
Official Twitter Account for Moshi cooperative University| Ukurasa rasmi wa Chuo Kikuu Cha Ushirika Moshi ig: https://teapawt.net/t.co/PrdGL6WHQy #Ushirikanibiashara
Kilimanjaro, Tanzania
Joined June 2022
- Tweets27
- Following8
- Followers82
- Likes36
Moshi Cooperative University retweeted
Si ya kukosa tukutane Tanga.
#WikiyaKitaifayaElimuUjuziUbunifu2024
#ElimuUjuziMwelekeompya
#kaziiendelee
Moshi Cooperative University retweeted
UFAFANUZI KUHUSU MALIPO YA FEDHA ZA KUJIKIMU KWA ROBO YA NNE
Ijumaa, Mei 17, 2024
Tunapenda kuwafahamisha wanafunzi wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu na umma kuwa tunakamilisha malipo ya fedha za kujikimu (Chakula na Malazi) kwa robo ya nne (Quarter IV) na wanafunzi watarajie kupokea fedha hizo kuanzia Jumatatu, Mei 20, 2024.
Ufafanuzi huu unafuatia maoni na maswali yanayoulizwa na wanafunzi wanufaika kupitia barua pepe, mitandao ya kijamii kuhusu hatua ya malipo iliyofikiwa hususan kwa vyuo ambavyotarehe za malipo (due dates) ya robo ya nne zimefika.
Aidha, tunapenda kuwasihi wanafunzi kuendelea kuwa watulivu na kuwasiliana na Maafisa Mikopo waliopo katika vyuo vyote nchini pale watakapokuwa na maoni au kuhitaji ufafanuzi.
Katika mwaka wa masomo 2023/2024, Serikali imetenga TZS 786 bilioni kwa ajili ya mikopo na ruzuku kwa wanafunzi zaidi ya 220,000 wanaosoma shahada na stashahada mbalimbali katika taasisi za elimu nchini.
Taarifa hii pia inapatikana katika tovuti ya HESLB (heslb.go.tz) na mitandao ya kijamii ILIYOTHIBITISHWA ya X (zamani Twitter), Facebook na Instagram kwa jina la HESLB Tanzania.
Imetolewa na:
Dkt. Bill Kiwia
Mkurugenzi Mtendaji
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu,
Jengo la PSSSF, Barabara ya Makole,
S.L.P. 984,
DODOMA
Ijumaa, Mei 17, 2024
#WeweNdoFuture
#TimizaWajibu
Moshi Cooperative University retweeted
Cooperative principles: collective decisions, equitable benefits, inclusive community. Let's build a better future together! 🌍💫#eyeeterekera #Cooperation #Community #Sustainability
Moshi Cooperative University retweeted
📢CALL FOR PAPERS!!
Submissions for papers for the Midterm Review of the 13th Africa Ministerial Cooperative Conference are now open.
🗓️Submission deadline: 4th March 2024
More information ➡️ bit.ly/47RSLjB
Moshi Cooperative University retweeted
Timu ya wanafunzi wa Chuo wanaoshiriki michezo mbalimbali katika mashindano ya Vyuo Vikuu (TUSA) mwaka 2023.
Michuano hiyo imeanza tarehe 13 na itahitimishwa 21 Desemba
MoCU, Timu ya Ushindi.......💪💪 – at Kilimanjaro, Tanzania
Moshi Cooperative University retweeted
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi Mhe. Anne Makinda amekuwa mgeni rasmi katika majilisi (Convocation) ya tisa yaliyohusisha wanafunzi, wahitimu waliosoma Chuo cha Ushirika, MUCCoBS na Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi, watumishi waliowahi kufanya kazi na wanaofanya kazi chuoni – at Kilimanjaro, Tanzania
Moshi Cooperative University retweeted
#PoleniHanang
Tunatoa salamu za pole kufuatia maafa yaliyosababishwa na mafuriko na maporomoko yaliyotokea.
Tunawaombea marehemu pumziko la amani na ahueni kwa manusura.
#PoleniHanang
Moshi Cooperative University retweeted
Wanafunzi 2,177 wamepangiwa mikopo yenye thamani ya TZS 7.26 bilioni baada ya kuwasilisha maombi ya rufaa kwa mwaka wa masomo 2023/2024 kwa kujaza taarifa na kuwasilisha nyaraka za kuthibitisha uhitaji wao.
Tembelea SIPA kupara taarifa zaidi.
#WeweNdoFuture
#TimizaWajibu
Moshi Cooperative University retweeted
Ni #HESLBMtandaoniChallenge
Je, unaikumbuka challenge yetu ya Jumanne, Novemba 28?
Tunampongeza Kassim Ally a.k.a @keuajr wa pale @MoCU_official kwa kuibuka mshindi.
Ameshapokea TZS 20,000. Upo tayari kwa challenge nyingine? Kaa tayari
#WeweNdoFuture #TimizaWajibu
Moshi Cooperative University retweeted
#Cooperatives play a crucial role in addressing the challenges faced by micro, small and medium-sized enterprises. With their networks and expertise, SACCOs can help MSMEs access the funding they need to grow and succeed.
Read more 👉 linkedin.com/feed/update/urn…
@Coopnewsmedia
Moshi Cooperative University retweeted
We were happy to host our members from Moshi Cooperative University led by the Vice Chancellor, Prof. Alfred Sife.
Thank you @MoshiUniversity for your continued support and collaboration.🙏
#teamworkmakesthedreamwork
Moshi Cooperative University retweeted
#UniTurku deepens its long-term ties with Tanzanian partners. During this week's visit, new cooperation has been planned to advance sustainable development. Today, Rector @JukkaKola signed MoU's with both @MoshiUniversity and @Tanzania_RA. Looking forward to future collaboration!





















