Catch all our episodes on your favorite streaming platform! Just click the link: [heylink.me/MenThePodcast #podcast #listennow
Kuna mengi ya kujifunza. Tunapokua, tunahitaji pia ku-unlearn, unpack na relearn ili tufanye mambo tofauti.
Hii ndiyo essence ya Men Men Men.
#menmenmen #menthepodcast
Kiasi unachopata ni jambo binafsi.
Kila mtu ana safari yake, njia yake na muda wake. Usiruhusu comparison ikuwekee presha au kuathiri mahusiano yako.
Hujui mtu mwingine ametoka wapi.
#pesanapreshayake #menmenmen #menthepodcast
Pesa ni chombo, si kipimo cha thamani yako.
Kabla ya kutafuta pesa zaidi, jiulize: ni tabia gani ilikuingiza kwenye hiyo hali?
#pesanapreshayake #menmenmen #menthepodcast
Wakati mwingine, kitu unachokiamini huanza kwa hatua moja tu.
Hutajua kitakachotokea mpaka uanze. Kuwa na imani, anza na kile ulicho nacho na uone safari itakupeleka wapi.
Ukiamini, anza.
#menmenmen #menthepodcast #pesanapreshayake #finance #maisha
Sio tu kufanya kazi ili upate pesa, swali ni: Pesa yako inakutumikiaje wewe?
Jenga nidhamu ya ku-track uwekezaji na matumizi yako leo.
#FinancialEducation #pesanapreshayake #financialplan
Wanawake wanaweza kuwa wastahimilivu sana, lakini hiyo haimaanishi wanapaswa kubeba kila kitu au kuishi kwa presha kila wakati.
Ustahimilivu ni nguvu, lakini si lazima kila wakati tuishi kwenye “furnace.”
#pesanapreshayake #menmenmen #menthepodcast
Kusema “hapana” hakukufanyi mwanaume pungufu.
Kujua mipaka yako na kutofanya kila kitu kwa presha ya jamii ni sehemu ya kujitambua na kujenga ufanisi.
#menthepodcast #menmenmen
Pesa ina presha yake.
Wanaume wengi hubeba presha ya kifedha kimya kimya. Nidhamu ya pesa si kuhusu namba tu, ni kuhusu afya ya akili, kujitunza na kupata uhuru.
Tunza pesa, pesa ikutunze.
#menthepodcast #menmenmen
Pesa ina presha yake.
Wanaume wengi hubeba presha ya kifedha kimya kimya. Nidhamu ya pesa si kuhusu namba tu, ni kuhusu afya ya akili, kujitunza na kupata uhuru.
Tunza pesa, pesa ikutunze.
#menthepodcast #menmenmen
Je, mwanaume anapoongeza ufanisi wake, kuna hatari ya kuonyesha “toxic masculinity”?
Katika episode hii, tunachambua tofauti kati ya uanaume, ufanisi na tabia zenye sumu, na kwa nini tusichanganye uanaume na tabia mbaya.
#menthepodcast #menmenmen
Kitu chochote unachokiacha bila kukitunza, kinaanza kudorora. Kitu kinapokuwa bora, kinahitaji juhudi, umakini na hatua.
#menthepodcast #menmenmen
Hata kitu kizuri kikizidi, kinaweza kuwa kibaya.
Nguvu, uongozi na ulinzi ni sifa muhimu kwa mwanaume. Lakini zikizidi zinaweza kugeuka kuwa udhibiti na ukatili.
Kuwa kiongozi hakumaanishi kujiona bora kuliko wengine. @thisisprincely
#menthepodcast #menmenmen
Ujuzi ni muhimu, lakini kujua kujadiliana ni muhimu pia.
Maisha hayakupi kila mara kile unachostahili. Mara nyingi, unapata kile unachoweza kujadiliana.
#menthepodcast #menmenmen
Confidence is believing in your own ability.
Arrogance is needing someone else to feel smaller so you can feel bigger.
You can be great without needing to be better than anyone else.
“I’m great” is confidence.
“You’re less than me” is arrogance.
#menthepodcast #menmenmen
"Watu hawamuattack Nickson, watu wanamuattack Nikki wa Pili."
Nikki wa Pili anazungumzia jinsi umaarufu unavyobadili namna watu wanavyokuona na kukuhukumu. Je, ukosoaji unaelekezwa kwa mtu halisi au kwa taswira yake?
Sikiliza zaidi: linktr.ee/menthepodcast
#menthepodcast
Kutoka Daraja Mbili, Arusha hadi kuwa miongoni mwa watu wenye ushawishi mkubwa Tanzania.
@nikkwapili anafunguka kuhusu maisha, mafanikio, familia, uongozi na safari yake isiyotarajiwa.
Sikiliza hapa: linktr.ee/menthepodcast
#menthepodcast #nikkiwapili #podcasttanzania #maisha
From upbringing to mindset.
Nikki wa Pili opens up on how malezi shaped his view on life, success, and leadership.
Tazama/ sikiliza👇
linktr.ee/menthepodcast?utm_…
#menthepodcast #nikkiwapili #malezi #mitazamo
Kabla ya kuwa Black X Director, alikuwa kijana mwenye ndoto za kuwa rapa.
Baba yake aliamini ndoto yake na kuisukuma mpaka redioni.
Wakati mwingine mtoto anahitaji mtu mmoja tu wa kumuamini. ❤️
👉 linktr.ee/menthepodcast
#menthepodcast #blackxdirector
“Maendeleo na mchakato. Uki skip, utakutana na consequences.”
Jenga msingi kwanza, usikimbilie juu.
👉 linktr.ee/menthepodcast
#menthepodcast #mchakato #growth #mindset










