
Media & Communications expert @EF_fellows 2016, @intleaders, #ChangeTanzania #KatibaMpya #GoodTrouble maker Team Hakuna Kushindwa,
Joined March 2009
- Tweets834K
- Following9.5K
- Followers1.4M
- Likes303K
Pinned Tweet
‼️Msiogope! ✊🏽‼️
Tundu Lissu anaelewa kinachowapa nguvu mafedhuli ni kutuuzia woga!
Twaha anajua pia!
Tusiogope! Maandamano lazima! We have no other choice but to FIGHT!
Ila WOGA weka pembeni! Hawa wauaji wanatapatapa!
Kumbukeni Polepole walimteka wiki 2 kabla ya #MO29 - je iliturudisha nyuma?
Wametunyukua - je wanapendwa sasa? Tumesahau na kuendelea na maisha!?Wapi!
Lissu wamemweka ndani zaidi ya mwaka- moto wa nje na ndani umepungua?
Yaani hata watuue wanaharakati wote hawawexi kushinda maana watakuja wengine waendelee!
Tusiogope! Tumeshashinda ila wamekaza fuvu! Tumalize hiki kipande kidogo!
#FreeTwahaMwaipaya
Maria Sarungi Tsehai retweeted
Aitishe tuu maandamano ya ghafla yasiyo na Kokomo mpaka watu wote waliotekwa wajulikane walipo
Asante sana Kaka umeongea kwa hekima kubwa! Mpaka sasa wamekwama watekaji ila tunahitaji msako ushike kasi!
#FreeTwahaMwaipaya
MSIOGOPE! 🔥✊🏽
Narudia MSIOGOPE!
Mungu wetu ni mwema sana na ni mweza yote! Mengine baadaye!
#FreeTwahaMwaipaya
Maria Sarungi Tsehai retweeted
#LIVE: TWAHA MWAIPAYA YUKO WAPI? -WANAHARAKATI WA KENYA WAWASHA MOTO NAIROBI
xitter.cf/i/broadcasts/1lKQRWMyp…
Maria Sarungi Tsehai retweeted
Replying to @MariaSTsehai
Maria Sarungi Tsehai retweeted
Watanzania wenzangu huu ni mwendelezo wa kutaka kumfanyia kitu mbaya Lissu ili wafanikishe mipango yao bila kusumbuliwa ukweli n kwamba asahiv jukumu ni letu raia kuhakikisha tareh 6 tunaandamana Nch mzima Lissu akitoka tu bc hawa wote watapatikana okoa Tanzania 🇹🇿
Maria Sarungi Tsehai retweeted
En Tanzanie, l’opposant Tundu Lissu menace d’entamer une nouvelle grève de la faim à partir de lundi 26 octobre 2026. En cause : les restrictions imposées, selon sa défense, à ses échanges confidentiels avec ses avocats, malgré une décision de justice. Le dirigeant du principal parti d'opposition est détenu depuis avril 2025 et poursuivi pour trahison. Le jugement dans son procès est attendu le 6 novembre. Il risque la peine de mort. go.rfi.fr/MHQ
Kenya has become hostile to activists and politicians who seek Asylum. South Sudanese opposition leaders and activists have been abducted and taken to SS to be killed/jailed for years, Kizza Besigye of Uganda was abducted in Kenya, been in jail for 18+ years, Maria Sarungi was abducted in Kenya as well, was it not for the noise, Samia Suluhu Hassan would have killed her by now... And now Twaha Mwaipaya has been abducted on Kenyan soil... This Must STOP...
🚨‼️ABDUCTION IN NAIROBI‼️
Twaha Mwaipaya - Tanzanian activist was abducted a short while ago in Makuru in a Toyota White HardTop by armed plain clothes men
@NPSOfficial_KE @AmnestyEARO @thekhrc @OHCHR_ESARO @citizentvkenya
#FreeTwahaMwaipaya
Maria Sarungi Tsehai retweeted
Heche atoa wito kwa Ruto kumsaidia kumpata Twaha Mwaipaya aliyeritopiwa kutekwa Kenya
mwanzotv.com/heche-atoa-wito…
Maria Sarungi Tsehai retweeted
Machawa wanakazi ngumu, Mbele kuna mwanga anapambana kumuuza sana Samia lakini wapi
Kamati ya CHADEMA ina biashara gani na Samia?
Samia amesubiria kupigiwa magoti lakini wapi, watu wana mchora sana, ndio mnaona machawa yanasisitiza atafutwe, kuna mtu anataka kudili na muuaji kweli?
mtu mwenye akili timamu ?
Maria Sarungi Tsehai retweeted
Replying to @MariaSTsehai
Tunataka tujue wao sisi kwawingi wetu tupambane bilaivyo huyu mnyarwanda mafwele atatumaliza watanganyika kwa sasa tuamue kama wakoma tukinyamaza tutakufa tukiingia barabarani tutakufa basi nawasii watanganyika twendebarabarani mo29
Maria Sarungi Tsehai retweeted
Replying to @MariaSTsehai
Madhulumati yameanza kutoa milio na bado hamuwezi kunyamazisha nguvu ya uma kwakuwatisha ni haki yao
Just #FreeTwahaMwaipaya and stop transnational repression! Nobody wants to associate with a bloody handed dictator! Lula is not interested at this point!
On behalf of the Government and the people of the United Republic of Tanzania, I extend my sincere congratulations to His Excellency Luiz Inácio Lula da Silva on his re-election as President of the Federative Republic of Brazil.
Tanzania values its longstanding friendship with Brazil, and looks forward to continue building on this foundation to further strengthen bilateral relations and deepen cooperation, for the mutual benefit of our two nations.
I wish His Excellency every success in his renewed mandate and continued peace and prosperity for the people of Brazil.
Maria Sarungi Tsehai retweeted
#TANZANIA:POLISI TANZANIA WAONYA WANAOPANGA KUFANYA VURUGU, VIONGOZI WA DINI WATAJWA
Jeshi la Polisi limeonya watu wanaojihusisha na mipango ya kufanya vurugu, fujo na kuharibu miundombinu inayotumika kutoa huduma kwa umma, mali za umma na binafsi, likisema litachukua hatua kali za kisheria dhidi yao.
Onyo hilo limetolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi, David Misime, katika taarifa kwa umma iliyotolewa leo, Oktoba 26, 2026, akieleza kuwa jeshi hilo linaendelea kutekeleza majukumu yake ya msingi ya kulinda amani, utulivu na usalama nchini.
Misime amesema pamoja na kuwepo kwa mipango, matamko na uhamasishaji unaofanywa na baadhi ya viongozi wa dini, siasa na wanaharakati, Jeshi la Polisi linafuatilia kwa karibu viashiria vya vitendo vya uhalifu vinavyoweza kuhatarisha usalama wa wananchi.
Amesema vitendo hivyo vinavyopangwa ni pamoja na kufanya vurugu na fujo pamoja na kuharibu miundombinu inayotumika kutoa huduma kwa umma, mali za umma na binafsi.
Ameeleza kuwa Jeshi la Polisi linashirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama, huku likitumia taarifa mbalimbali zinazolifikia kufuatilia na kuwakamata washukiwa wa mipango hiyo kwa hatua za kisheria.
“Tunatoa onyo kwa wanaojihusisha kwa namna moja ama nyingine katika vitendo hivyo vya uhalifu vyenye mwelekeo wa kufanya fujo na kuharibu mali kuacha kwani halitasita kuchukua hatua kali kwa mujibu wa sheria kwa yeyote atakayebainika kujihusisha na mipango hiyo ya kihalifu,” amesema Misime.
Aidha, amewataka wananchi kuendelea kuzingatia sheria za nchi na utawala wa sheria, akisisitiza kuwa kufanya hivyo ni msingi muhimu wa kudumisha amani, utulivu na usalama wa Taifa.
Amesema Jeshi la Polisi litaendelea kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama kuhakikisha wananchi na mali zao wanalindwa.
Heche sends special Appeal to President Ruto Over Abduction of Tanzanian Activist in Kenya
mwanzotv.com/heche-sends-spe…
Maria Sarungi Tsehai retweeted
Kwa hiyo @frediejustine , mkifika kwa Rais mnajadiana nini haswa?
Mnamwomba apunguze kuteka, awarudishe wakina Mdude, Soka, etc., au amwachie Lissu?
Halafu baada ya hapo mnarejea kuendelea na siasa huku mkiamini hali imebadilika au inakuwaje?
Natamani kuielewa hoja yako.
Maria Sarungi Tsehai retweeted
Unajua masharti na mazingira yaliyopelekea Mandera kuzungumza na makaburu?
Unataka kufanya kama vila hakuna nyakati kumewahi kuwa na mazungumzo na CCM na matokeo yake yamekuwa vipi?
wewe kama unapigia chepuo maridhiano toa foot print yafanyike vipi na yawe ya mwelekeo upi na kwenye frame gani, so kukimbilia kujishitukia utaitwa msaliti, weka hoja yako clear usijilize lize
Maria Sarungi Tsehai retweeted
The Linda Mwananchi Movement has condemned the reported abduction of Tanzanian opposition activist Twaha Mwaipaya in Kamulu, Machakos County, demanding that Kenyan authorities disclose his whereabouts and guarantee his safety.
ow.ly/Jotw5100Tv8
Leo #MariaSpaces tunajadili: #MO29 - Maamuzi Mazito
Mwaka jana wameua sana na hata miili ya ndugu zetu hawajaturudishia! Wameendelea mwaka mzima na utekaji, mauaji na dhulma! Wamegoma kusikiliza sauti za hekima hata miongoni mwao
Siku 3 zimebaki - tufanye maamuzi ! Leo saa 2 uck
Maria Sarungi Tsehai retweeted
Replying to @MariaSTsehai
YES THERE MUST BE A CCTV CAMERA IST KANGUNDO ROAD ALL THE WAY FROM RUAI ,KAMULU ,JOSKA ,





























