Hili jambo linafaaa kukemewa tena kwa nguvu zote na walio husika kukamatwa , uhuru wa mtu haupaswi kuingiliwa hata kidogo kila mtu na imani yake hata km ni mlevi na wewe hulewi hupaswi kumpiga kisa ni mtu wa bara, nauona muungano ukienda kuvunjika siku sio nyingi.
13


















