COVID-19, PHD (@Moodrich1) profile picture

PANDEMIC

New York, USA
Joined December 2019
Photo by COVID-19, PHD (@Moodrich1)Photo by COVID-19, PHD (@Moodrich1)Photo by COVID-19, PHD (@Moodrich1)Photo by COVID-19, PHD (@Moodrich1)Photo by COVID-19, PHD (@Moodrich1)Photo by COVID-19, PHD (@Moodrich1)Photo by COVID-19, PHD (@Moodrich1)Photo by COVID-19, PHD (@Moodrich1)Photo by COVID-19, PHD (@Moodrich1)Photo by COVID-19, PHD (@Moodrich1)
Kwa kilichotokea mamtoni na kuamua kutokea mlango wa nyuma mauzo ya firlm yetu ya Royal Tour yataporomoka kupitia (Constitution reform) madai ya katiba mpya yameharibu hali ya hewa
Mtu maarufu kwa sasa Afrika mashariki ni Fiston Kalala Mayele anaepinga apeleke pingamizi lake mahakamani aliondoe mtaani sio mahala pake
Alisalitiwa masihi (Yesu) itakuwa wewe haujapewa hata thumuni ya muujiza
Watawala wanavyoikataa Katiba mpya unaweza fikiri ni kikundi cha ugaidi
COVID-19, PHD retweeted
MTEJA ANA HAKI YA KUONA CHETI CHA MUUZA DUKA LA DAWA Ukaguzi wa Wizara ya #Afya umebaini Wamiliki na watoa huduma wengi katika maduka ya dawa sio waaminifu Vilevile, wapo wengine wanaohudumia wateja lakini hawana Elimu hiyo Soma - jamii.app/DukaLaDawa #JamiiForums
12
18
3
212
Tanzania wants Constitution reform
COVID-19, PHD retweeted
🤣🤣🤣
Makongoro Nyerere Leo anakwambia Mauzauza Oyeee!
33
36
2
253
Artist; Pépé Kallé & Empire Bakuba Song; Young Africa Album; Gardez Votre Souffle Released; 1995
21
74
2
394
Wapinzani wakweli wakiwa njee ya bunge wanakuwa wapambanaji wa hili taifa kama wapo bungeni vile
Mwenyee madudu sio rahisi kushughulikia madudu ya wengine wakati yeye pia anayoyakwake
Rais @SuluhuSamia nitakutumia kitabu changu usome Sura ya 6, nimeelezea vizuri kitu kinachosababisha uwingi wa mahabusu kwenye Magereza yetu na nimetoa ushauri pia. Ofisi ya DPP walipaswa kuwa wa kwanza kununua kitabu hiki,lakini wanapiga simu na kuuliza bei tu, sijui hawana hela
49
99
5
670
COVID-19, PHD retweeted
Safi sana - Watanzania tutaendelea kupambana na kupaza sauti mpaka UONEVU uishe na HAKI za wananchi wote zipatikane Tanzania. #KatibaMpya #WenyeNchiWananchi #JoinTheChain
19
80
7
509
TrueBoy ametukataa hadharani arifee, kwamba siyo mwenzetu na hajawahi kuwa na kadi yoyote (hata yetu), lakini siyo kesi, ameiweka kitaalam, binafsi nimemuelewa mwana.. TUISHI! 👊🏾
52
96
4
879
I congratulate the Rt. Hon. @AnitahAmong and Hon. @Thomas_Tayebwa upon being elected NRM flag bearers for Speaker and Deputy Speaker of Parliament respectively. For us in the NRM, it is not about who, but what is to be done.
488
471
35
2,592
Madam President @SuluhuSamia I think you should listen to these short lines from @ledamalekina (Narok County senator), making some senses on forceful evictions of Ngorongoro indigenous people, the Maasai. @venusnyota pass this to the president!
14
102
4
499
Kwann nihakikishee hilo basi niachiee mie na watanzania tutaelewana, wamekwambia ww tutafika kweli kwa majawabu haya