
Gender Equality Enthusiast|Founder @woyomo_tz ๐| Girls &Young Womenโs Rights Advocate |Feminist|Film Producer &Story Teller
Tanzania ๐น๐ฟ
Joined August 2021
- Tweets5.7K
- Following238
- Followers1.2K
- Likes30.8K
Pinned Tweet
I had preverage of meeting @Malala where I shared about my story, what keep me going and challenges we are facing as young women leaders in Tanzania.
I also spoke on how funding systems should be disgned with girls in mind.
Thank you @Malala and @MalalaFund
Monica Patrick retweeted
๐๐, ๐ง๐ข ๐ฎ๐ณ๐ฎ๐ฌ๐ก๐ข ๐ ๐๐ง๐ข ๐ค๐ฎ๐ก๐ฎ๐ฌ๐ฎ ๐ฎ๐ณ๐๐ณ๐ข ๐ฐ๐ ๐ฆ๐ฉ๐๐ง๐ ๐จ ๐ฎ๐ฆ๐๐ฐ๐๐ก๐ข ๐ค๐ฎ๐ฌ๐ข๐ค๐ข๐?
Usikose kufuatilia #RealTalkShow Jumamosi hii tutajadili kwa kina na kupata taarifa sahihi LIVE YouTube: tinyurl.com/47jdvfdb
#ElimikaWikiendi
Monica Patrick retweeted
Mjadala muhimu katika kupambana na kutokomeza vitendo vya Ukatili wa Kijinsia.
Usikose kufuatilia itakuwa mubashara kupitia kurasa za @ElimikaWikiendi X, YouTUbe, Facebook na Linkedln
#ElimikaWikiendi #ZuiaUkatili #EndGBV
Monica Patrick retweeted
Unapopost picha au video kwenye mitandao ya kijamii, unawaza itapata likes au comments nyingi au itakuwa gumzo. Lakini je, umewahi kujiuliza nini kitatokea picha au video hiyo ikisambaa tofauti na ulivyotarajia?
Matukio ya hivi karibuni yanayohusisha baadhi ya wahitimu wa kidato cha nne yameibua mjadala muhimu kuhusu namna vijana wanavyotumia mitandao ya kijamii. Lakini je, vijana wanapata mwongozo wa kutosha kuhusu matumizi salama na yenye uwajibikaji ya mitandao ya kijamii? Wazazi, walimu na jamii tuna nafasi gani katika kuwajengea uelewa?
Wiki hii kwenye #ElimikaWikiendi, tunawakutanisha wataalamu wa malezi na maadili, walimu, washauri wa mitandao ya kijamii na wataalamu wa usalama mtandaoni kwa mjadala zaidi.
Fuatilia LIVE kupitia kurasa zetu za mitandao ya kijamii ya YouTube, Facebook na X/Twitter, @ElimikaWikiendi.
#MILTanzania #UraiaWaKidijitali #DigitalCitizenship #CriticalThinking
Monica Patrick retweeted
Je, wajua tukiongelea afya ya uzazi hatuongelei โSex Education pekee? tunaongelea elimu sahihi na taarifa sahihi za afya ya uzazi, afya ya hedhi,ulinzi dhidi ya ukatili wa kijinsia, uzazi wa mpango, ridhaa pamoja na kinga dhidi ya magonjwa ya zinaa na VVU.
#ElimikaWikiendi
Monica Patrick retweeted
Je wajua, Simiyu ni mkoa wenye kiwango kikubwa cha mimba za utotoni, kwa asilimia 30% hadi 32% . Hii inachangiwa na kuwepo kwa mifumo ya kiutamaduni na ndoa za utotoni - (ikijumuisha mila za mahari), umaskini wa kaya pamoja na ukosefu wa elimu ya afya ya uzazi.
#ElimikaWikiendi
Monica Patrick retweeted
Je, wajua kuwa serikali imeelekeza vituo vya afya nchini kuwa na sehemu ya kutoa huduma rafiki za afya ya uzazi kwa vijana?. Sehemu ambayo kijana atapata taarifa na huduma rafiki za afya ya uzazi ikiwemo elimu rika, kinga, uzazi wa mpango na huduma zingine.
#ElimikaWikiendi
Monica Patrick retweeted
Je wajua kuwa magonjwa ya ngono sugu yanaweza sababisha ugumba na wakati mwingine kuondolewa kwa sehemu za siri?. Haya yote ni matokeo ya kuficha magonjwa na kuogopa kutafuta tiba mapema kwasababu ya kuogopa watu kukuhukumu na kusahau kuwa maradhi hayafichiki. #ElimikaWikiendi
Monica Patrick retweeted
Je wajua kuwa bado kuna misemo potofu kuhusu ubora wa kondomu katika jamii zetu. Na baadhi ya vijana wanasema matumizi ya kondomu yanaweza kuchangia kupata kitambi๐. Usemi huu pamoja na semi nyingine nyingi zinachangia vijana kutokutumia kinga.
#ElimikaWikiendi
Monica Patrick retweeted
Je wajua changamoto kubwa inayozuia vijana kupata huduma rafiki kwenye vyumba rafiki ni pamoja na uwepo wa watoa huduma wasio rika la vijana hali inayochangia vijana kuogopa kuhukumiwa kwa uwepo wao kituoni na kuhofia usalama na usiri wa taarifa na data zao. #ElimikaWikiendi
Monica Patrick retweeted
Je wajua, mfumo dume katika jamii mbalimbali huchangia kuongezeka kwa vitendo vya ukatili wa kijinsia na wanawake kunyimwa haki yao ya kufanya maamuzi na machaguo juu ya miili yao ikijumuisha lini ni wakati sahihi wa kupata ujauzito na mwenza wa kuwa nae.
#ElimikaWikiendi
Monica Patrick retweeted
Je wajua, wasichana hutumia vitu mbalimbali kujihifadhi wanapokosa pedi wawapo hedhini. Baadhi hutumia nguo, soksi na hata kinyesi cha ngโombe.Kutokana na kushindwa kumudu gharama za kununua taulo za kike, na wazazi kutokutenga bajeti ya kuwasaidia kupata. #ElimikaWikiendi
Monica Patrick retweeted
Je wajua mimba za utotoni huatarisha afya ya uzazi za wasichana?. Na kuwa kwenye hatari ya kupata changamoto za wakati wa kujifungua, kupoteza damu nyingi, na huwa kwenye hatari ya kupoteza maisha. #ElimikaWikiendi
Monica Patrick retweeted
Je wajua hakuna kitu cha vijana kinachotakiwa kufanyika bila vijana?.Hivyo ndivyo tulivyowahusisha na kuwaamini vijana kwa kuwapa elimu na nafasi ya kuchechemua upatikanaji wa huduma rafiki za afya ya uzazi kwenye jamii.Tunaamini vijana wanajua wanachokihitaji. #ElimikaWikiendi
Monica Patrick retweeted
Je, wajua? Tanzania, 22% ya wasichana wenye miaka 15โ19 wamewahi kupata ujauzito. Morogoro, ni 28% juu ya wastani wa kitaifa, ingawa kimeshuka kutoka 39% mwaka 2015/16. Tunahitaji kuendelea kuwapa vijana taarifa na huduma sahihi za Elimu ya #AfyaYaUzazi
#ElimikaWikiendi
Monica Patrick retweeted
Je, wajua? Hofu ya kuhukumiwa inaweza kuwazuia vijana kuuliza maswali kuhusu afya ya uzazi. Vijana wanahitaji taarifa na huduma zinazolinda usiri wao, zisizowahukumu na zenye mazingira rafiki. Kuuliza hakupaswi kuleta hofu.
#ElimikaWikiendi #AfyaYaUzazi #SemaNami
Monica Patrick retweeted
Usiache kufuatilia mambo 10 ya Je, wajua kutoka kwa @OvahTanzania
Jumamosi hii kwenye #ElimikaWikiendi
Monica Patrick retweeted
10 za Je, wajua zitahesabiwa na @OvahTanzania
Usikose kufuatilia #ElimikaWikiendi kufahamu zaidi.
Monica Patrick retweeted
Dondoo 10 za Je wajua.
Zitahesabiwa na @woyomo_tz wakigusia masuala muhimu ya afya ya uzazi.
Kijana jiandae kujifunza na kupata fact za kijanja.
#ElimikaWikiendi
Monica Patrick retweeted
Mambo 10 muhimu ya kutokomeza Ukatili wa kijinsia yataletwa na @MelamiVictoria ndani ya jukwaa la #ElimikaWikiendi
Usikose kufuatilia!
Monica Patrick retweeted
Je, ni mila zipi potofu ambazo bado zinawakwamisha wanawake kufikia uhuru wa kiuchumi?
Shiriki kwenye mdahalo huu muhimu kwa njia ya X-Space tujadili suluhisho za kudumu.
Bofya link kuweka remainder teapawt.net/i/spaces/1dxYllLnpBgJX
#ElimikaWikiendi #KizaziChenyeUsawa

























