
Your fave Barista,,Most probably sahii zangu zimeripuka. #CFC
we kuja na hio njia
Joined May 2017
- Tweets45.8K
- Following7.4K
- Followers17.3K
- Likes69.1K
π retweeted
Ukienda kwa dame sleepover weekend alafu mwenye analipa rent akuje kutembea bila notice ukiwa missionary ππ
Game ya 1-0 kama si mimi nimefunga siwezi cheza
Mi hushangazwa vile madem hufunguka sana kwa watu.Their is this girl alikuwa dem wa beshte angu na akapata mtoi.So since apate mtoi kila wakati ni kunitumia picha ya mtoi akinishow vile anafanana na baba yake na hataki kujukumika.Ananishow vile huyo boy alikataa kulipa bills za hospitali.Anasema hana haja na huyo boy anaeza Lea mtoi kivyake but kila saa ni kunililia dm .Ameblock huyo boy kila mahali hata hajawahi mshow pic ya mtoi na Mimi tu ndo najua.Mimi imefika mahali nikamshow asinieke kwa mambo Yao ,na kama ananitaka I don't deal with babymamasπ,ain't the father!!!























