Maasai Land Rights Advocacy Team (MALARAT) (@MALARAT00) header
Maasai Land Rights Advocacy Team (MALARAT) (@MALARAT00) profile picture

Official X Handle of MAASAI LAND RIGHTS ADVOCACY TEAM( MALARAT) We believe that #LandIsLife and #MaasaiLivesMatter

#Silio
Joined June 2022
Photo by Maasai Land Rights Advocacy Team (MALARAT) (@MALARAT00)Photo by Maasai Land Rights Advocacy Team (MALARAT) (@MALARAT00)Photo by Maasai Land Rights Advocacy Team (MALARAT) (@MALARAT00)Photo by Maasai Land Rights Advocacy Team (MALARAT) (@MALARAT00)Photo by Maasai Land Rights Advocacy Team (MALARAT) (@MALARAT00)Photo by Maasai Land Rights Advocacy Team (MALARAT) (@MALARAT00)Photo by Maasai Land Rights Advocacy Team (MALARAT) (@MALARAT00)Photo by Maasai Land Rights Advocacy Team (MALARAT) (@MALARAT00)Photo by Maasai Land Rights Advocacy Team (MALARAT) (@MALARAT00)
Maasai Land Rights Advocacy Team (MALARAT) retweeted
Oya omwami @MsigwaGerson kuna nini ?
2
2
6
208
Maasai Land Rights Advocacy Team (MALARAT) retweeted
Posta
14
1
29
969
Maasai Land Rights Advocacy Team (MALARAT) retweeted
Leo jioni, majira ya saa kumi na dakika 23, maeneo ya NBC Stand Kuu, ilisikika kelele ya mtu akidaiwa kutekwa huku akikimbia kuelekea ndani ya benki ya NBC. Baada ya dakika chache, watu wawili walifika na kumtoa Bwana Temba, aliyekuwa akipiga kelele akidai kuwa anatekwa. Watu hao waliovalia kiraia walimuingiza ndani ya gari aina ya Caldina yenye namba T308 CRJ, wakiwa wamemfunga pingu. Baada ya raia kuzuia gari hilo lisiondoke, gari lingine double cabin nyeupe lilifika, wakamuamishia Bwana Temba ndani yake, kisha wakaondoka kuelekea upande wa Mnara wa Mwenge / CCM Mkoa
48
214
7
1,160
62,368
Maasai Land Rights Advocacy Team (MALARAT) retweeted
Freedom is demanded,its not begged. We keep the spirit and the fire Burning .We will rise by fire and not by Fear. The people SHALL. #freeTunduLissu
9
23
2,179
Maasai Land Rights Advocacy Team (MALARAT) retweeted
Kama tungekuwa na nchi yenye Tume huru ya uchaguzi ambayo wananchi ndio wana maamuzi yanayoheshimiwa, Watu kama hawa wangeonea uongozi viusasa. Ukitoa Dola,Polisi,mfumo mbovu ya uchaguxi,Huyu hatungejua kama yupo dunia hii.
Leo tarehe 23 Juni katika Ukumbi wa Ubungo Plaza, Mbunge wa Kinondoni, Abbas Tarimba, aliongoza mkutano wa uwajibikaji kuhusu utekelezaji wa ilani ya CCM kwa kipindi Cha miaka mitano . Mgeni rasmi katika hafla hiyo alikuwa Issa javu, Katibu wa NEc Oganalzesneni wa CCM.
5
6
161
Maasai Land Rights Advocacy Team (MALARAT) retweeted
The only man left standing .. Mbogamboga ni waoga sana. Tokeni acheni kujificha nyuma ya mahakama,polisi na vyombo vya dola. Bure kabisa..
3
42
105
4,012
Maasai Land Rights Advocacy Team (MALARAT) retweeted
TANZANIA BILA #UCHAWA INAWEZEKANA .
2
4
221
Maasai Land Rights Advocacy Team (MALARAT) retweeted
Kama ingekuwa bongo,Talaam angekuwa promoted to DCI kama alivyo fanywa kina Kingai.
2
2
187
Maasai Land Rights Advocay Team condemns with the highest term possible the tourture,assault and the abduction of Mdude Nyagali. The status of human rights in Tanzania is worrying. #FreeMdude.
1
9
25
2,371
Maasai Land Rights Advocacy Team (MALARAT) retweeted
Kuna haja kubwa ya kuwa na maandamano ya amani nchi nzima mpaka watu waliopotea wapatikane na kama wameuwawa wahusika wachukuliwe hatua. Haiwezekani kila anaekosoa serikali maisha yake yanakuwa kwenye mlango wa kaburi ambayo ndugu, jamaa hawatafahamu kamwe.
9
82
340
10,174
Maasai Land Rights Advocacy Team (MALARAT) retweeted
TANZANIA is Bleeding......
32
182
3,106
Maasai Land Rights Advocacy Team (MALARAT) retweeted
Unauwa mtu innocent alafu unakuja kusema nini. Muliro must take full responsibility.
VIDEO: Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linafanya uchunguzi juu ya kifo cha mwanaume mmoja ambaye alikutwa amefariki katika eneo la ufukwe wa Coco Beach, Oysterbay, Kinondoni mnamo Aprili 24, 2025 majira ya saa tano asubuhi. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Kanda hiyo, Muliro Jumanne Muliro, mwanaume huyo ambaye hakufahamika jina wala makazi yake, na anayekadiriwa kuwa na umri wa kati ya miaka 30 hadi 35, alikutwa akiwa hajitambui kwenye mchanga wa ufukwe huku mkono wake wa kulia ukiwa umefungwa bandeji ngumu ya muda mrefu (POP), ishara kuwa huenda alikuwa na jeraha la muda mrefu. Taarifa za tukio hilo zilitolewa na watu wanne wafanyabiashara ndogondogo wa eneo hilo ambao pia hawakumtambua marehemu. Polisi walifika eneo hilo na kumpeleka katika Hospitali ya Mwananyamala ambako ilithibitishwa kuwa tayari alikuwa amefariki dunia. Kutokana na changamoto ya nafasi ya kuhifadhi maiti katika Hospitali ya Mwananyamala, mwili wa marehemu umehifadhiwa katika Hospitali ya Barabara ya Kilwa huku uchunguzi ukiendelea kubaini chanzo cha kifo hicho. Katika hatua nyingine Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limesema limeimarisha ulinzi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kufuatia taarifa za kiintelijensia kuhusu vitisho vinavyohusiana na kesi ya uhaini inayomkabili mwanasiasa Tundu Antipace Lissu, iliyotarajiwa kusikilizwa Aprili 24, 2025. Kamanda Muliro amesema kuwa hatua kali za kiusalama zilichukuliwa ili kuhakikisha hali ya utulivu katika eneo la mahakama, kufuatia wasiwasi uliokuwepo kuhusu usalama wa mashabiki na viongozi wa kisiasa waliokuwa wakikusanyika mahakamani. Ameongeza kuwa katika operesheni hiyo ya kiusalama, watu watano walikamatwa kwa tuhuma mbalimbali wakati wa ulinzi mkali uliowekwa. Watu hao ni John Heche, John Mnyika, Chacha Heche Seguta, Swezi Dani Naradufu na James Mseti Kamanda huyo ameeleza kuwa uchunguzi wa awali umefanyika na dhamana zao ziko wazi baada ya mahojiano, huku akitoa wito kwa wananchi kuzingatia sheria na kutojihusisha na vitendo vyovyote vya uvunjifu wa amani. Kamanda Muliro amesema kuwa kwa ujumla hali ya usalama katika Jiji la Dar es Salaam ni shwari na Jeshi la Polisi linaendelea kushirikiana na wananchi kuhakikisha mifumo ya kiusalama inaimarika na matukio ya kihalifu yanadhibitiwa ipasavyo.
2
7
159
Maasai Land Rights Advocacy Team (MALARAT) retweeted
Askofu Pisa anasema Kwa usahihi kabisa, muda wa kufanya marekebisho makubwa ya kikatiba bado muda upo. Katiba ya South Africa 1996 iliandikwa miaka 2 baada ya Uhuru (majority rule) Katiba ya Kenya ilitungwa miaka 2 baada ya fujo za 2007 Hizi ndio katiba bora Africa.
2
68
1
266
5,332
Maaasai Land Rights Advocacy Team inakemea kwa nguvu kubwa kitendo cha kukamatwa,kubambikizwa kesi ya uongo na unnyanyasaji unaofanyiwa mwenyekiti wa @ChademaTz Mheshimiwa @TunduALissu gerezani.Tunaitaka serikali kumwachia mara moja bila masharti yeyote. #FreeLissuNow
7
16
2,095
Maasai Land Rights Advocacy Team (MALARAT) retweeted
Boma la mzee Oriais Ole Ng'iyo aliyepotezwa loliondo mwaka 2022.Chui yupo juu ya nyuma yake baada ya familia kuhama. #WhereisOriais?
19
62
357
24,158
Maasai Land Rights Advocacy Team (MALARAT) retweeted
Bawacha wamtafute mwenezi mwingine, huyu anaeneza CCM
Katibu wa NEC itikadi, uenezi na mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi CPA Amos Makalla leo Jumapili Machi 30, 2025 amemtembelea na kumjulia hali Katibu mwenezi Baraza la Wanawake wa Chadema Bi. Siglada mligo ambaye amelazwa katika hospitali ya Rufaa ya Benjamin Mkapa Jijini Dodoma, akimtakia matibabu mema na uponyaji wa haraka ili arejee katiika majukumu yake. Makalla katika hatua nyingine ameonesha kusikitishwa na ukimya wa viongozi wa Chadema kutomjulia hali Kiongozi wao na kuendelea kumbeza Siglada mitandaoni. “ Badala ya kufuatilia Afya ya kiongozi wa chama chao wamejikita kwenye siasa na kuilaumu CCM kuendelea kumsaidia matibabu Bi Siglada"Amesema Makalla. Katika hatua nyingine Makalla amemuhakikishia Bi Siglada kuwa watampatia matibabu yote muhimu mpaka apone kama sehemu ya utekelezaji wa falsafa ya 4R ya Rais Samia Suluhu Hassan.
27
48
2
216
8,964
Maasai Land Rights Advocacy Team (MALARAT) retweeted
Begi la milioni 700 kutoka NCAA.
3
6
261
Maasai Land Rights Advocacy Team (MALARAT) retweeted
Kupora uchaguzi ni kutwaa madaraka kwa njia ambayo haikubaliki kisheria. Kutwaa madaraka kwa njia isiyofahamika kikatiba ni Uhaini. Hawa watu wakumbuke, kuna watawala wa Nazi walishtakiwa wakiwa na miaka 99 Naamini tulichopitia miaka 10 iliyopita kuna watu watawajibika kuna siku
TUNAPOSEMA TUTAZUIA UCHAGUZI TUNAMAANISHA, HATUTANII.
6
43
1
100
2,774
Maasai Land Rights Advocacy Team (MALARAT) retweeted
Poleee sana shangazi Mola akujaalie nguvu na ujasiri kukishinda Hiki kipindi kigumu. Tunakupenda sana na mungu amjaalie Mzee wetu kauli thabiti
25
1
98
1,921
Maasai Land Rights Advocacy Team (MALARAT) retweeted
Mashine Katest mitambo ikaona haiwezani na huu mchakamchaka wa #NoReformNoElection
15
19
95
2,212