Michepuko Sio Dili (@Michepuko) profile picture
Joined February 2014
Photo by Michepuko Sio Dili (@Michepuko)Photo by Michepuko Sio Dili (@Michepuko)Photo by Michepuko Sio Dili (@Michepuko)Photo by Michepuko Sio Dili (@Michepuko)Photo by Michepuko Sio Dili (@Michepuko)Photo by Michepuko Sio Dili (@Michepuko)Photo by Michepuko Sio Dili (@Michepuko)Photo by Michepuko Sio Dili (@Michepuko)Photo by Michepuko Sio Dili (@Michepuko)Photo by Michepuko Sio Dili (@Michepuko)
Acha hayo mambo kijana RT @gilman_thobias: facebook hatunaga mapenzi.michepuko na vimada zama whatsapp na insta nukta.
1
2
Kuwa makini na Ahadi..si kila unaloahidiwa ni jema kwako na familia yako
1
2
8
Na Ukimwi unakusibiri ukupige kilo 4 za fastaaa RT @somebarry: Nikatafute malaya niigonge bao 4 bila condom kama aston villa
1
1
Michepuko Sio Dili retweeted
Replying to @slim_cony
@Idiot_cony noma sana aisee!!Kuna mtu pia juzi kanipa story dada wa kazi binti wa 16yrs katoka kijijini wiki tu kaanza kuumwa kumpima yuko +
1
1
Unaona sifa eeh? RT @KitigoG: Alipata kamchepuko mpaka watoto wanajua Anajisifu bila haya. Mbona wenzie tunahandle michepuko 3 kimyakimyaa?
1
Michepuko Sio Dili retweeted
my dear .. @Divathebawse cm huaribu mapenz kama MTU unakuwa na michepuko..naomba wapenz tutumie cm vizuri Niko sawia name @MteiClemency – at Iringa, Tanzania
2
2
Michepuko Sio Dili retweeted
Aaakhaaaa....mie kwenye michepuko simoo🏃🏃🏃 teapawt.net/michaelmakarave/status…
Replying to @MainanKisanga
@MainanExtra wacha michepuko ipungue bhaaan
1
1
Haya wale mlioseviwa "Blanketi","Hita", "Cha Mvua",..Simu zenu ziko busy tu saa hizi mnatafutwa mkatoe joto..Kama wewe sio Mchepuko ni nini?
2
3
2
Kweli?! RT @BijouMami: So kama una Demu wako,ujue tu your friend watamtaka na watampata!Tena wakiwa Na pesa NDIO kabisa huna chako!
1
Michepuko Sio Dili retweeted
Kama mpenzi wako unamuona mbaya, kuna wabaya zaidi yake, na kama kuna mwanamke unamuona mzuri, kuna wazuri zaidi yake.. Huwezi wamaliza
3
14
13
Hali ya hewa isiwe kigezo cha kuchepuka. Kunywa chai, supu, vaa jacket na kama uzalendo unakushinda nyoosha njia kuu! #MichepukoSioDili
1
2
Kama sio matatizo ni nini? #BakiNjiaKuu linda heshima yako! teapawt.net/midasijunior1/status/5…
Mchepuko.kapewa.kadi.ya.mwaliko,hatariii.sanaaa!
1
Je ni Mambo gani yanayoweza kumsababisha mtu achepuke? #bakinjiakuu
1
1
This #TBT throw away all your michepuko!!
2
You’re unable to view this Post because this account owner limits who can view their Posts. Learn more
1
Michepuko Sio Dili retweeted
Ndoa inahitaj maandalizi na kujipanga usije kumchukua mtoto wa watu af msosi wenyewe wa manati na ndo hapo michepuko inatokea @maryamkitosi
2
1
Hakuna cha 'beib nipitie, si unajua mgomo?'! Baki Njia Kuu, kama hana gari fanya mazoezi! Siku moja moja si mbaya!
1
1
Eti ukifuatiliwa sana kaa chongo..unaweza kuachwa! Ni kweli?
1
Haya, michepuko16 yote ya nini? No sifa gani mtu napata kuwa na michepuko? maishahalisi.wordpress.com/2…
2