A library is not a luxury But one of the Necessities of Life
#ElimikaWikiendi
@ElimikaWikiendi
Unataka Kiwanda cha Maarifa?
Njoo Maktaba....
#ElimikaWikiendi
Maktaba na Jamii inakutakia heri ya sikukuu ya pasaka kwako na familia yako
#happyeaster
#Easter2021
#Easter
Tunaungana na Watanzania Wenzetu kuomboleza Kifo cha Rais Wetu Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, Mungu atupe moyo wa Subira Katika kipindi hiki Kigumu. Amen
Kwenye siku hii ya #internationalwomensday tusherehekee Sauti za wanawake kwa kuangazia baadhi ya Vitabu vyenye ushawishi kuhusu wanawake, na vilivyoandikwa na wanawake
#WomensHistoryMonth #IWD2021 instagram.com/p/CMKRnG3HVc5/โฆ
Heri ya Sikukuu ya Uhuru wa Tanganyika ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
#tanganyikaindependenceday
#wakutubiโค instagram.com/p/CIk5OY9n_or/โฆ
Sauti yake ๐ฃ๏ธ
Ulinzi wake ๐
โโ๏ธ
Elimu yake ๐
Uhuru wake ๐คธ
Ni mwelekeo mzuri kwetu sote na kwa maendeleo yake. ๐
Ni siku ya Kimataifa ya Mtoto wa Kike #DayOfTheGirlย ๏ฟผ na tuhakikishe tunatengeza Kesho ya Binti nzuri kuliko Hapo nyuma kwa kumpa nafasi Asome
#SikuyaBinti
Leo ni siku ya Kimataifa ya Walimu Duniani. Tutumie siku hii kuenzi na kufurahia jitihada za walimu wote duniani katika Kupunguza ujinga na kuhamasisha usomaji na matumizi ya #Maktaba kwa wanafunzi na Jamii kwa ujumla.
#InternationalTeachersDay
#TeachersDay
Heri ya Siku ya Kimataifa ya watumia mkono wa kushoto...
Tunazipigania haki zenu za kuwa na vifaa rafiki kwenye maktaba za umma kuhakikisha mnasoma vizuri kwa raha. ๐ช๐พ
#twenzetuMaktaba
#MaktabaNaJamii
#lefthandersday2020
#LefthandedDay
โBibi Yangu Mara Zote alikua akisema Mungu amezitengeneza #Maktaba ili watu wasiwe na Sababu ya kuwa wajinga.โ - John Bauer, Rules of the road...
#MaktabaNaJamii
#twenzetuMaktaba
@MaktabaJamii tunaungana na nchi nzima kuomboleza Msiba wa Raisi wetu Mstaafu Mheshimiwa Benjamin William Mkapa
Ni huzuni na hasara kubwa kwa nchi kwa umuhimu wake katika nchi.
Dua zetu kwa familia yake na Watanzania katika wakati huu mgumu.
#maktabaJamii
@MkapaFoundation
Timu ya Maktaba Na Jamii inawatakia kila la Heri Kidato Cha Sita wanaoanza Mitihani yao. Mungu awasimamie Amen ๐ช๐พ๐๐พ
#libraries
#Maktaba
Katika kuadhimisha #SikuYaMtoto Afrika tunahimiza upatikanaji wa Taarifa za kimtaala na kimakuzi ya maisha ya kijamii katika mashule na uboreshaji wa mazingira ya maktaba za Shule za msingi na sekondari ili watoto wasome Vizuri
#Africanchildday
@wizara_elimuTz
@tla_tanzania
โKuhakikisha tunaokoa maisha ya watu #maktabaJamii tunahamasisha uchangiaji wa Damu kwa sababu, na sababu iwe ni kuokoa maisha ya wenye uhitaji wa damu.
CHANGIA DAMU
OKOA MAISHA
#BlooddonationDay
1
Katika International Albinism Awareness Day, tunawashauri watu wote wenye #albino kulindwa na kuthaminiwa katika jamii ya Watanzania.
#internationalalbinismawarenessday
#albinismisbeautiful
#AlbinismAwarenessDay
Without libraries what have we? We have no past and no future. โRay Bradbury. #ElimikaWikiendi @ElimikaWikiendi @tla_tanzania @MasaluPaschal
Dear Colleagues
@tla_tanzania is organizing a national dialogue to discuss issues pertaining library services amid Covid -19 pandemic, scheduled to take place on 29th May 2020 at 1400hrs t0 1700 hours. Please click the link and Registration Link: forms.gle/aCCUfs946ECxJJzq6
โA book is a gift you can open it again and againโ. Happy international book day #Bookday #InternationalBookDay
Namna ambavyo unaweza kusaidia kutokuenea kwa virusi vya #corona ni kwa kuosha mikono yako mara kwa mara kuondoa virusi katika mikono yako #WashYourHands #StaySafe
Kutokana na uwepo wa #COVID19TZA lengo la uwepo wa maktaba kwa sasa ni kuanzisha kampeni ya โTafta maktaba katika sehemu yakoโ ambayo itahamasisha matumiz ya huduma za kimtandao za maktaba na upataj wa nyaraka za kidijitali kuwa muhimu kwa jamii yetu. #onlinelearning














