The Mandevu Store retweeted
Mahala nimefika sahivi, inabidi Mimi nitafute pesa Wazazi wanitafutie Mke.😁
The Mandevu Store retweeted
Ubaguzu ni ngumu sana kuisha Wateja wanaokuja The Mandevu Store ni raia wakigeni tu, Watanzania wenzangu Wabaguzi hamtaki kuja.😭😂
The Mandevu Store retweeted
Mtoto wako akienda school tour akirudi nyumbani swali la kwanza unalomuuliza ni lipi..?
The Mandevu Store retweeted
Vinaja wa mbeya bure kabisa
@Mandevu_Store dada ako huku yamemshikaa😆😆😆😆


























