If the mass can’t understand you then you will never be able to lead & bring development anywhere. Ili tuendelee kitaifa, kibiashara, kiofisi au hata kinyumbani unahitaji watu mtakao sikilizana na kuelewana bila kuongopa being challenged.
4
JE, Ulifahamu haya?
1. Hogo analovishwa mtu alievunjika hospitali hutokana na unga wa muhogo?
2. Maji maji ya muhogo hutumika kutengeneza Ethanol ambayo Hutengezeza vitakasa mikono #sanitizer
3. Wanga hutumika kwenye viwanda vya vinywaji, madawa, gundi na vitu mbalimbali.
1
5
Kwenye kujifunza kuna mengi utakosea. Hakuna mtu alizaliwa anafahamu kila kitu.
Mkulima Zawadi ni kijana mwenye kiu ya kuona mafanikio kwenye kile anachokifanya kwenye kilimo cha tikiti… instagram.com/p/B3gd7n_nPXOm… – at Dar es Salaam, Tanzania
4
Improving technology in agriculture leads to higher production #SaharaSparks2019 #Africa4IR
10
Je, umekutana na hii changamoto shambani kwako ? Usiumize kichwa kutafakari ni ugonjwa gani au mdudu gani. Hii inafahamika kama #blossomendrot au kuova kwa kitako cha nyanya kinachotokana… instagram.com/p/B18hzuon9co7…
2
When one #woman is #empowered means 100 people will benefit.
Mwanamke mmoja akiwezeshwa ni sawa na watu 100 wataofaidika
Je, unadhani ni kweli ? instagram.com/p/B1wZccojDGpY…
1
2
Do ndoo za #lindatanzania
:
:
Ni mambo gani umekua ukiyazingatia kabla ya kuingia au kujishughulisha kwenye kilimo? Hii ni kwa wageni kwenye kilimo au wale wanaotaka kujikwamua kwenye… instagram.com/p/B1npMbdnevTi…
We are Tanzanians ❤🇹🇿
-We call every toothpaste COLGATE
We don't care😂
-We call every noodle SPAGHETTI
We are like that😂
-We call every insecticide RUNGU
We cant help it😂
-We call every… instagram.com/p/B0q6kOan7Vnj…
1
5
Je ni kweli? Mwanamke mkulima ni kiongozi bora?
:
#ifarminheels #womenleaders #womenleadership #mtonyoshambani #agribusiness #happyfarmer #iloveyou #tanzania #happinessquotes instagram.com/p/B0kohe2n0JPj…
Siku nilienda kusomea kilimo mtu mmoja Mzima alinishangaa sana, “unasoma kilimo binti kama wewe ili ufike wapi hizo ni taaluma za kiume! Ungekua mwanasheria ungefaa au mwanamitindo hata… instagram.com/p/BxQIpjsnaHh/…
1
Agribusiness is a #music which can be danced by few. It requires #creativity , #passion #understanding, #selfconfidence , #Commitment & #determination
:
Kilimo Biashara ni mziki unaochezwa na wachache na wakauelewa. Kinahitaji uwe mbunifu, mthubutu na ujiamini. Hii ni stori yangu
4
Kilimo Biashara ni mziki unaochezwa na wachache na wakauelewa. Kinahitaji uwe mbunifu, mthubutu na ujiamini. This is my story book
:
#creativity #farming #music #tanzania #agriculture… instagram.com/p/BwWHC-wHqPD/…
1
Kwa ushauri bora wa kilimo, ushauri na elimu bure, pembejeo mbali mbali za kilimo ikiwemo Mbolea, Viwatilifu na Mbegu, vyakula vya mifugo. Wasiliana na @kilimojoint kwenye namba… instagram.com/p/BwI_6WiHji0/…
Elimu Bora ya kilimo biashara ianzishwe toka umri mdogo kwa faida ya baadae. instagram.com/p/BwB_y0UHhom/…
1
Don’t ever give up on your dreams. No mater how hard times are, no family or friends’ support...Don’t you dare give up on that dream. #kijanastukamtonyoshambani #ifarminheels #kilimojoint… instagram.com/p/Bvx9MQjnSrn/… – at Democratic Republic of Congo
3





