MAPINDI (@MapindiApp) header
MAPINDI (@MapindiApp) profile picture

One Stop platform for educational content of all Subjects in Tanzania. All content in tutorial format.

Tanzania
Joined May 2020
Photo by MAPINDI (@MapindiApp)Photo by MAPINDI (@MapindiApp)Photo by MAPINDI (@MapindiApp)Photo by MAPINDI (@MapindiApp)Photo by MAPINDI (@MapindiApp)Photo by MAPINDI (@MapindiApp)Photo by MAPINDI (@MapindiApp)Photo by MAPINDI (@MapindiApp)Photo by MAPINDI (@MapindiApp)Photo by MAPINDI (@MapindiApp)
Tutaukumbuka mwaka 2021 kwa kufanikiwa kuingia kwenye Bunifu 50 Bora Barani Africa katika Sekta ya Elimu. Mafanikio haya ndani ya mwaka wa kwanza tangia tuanze Huduma ni Makubwa sana. Tunashukuru wote mnaotupa support kwa namna moja ama nyingine.
8
29
ANNUAL REPORT: A year in Review of 29 Startups Breaking Barriers in 2022 ~ Meet Said Mbondela, the Co-founder of @MapindiApp, an e-learning Platform that helps students learn different subjects in the tutorial video. Access the report thru ➡️ bit.ly/TECHTZ2022
13
16
1,992
Hongera sana Said na team. Kutatua changamoto kubwa kwa solution simple ndo msingi wa startup.
MAPINDI tuna solution kwa Wanafunzi wenye changamoto ya lugha ya kingereza. Tuko Jikoni kuanza Project ya Shule kww Shule kuwawekea Wanafunzi tutorials zetu ili waelewe vyema concepts ktk Masomo yao. @JifunzeSwahili @HakiElimu @MabalaMakengeza
1
1
2
492
MAPINDI tuna solution kwa Wanafunzi wenye changamoto ya lugha ya kingereza. Tuko Jikoni kuanza Project ya Shule kww Shule kuwawekea Wanafunzi tutorials zetu ili waelewe vyema concepts ktk Masomo yao. @JifunzeSwahili @HakiElimu @MabalaMakengeza
2
1
10
1,025
MAPINDI retweeted
Hesabu ni Somo Rahisi likimpata Mwalimu sahihi
9
23
3
92
13,206
MAPINDI retweeted
Congrats boss it is not easy🚀
1
1
1
185
Mwanafunzi wetu mwenye juhudi hadi sasa anakomaa kukamilisha zoezi nililompa la kuandika Barua kwa kutumia MsWord. Ana wiki mbili hapa MapindiStore na hadi sasa maendeleo yake ni mazuri mno.
6
12
556
Embracing technology.
1
4
242
Tunaendelea kufurahia feedback tunazozipata kutoka kwa Wazazi. Wanafunzi wetu now wanaweza kufanya vitu kupitia Computer. Digital literacy kwa zama hizi ni jambo haliepukiki.
1
4
338
Sio likizo tu. Mimi wanangu hawatasoma tuition. I need them to build social skills. Tuition yao ni kujifunza coding kwa @MapindiApp au @silabu. Wajifunze networking, sales, marketing, business, money n.k. Tujenge vijana wanaoijua dunia, sio dependant na walalamishi gang.
"Mtoto kwa kawaida mwili wake unahitajji kushughulika, anahitaji sana kucheza lakini msimamie asijisahau, sio sawa mtoto amerudi likizo leo kesho anaamkia Tuition. Siku moja kabla unamwambia jiandae kesho mnafungua Shule, ubongo unahitaji kupumzika ndio maana ikaitwa likizo"
1
2
4
403
Replying to @MapindiApp
Fantastic
1
1
110
Replying to @MapindiApp
Keep it up 💯💥
1
1
124
More MapindiStores to be Opened in 2023.
Kazi ya kuendelea kujenga vijana mahiri wenye weledi na watengeneza ajira inaendelea. Vijana wetu hua tunawaambia so long as umefika MapindiStore you will never be the same. Giving them Exposure and access to the World class education.
3
8
Replying to @MapindiApp
Hongereni sana
1
1
2
140
Kazi ya kuendelea kujenga vijana mahiri wenye weledi na watengeneza ajira inaendelea. Vijana wetu hua tunawaambia so long as umefika MapindiStore you will never be the same. Giving them Exposure and access to the World class education.
3
5
1
26
Nimepokea maombi mengi ya kufungua MapindiStore maeneo mbalimbali. Tutaanza na maeneo yenye potential zaidi. Tupeni muda tujiridhishe kwanza.
1
Hawa ni Best Performers wa Shule iliyoko jirani na Store yetu hapa Salasala (Shule ya Sekondari Songoro Mnyongo) Wamepata Ofa kutoka kwa Mkurugenzi kusoma Bure katika Store zetu plus access to Library facilities and Computer Studies.
1
10
Wanafunzi wengi Wanaofika MapindiStore wanajifunza kisasa kupitia Platform yetu ya Mapindi kwa tutorials zilizoandaliwa kwa ustadi mkubwa. Hadi sasa Masomo yote ya Science kidato cha Kwanza hadi cha Sita yanapatikana katika jukwaa letu.
1
5
Wanafunzi wetu kipindi hiki cha likizo wakiwa MapindiStore wakijifunza Programming kwa kutengeneza Games na Animation wakiongozwa na Mtaalamu kutoka Rifaz Solution Mr Ridhiwan Mseya. Bado tunaendelea kupokea Watoto wa umri wa miaka 7-12 kwa ajili ya Program hii.
2
6