Calvin Mavunde retweeted
Yule mchezaji wa Dodoma jiji alieushika Mpira ndani ya 18, sijajua ali ahidiwa nini aiseeee!!...maana hata mtoto wa under 12 hawezi fanya ujinga ule 😂😂😂 au aliona dakika zinaenda na Simba hawana dalili kabisa za kupata goli ndo akafanya ujinga ule 😂😂😂
Calvin Mavunde retweeted
Soka Ndio Mchezo/Kitu Pekee Kinachoweza Kuifanya Dunia Nzima Ikafanya Kitendo Kimoja Cha Kufanana Kwa Wakati Mmoja!! Mfano Goli Likiingia…..China Watasimama Kushangilia, Marekani Pia,Njombe Pia Wakati HuoHuo,Zanzibar,Sauzi,Nigeria,Sudan Wakati HuoHuo,England Pia, Dunia Nzima.
Calvin Mavunde retweeted
Mnapotuomba Michango Ya Harusi Msituwekee Viwango Vikubwa Jamani, Msiwe Mnafikiria Tu Pesa Ya Kuwachangia,Fikirieni Tutatakiwa Pia Kununua Suti/Gauni/Viatu/Nywele/Saloon Ili Tuje Tumependeza,Au Mnataka Tuje Na Jezi Harusini?Na Zingine Ni Za Mkoani Zinahitaji Nauli Pia!TUHURUMIENI
10 Of The Most Impressive Photos Of The Week naij.com/504376-10-of-the-mo… via @naijcom













