Max retweeted
Chelsea handing over Man United to AS Roma 😂.
Smalling, Matic and Lukaku can't wait to cook Man United 😂.
Max retweeted
This guy just called an Press Confrence to announce to the whole country that Ajax is playing in kenya next year? A whole Country! Like we’re Highschool
Whom does that help,and how?
Petrol is still at 227 but he wanat us to talk about bayern munich
SOME BULLSHIT!
Max retweeted
Ukihamia ubabini nikama pia software ya tabia huwa inaji update. Sasa kama mimi tangu nihamie huku kwa apartment ya Lift,taste yangu ya Gospel music imebadilika kapsa. Huwesi nipata naskiliza wimbo ziko na kelele, mara sijui rukia bwana, mara ohh tumkanyange shetani, No! Hapa tunaskiza wasanii kama hii inaitwa Israel Mbonyi. Ni kijana imetoka pande ya Rwanda lakini pande ya mziki abana mcheso. Mziki imetulia. Intentional music! Unaskiza mziki namna hii inaingia mpaka unaskia kweli nimebarikiwa. Pesa haitaki kelele nakwambia. Sasa kitu nimebakisha nataka nibadilishe bibi kanisa,Nitoe yeye PCEA niingise yeye CITAM,aende huko aNetwork na mabibi ya politicians,ang’eng’ane ata waeke yeye secretary, hapo ndio nitakua natoa loan ya kuendea mzigo kule Ghuanzoung, china
Ile kitu forex ilinifunza ni moja
You cant skip the process of Blowing your account
Hiyo nayo ni lazima.
Kuna wakati niliblow niliblow 132,000 Kenyatta shillings. Ndio niwekelee hii pesa. Nilikuwa nimeiga hesabu how in 6 months, kama ile ya Kasongo, tungekuwa tunacompete na Kenyatta Family on who owns Kenya😂
Kichwa ilikuwa inauma siku mzima. Mpaka nilikuwa najiongelesha. Nikashikwa na kale kaugonjwa hujui unaskia aje. Uko like this like this.. You are just sad. Huskii kukula anything ama kuongea na mtu. Mara unaaskia kama uko bloated 😂😂 unassweat mpaka ile pande ingine
Hiyo stage nayo lazima utaipitia..























