DR.MAZIKU (@Maziku07) header
DR.MAZIKU (@Maziku07) profile picture
Joined February 2020
Photo by DR.MAZIKU (@Maziku07)Photo by DR.MAZIKU (@Maziku07)Photo by DR.MAZIKU (@Maziku07)Photo by DR.MAZIKU (@Maziku07)Photo by DR.MAZIKU (@Maziku07)Photo by DR.MAZIKU (@Maziku07)Photo by DR.MAZIKU (@Maziku07)Photo by DR.MAZIKU (@Maziku07)Photo by DR.MAZIKU (@Maziku07)Photo by DR.MAZIKU (@Maziku07)
Kijana yuko zake amepanga ma Sinza anazingatia engo ila akili zake anawaza siku moja aje achukue kiwanja chake chakuishi mitaa ya Goba kwa 8M-10M😂. Hajui kiwanja Goba bila 50-100M hupati kitu. Vijana tujifunze sana kufatilia mambo ya viwanja,MLANDIZI sio mbali nunueni mashamba.
31
45
6
658
31,961
Uhakika
haka katoto ka shule....😄😄
150
Afisa Biashara
70
59
7
470
25,428
Kwanini, maniga, wanapenda sana kurekodiana kwenye mazingira ya faragha? Like, what’s actually the objective? Umesharekodi—so what next? Unarekodi video ya nini hasa, na unategemea iwe na impact gani? Maana mwisho wa siku umerekodi tu… then what?
20
DR.MAZIKU retweeted
Na Braza Chale wa utalii wa ndani.😂 Miguu ya @Suma_Viatu
5
5
1
33
2,645
Na Braza Chale wa utalii wa ndani.😂 Miguu ya @Suma_Viatu
5
5
1
33
2,645
DR.MAZIKU retweeted
Mwenyekiti Tundu Lissu. Wewe ni mtu mwema sana, Mzalendo unaeipenda Nchi yetu na watu wake kuliko hata unavyojipenda mwenyewe. Umetoa maisha yako na umepitia matatizo na maumivu makubwa sana kwaajili ya watu wa Nchi hii. Umedai maisha bora, ajira, maji, umeme maendeleo na matibabu bora kwa Watanzania wote. Umedai rasilimali nyingi za Nchi hii zitumike kwaajili ya manufaa ya Watanzania wote ambao wanateswa na umasikini mkubwa wa makusudi, unaosababishwa na ccm. Kwasababu hiyo serikali hiii ya CCM chini ya utawala huu huu walijaribu kukuua wakakupiga risasi 36 Mungu mkuu akakuokoa. Leo watu hao hao waliojaribu kukuua wakashindwa wanataka kukufunga kwa uongo na kesi ya kubumba. Wanaweza kufanya hivyo kwasababu mahakama ni zao na wanaweza kuzielekeza nini cha kufanya. Kitu ambacho hawatafanikiwa ni kushinda kwa kutumia uovu na mauaji yao, kwa hakika hilo watalipia wao na familia zao. Naomba Watanzania wote tumuombee Mwenyekiti Tuombee Chama chetu Tuombee Nchi yetu na demokrasia tunayoipigania. Tutashinda.
73
718
15
2,595
33,334
Nyerere Dada😂
#DearNyerere eti walisema huyo ni ww Daah🥹
50
DR.MAZIKU retweeted
#DearNyerere eti walisema huyo ni ww Daah🥹
18
15
2
109
6,416
Ndo unyamwezi mzee
Country wizzy amepatwa na nini? Wakuu mbona kazeeka gafla kawa kama chokolaa.😥🙆🏿‍♂️
1
184
DR.MAZIKU retweeted
God is so good. ✔️ #BabaDee
4
4
2
14
988
DR.MAZIKU retweeted
Udugu wangu, samba zile za kamba zimekaa kiume sana. Kwa sasa trend ipo humu Samba za kuchana, specifically kwa wanawake. Hata si bei kubwa ya kukushinda udugu wangu. 60k tu badala ya 65,000.
2
1
2
344
DR.MAZIKU retweeted
Ladies, mchekini @Suma_Viatu ana hivi viatu vikali sana kwa ajili yenu 🔥
11
22
440
God is so good. ✔️ #BabaDee
4
4
2
14
988
Naaam
“Ingawa Yanga ni timu inayocheza kwa kasi na nguvu, siamini kama inaweza kufikia kiwango chetu cha ushindani. Sisi pia tunapenda kuiweka timu pinzani kwenye presha, kuilazimisha kufanya makosa na kutumia makosa hayo kutengeneza mabao.” - Steve Barker, Kocha wa Simba SC
1
145
Royal Tour ilikuwa moja ya ideas bora kabisa, ila kwa bahati mbaya tumeshindwa ku-maximize potential yake. Nadhani exposure ya Mh. Rais ilikuwa mbele ya muda kuliko watendaji wa sekta husika na wananchi wengi. Tumeshindwa kuielewa na kuitumia kikamilifu kuongeza tija kwenye utalii. Naumia sana kuona Rais kama yuko peke yake kwenye idea hii.
58
6
12
77
34,575
MSISAHAU NATOA HUDUMA YA NITUME SOKONI ONLY SATURDAY & SUNDAY 0683084746
11
40
6
149
6,865
M/kiti hii ni Goba Kinzudi?
1
1
2
205
Swali ni kwamba “huwa mnaweka nn?@
This Post is from a suspended account. Learn more
153