kiba akiwa kwenye #JIRANI
@Kinara____ @RiyamaAlly
Producer: @ummylicious
Maryam Kitosi retweeted
Kwenye #JAMVI leo #MAJIRANI watakuwa na Mama Mzazi wa #MFALME @OfficialAliKiba ni kuelekea siku ya tarehe 19 Aprili @kendwarocksznz katika kilele cha Burudani ya Miaka 20 ya MFALME wa STAGE 👑🙌
#JIRANI Ni Kuanzia Saa 6:00-8:00 Mchana kupitia Crown FM lakini pia Tutakuwa Live #YOUTUBE ya CROWNMEDIA
Ungana na @Kinara____ @MwijakuBurton @RiyamaAlly
Producer: @ummylicious
Maryam Kitosi retweeted
Ramadan will happen twice in 2030— the first one in January and again in December. May Allah spare our lives in good health and happiness to witness this 🤲🏻
Maryam Kitosi retweeted
Ukiwa hodari wa kushangilia changamoto za watu wengine ujue anguko lako liko jirani sana
Maryam Kitosi retweeted
Naombeni sapoti jameni 🙏❤️🤍
Tumuunge mkono mjasiriamali chipukizi @Imaniluvanga. Sote tumeshuhudia bidii na juhudi zake ni wakati wetu sasa kumsaidia ili ndoto na juhudi zake ziweze kuzaa matunda.
Tshirt moja inauzwa kwa 25000/= tu na unaletewa ulipo na mikoani unatumiwa.
Piga simu +255 792 220 547
Maryam Kitosi retweeted
Before I die, I want my last words to be: La ilaha illallah Muhammadur Rasulullah
Maryam Kitosi retweeted
CROWN MEDIA inapenda kuwatakia wakristu wote ulimwenguni Jumatano ya majivu yenye baraka na amani pamoja na mfungo mwema wa kipindi cha Kwaresma.
#CrownMedia #HapaNiNyumbani
Maryam Kitosi retweeted
Mtayarishaji nguli wa muziki hapa nchini @masterjtz amemuomba msamaha Mfalme wa Bongo Flava @officialalikiba baada ya mahojiano yake aliyoyafanya na @simulizinasauti huku akisema kuwa hajawahi kuwa na chuki wala kumkebehi mtu yeyote.
“Hii ya juzi ilikuja nilikuwa nimeonja vitu kidogo na niseme tu mbele yenu naomba @officialalikiba anisamehe nilikosea” ~ Master Jay.
#CrownMuziki #HapaNiNyumbani





























