Jamaa hata Kama kajinyonga Lakn hichi ni moja ya kifo kimeniuma sana 25yrs,kuna muda mambo yanakuwa Kama hayapo vile, kapata mamilioni ya pesa katika umri huo,kashinda michuano ya kihistoria, kashiriki na world cup,kupata tafsiri ya maana ya maisha ni Kazi sana,Rest in peace💔🕊️