MrSolarGrid (@MrSolarGrid) header
MrSolarGrid (@MrSolarGrid) profile picture

Passionate solar energy activist ☀️ | Promoting clean and sustainable electricity solutions 🌍 | Let's shine a light together on renewable energy! #SolarEnergy

Geita Tanzania
Joined March 2021
Battery ni 16yrs mpaka 20yrs of lifespan Inverter ni 10yrs mpaka 15yrs of lifespan. 3phase Inverter
3
Solar car-port, hapa unapata umeme na gari ikiwa kimvulini. Solar panel capacity 9.92kW Lithium battery capacity 15kWh × 2pc = 30kWh Tunazalisha 48kWh kutoka kwenye solar panel ndani 7hrs za jua, au tuseme Unit 48 Battery useble capacity ni 27kWh au Unit 27.
1
28
Jambo zuri ila hii inaweza kuwa miongoni mwa PV Project ingine No2 hapa Tz baada ya Ile ya Kigoma ujiji ya 5MW Aidha yakwanza kwa ukubwa karibia mara 14 na ile ya Kigoma kichanga chui Ni mwelekeo mzuri wa Taifa katika maswaala ya Renewable energy katika Solar energy
2
8
1,081
Now iko Grid-tied system. Kuna Huwawei Grid-tie Inverter hapa zakutosha mfano hii ni 100kw
1
2
73
Ukiwekeza kwenye kujenga nyumba yako yakuishi, basi utakacho fuatisha ni tank ya kutunzia maji kisha mifumo ya ulinzi kama electri fence, CCT Camera, na Gate Motors sasa uwekezaji wako wote huo bila kuwa na chanzo kingine cha umeme kama Solar system maana yake hujamaliza bado.
2
4
168
@PresenterNoah suluhisho sahihi la umeme kukata ni hili Walau basi backup kama hapa patakuwa parefu Backup tuu ya solar panels zako 3 hivi halafu unaendelea kuishi ki askari.
1
3
580
Hiii hapa unapata na warranty ya 10yrs
180
kama ushawahi jiuliza ni wapi utapata battery bora ya maisha yako.! basi battery bora zinaatikana kwetu @MrSolarGrid . battery ambayo inadumu kwanzia miaka 15 mpaka 20, miongomiwilihiyo warranty 10yrs, Ni battery ambazo zinakutumia taarifa zake kwenye smartphone yako .
2
1
7
1,358
Solar panel 555w kwa TZS 360,000 ofa mpaka tarehe 5/10/2024. Sasa nijukumu lako kuendana na ofa hii au laa.
1
4
126
Hivi unajua nishati ya umeme jua vile inaendelea kuishika dunia kwa kasi?. Maana ukizingatia hata gharama ya Solar panel [ PV ] imeendelea kuwa rafiki kwa watu wa vipato tofauti tofauti. Hivyo chukua hatua uondokane na Load shedding
1
1
4
709
Replying to @GaetanoDiPietr9
Is all about renewable energy 🤝
12
Replying to @zoetjesheeftX
kaumia kidogo tuu halafu
9
Replying to @MwauraRobert2
Nchi za kiafrica zina vyanzo vingi vyakuzalisha umeme ambavyo ni salama kwa mazingira ambavyo vingeweza kuzalisha umeme wa uhakika, tofauti na sasa wanavyotumia nguvu nyingi kuharibu mazingira kwa kuzalisha nishati ya umeme.
1
1
1
52
Renewable energy Jitegemee kwenye umeme Kuondoa adha ya load shedding
2
100