Mangiroho (@Mangiroho) header
Mangiroho (@Mangiroho) profile picture

Spiritual Alchemist 🔮 | I help family businesses use spiritual principles to build generational wealth. Managing @mangimaziwa

Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2022
Photo by Mangiroho (@Mangiroho)Photo by Mangiroho (@Mangiroho)Photo by Mangiroho (@Mangiroho)Photo by Mangiroho (@Mangiroho)Photo by Mangiroho (@Mangiroho)Photo by Mangiroho (@Mangiroho)Photo by Mangiroho (@Mangiroho)Photo by Mangiroho (@Mangiroho)Photo by Mangiroho (@Mangiroho)Photo by Mangiroho (@Mangiroho)
Upungufu Wa Elimu ya biashara ya kifamilia Kwa Afrika hasa Tanzania Mara nyingi wengi wetu hasa wajasiliamali na Wafanyabiashara Wa Kati na wakubwa Huona Ni Jambo lisilowezekana kwao kuanzisha utajiri wao wa kifamilia. Mangiroho.
1
1
29
Mangiroho retweeted
Family business inakuwa hold na groups of company honestly ukiwa ndani ya biashara ya kifamilia na ukategemea Kampuni mama Ah utakufa masikini walahi Hii Naongelea Kwa uzoefu wangu na wanangu flani ninaokaa nao mara nyingi.
1
1
23
Mangiroho retweeted
Tengeneza aina hii ya familia hapa Hadi raha kmmk watoto wanakula share kutoka ktk family trust
Replying to @batho_shukran
Aisee ndo aina ya familia naitaka, Mungu nisaidie
1
1
3
51
Mangiroho retweeted
Kuzaliwa mtoto wa Kwanza je unahitajika uwe mrithi Wa uongozi ndani ya biashara ya kifamilia Sasa kama Wewe Ni mjasiliamali Wa Kati na mfanyabiashara mkubwa basi hizi ndiyo sifa 3 muhimu unazohitajika kuzijua; -Awe na msimamo -Awe na uongozi Wa kiasili -Awe na Nia ya dhati
1
1
48

Reason(sababu ya kujifunza kwako kama mjasiliamali na mfanyabiashara Ni kuwa) Kama mwanzilishi na unatamani uwe na biashara yako ya kifamilia basi utahitajika uwe na jicho la kuona mridhi Wa Mali na Kampuni yako mapema kabisa. Mangiroho.
1
1
18
Mangiroho retweeted
Upungufu Wa Elimu ya biashara ya kifamilia Kwa Afrika hasa Tanzania Mara nyingi wengi wetu hasa wajasiliamali na Wafanyabiashara Wa Kati na wakubwa Huona Ni Jambo lisilowezekana kwao kuanzisha utajiri wao wa kifamilia. Mangiroho.
1
1
29
Mangiroho retweeted
Elimu ya kiroho ndani ya familia yenye biashara ya kifamilia Ni muhimu Zaidi Kwa sababu, -Inatatua changamoto za kihisia,kinafsi na kiroho Kati ya wanafamilia na wafanyakazi ndani ya Kampuni na taasisi yako.
1
1
27
Elimu ya kiroho ndani ya familia yenye biashara ya kifamilia Ni muhimu Zaidi Kwa sababu, -Inatatua changamoto za kihisia,kinafsi na kiroho Kati ya wanafamilia na wafanyakazi ndani ya Kampuni na taasisi yako.
1
1
27
Family business inakuwa hold na groups of company honestly ukiwa ndani ya biashara ya kifamilia na ukategemea Kampuni mama Ah utakufa masikini walahi Hii Naongelea Kwa uzoefu wangu na wanangu flani ninaokaa nao mara nyingi.
1
1
23
Kuna rafiki yangu Wa kike huwa tukikaa tunapiga stori ananiambia hivi kuhusu "biashara ya kifamilia" ambayo baba yake aliianzisha Ni kuwa -Anayemjukuu wake Wa" kiume" labla anaona ndiyo atakuwa mridhi Wa Kampuni alizoachiwa Kwa Sasa
1
1
1
29
Reason(sababu ya kujifunza kwako kama mjasiliamali na mfanyabiashara Ni kuwa) Kama mwanzilishi na unatamani uwe na biashara yako ya kifamilia basi utahitajika uwe na jicho la kuona mridhi Wa Mali na Kampuni yako mapema kabisa. Mangiroho.
1
1
18
Mangiroho retweeted
Kuna rafiki yangu Wa kike huwa tukikaa tunapiga stori ananiambia hivi kuhusu "biashara ya kifamilia" ambayo baba yake aliianzisha Ni kuwa -Anayemjukuu wake Wa" kiume" labla anaona ndiyo atakuwa mridhi Wa Kampuni alizoachiwa Kwa Sasa
1
1
1
29
Watu wengi wanapenda stori kama "Kuna Ile familia flani Ina biashara ya kifamilia Ila mwenyewe kama mwenyewe MTU binafsi hataki kujenga biashara ya kifamilia ama ataki kuajiriwa ktk biashara flani ya kifamilia
1
1
1
16
Je unakwama wapi mkuu na Nini unaona kikirekebishwa utaunda biashara yako ya kifamilia ya kizazi chako na kizazi kijacho Toa maoni yako chini Mangiroho.
7
Mangiroho retweeted
Watu wengi wanapenda stori kama "Kuna Ile familia flani Ina biashara ya kifamilia Ila mwenyewe kama mwenyewe MTU binafsi hataki kujenga biashara ya kifamilia ama ataki kuajiriwa ktk biashara flani ya kifamilia
1
1
1
16
Mangiroho retweeted
Kutokea ktk "Mangimaziwa" Wako Mangiroho Comment nikutajie "faida 1 za kiroho za kutumia majani ya mdalasini"
1
1
7
Faida moja wapo ya mdalasini niliyoipata nilivyokuwa mdogo Ni kuwa, -nilikuwa napata utulivu mkubwa na Amani wakati ninywapo chai ya asubuhi Sifahamu kwako huwa unapata Nini na utajisikiaje baadae ya kutumia jani moja la mdalasini Sasa ndiyo maana nikiwaletea "Mangichai"
1
1
1
43