chaupole retweeted
29th,OCTOBER … 🕯️🙏🏽🕊️
Rest In Peace To All The Fallen Soldiers In Vain, Y’all Gone But Not Forgotten!!!!!
chaupole retweeted
Epuka sana kuufurahisha mwili kwa starehe za kupita.
Kula vizuri, fanya zoezi na Sala.
chaupole retweeted
Maisha mazuri ni yale yanakupa uhuru na furuha ya kufanya mambo unayoyapenda #ElimikaWikiendi
chaupole retweeted
Uza mtandaoni.
Tumia njia rahisi ya kuuza kwa kuchukua order, tangaza ili kujenga mahusiano mazuri na kulifikia soko lako.
#ElimuYaFedha
chaupole retweeted
Elimu ya afya ya uzazi ianzie ngazi za chini ili kuongeza uelewa na kuwasaidia vijana kufanya maamuzi sahihi.
#Youth4ICPD30
chaupole retweeted
Sadaka yako iliko ndiko na moyo utakapokuwa.
Kama hujafanikiwa kufika ibadani, Mtolee Mungu kwa Simbanking
Fungua Simbanking piga *150*03#
👉 Chagua 3 SADAKA
👉 Chagua 1 Toa sadaka
👉 Chagua 1 binafsi
Weka namba ya nyumba ya ibada ya benki
#BenkiNiSimbanking #TushavukaHuko
chaupole retweeted
Disemba ni kuchangamka
Santa Rapa wa CRDB anakuambia kila unapofanya miamala na kulipia bills tisha na Simbanking kabla mwaka haujaisha kuna Toyota Harrier Anaconda mpyaaa kwa ajili yako
Tisha ushinde
#TushavukaHuko
chaupole retweeted
Mwanamke vuka mwaka kishujaa.
Fungua Hodari akaunti ya CRDB isiyo na makato, utapata
✅ TemboCard
✅ Lipa Hapa bure
✅ Mkopo hadi 50M
Ni wakati wa kuvuka vikwako na kujiimarisha kiuchumi #TushavukaHuko
chaupole retweeted
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #NBCPremierLeague
🆚 Mtibwa Sugar (H)
🗓️ 28 October 2025
🏟️ KMC Complex
⏱️ 10:00 Jioni
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko
chaupole retweeted
4/16: Young Africans 🇹🇿
#TotalEnergiesCAFCL
chaupole retweeted
Next chapter unlocked. 🔓Young African are through. 🇹🇿
#TotalEnergiesCAFCL
chaupole retweeted
Klabu ya kwanza kutoka Tanzania kufuzu mara 3 mfululizo hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Barani Afrika🔰
#TimuYaWananchi
#DaimaMbeleNyumaMwiko

















