MSLegalAidCampaign retweeted
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Mhe. @zainabkatimba, Februari 24,2026 jijini Dar es Salaam amefungua Kongamano la Nchi za Afrika Mashariki kuhusu mchango wa teknolojia katika utoaji wa huduma za msaada wa kisheria na upatikanaji wa haki.
MSLegalAidCampaign retweeted
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Dkt. Juma Zuberi Homera amewasili Nchini Geneva, Uswisi kuhudhuria Mkutano wa Ngazi ya Juu katika Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa tarehe 23 Februari, 2026.
Mhe. Waziri atawasilisha taarifa ya Nchi juu ya hali ya Haki za Binadamu.
MSLegalAidCampaign retweeted
MATUMIZI YA KIDIGITALI YALIVYORAHISISHA UPATIKANAJI VYETI VYA KUZALIWA NDANI YA SAA 48
Morogoro Mjini, katika Stendi ya Zamani ya Mabasi, mwananchi akikabidhiwa hati ya kiapo kwa ajili ya kuwasilishwa mahakamani ili kuwa msimamizi wa mirathi, kupitia banda la Wizara ya Katiba na Sheria walioweka kambi katika Kliniki ya Msaada wa Kisheria.
WANANCHI WAHIMIZWA KUTUMIA MTANDAO KWA USAJILI WA VYETI VYA KUZALIWA NA ... youtu.be/ir2A7m7V3_w?si=XEF0… via @YouTube
Vyeti sasa kupatikana ndani ya masaa 48 kupitia programu maalumu ilio zinduliwa na wakala wa usajili ufilisi na udhamini (RITA).
#sisinitanzania #katibanasheria #nchiyangukwanza #mslac #kazinaututunasongambele
Tanzania inajengwa na sisi wenyewe na nijukumu lakila mtanzania kuhakikisha analinda amani ya nchi yetu.
#sisinitanzania #mslac #ssh #katibanasheria #nchiyangukwanza
Watu zaidi ya laki tatu kwa mkoa wa Morogoro walifikiwa na huduma ya msaada wa kisheria kwa awamu ya kwanza iliyopita.
#sisinitanzania #mslac #ssh #katibanasheria #nchiyangukwanza
Waziri wa katiba na sheria Mhe. Juma Zuberi Homera amhakikishia mkuu wa mkoa wa Morogoro halmashauri zote za mkoa wa Morogoro kufikiwa na huduma za msaada wa kisheria katika kipindi cha awamu ya pili ca huduma hiyo kwani uhitaji kwa wakazi na wananchi wa mkoa huo ni mkubwa.
HAKUNA MWANANCHI WA MKOA WA MOROGORO ALIE SHIRIKI MAANDAMANO OKTOBA 29-Mhe.Juma Zuberi Homera waziri wa katiba na sheria wakati akizindua kliniki ya msaada wa kisheria.
#sisinitanzania #mslac #ssh #katibanasheria #nchiyangukwanza
Msaada wa kisheria kwa haki,usawa,Amani,na maendeleo.
#WizaraYaKatibaNaSheria #Mslac #SSH #Katibanasheria #Kazinaututunasongambele
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Juma Homera anakutana na watendaji waliochini ya Wizara hiyo wa Mkoa wa Morogoro Kuakisi utendani ambao ni Ofisi ya Mwanasheria mkuu wa serikali, Ofisi ya Wakili mkuu wa serikali OSG, Mahakama ya Tanzania na Wakala wa Ufilisi na Usaili RITA
Hatua moja ya ushauri inaweza kuokoa maisha yako.
#katibanasheria #MSLAC #sisiniTanzania #Nchiyangukwanza #Nchiyetufahariyetu #WizaraYaKatibaNaSheria #kazinaututunasongambele #SSH #HakiKwaWote
Wasiliana nasi:
0262160360
Kila mtanzania anastahili msaada wa kisheria.
#katibanasheria #MSLAC #sisiniTanzania #Nchiyangukwanza #Nchiyetufahariyetu #WizaraYaKatibaNaSheria #kazinaututunasongambele #SSH #HakiKwaWote
Wasiliana nasi:
0262160360
Hatua moja ya ushauri inaweza kuokoa maisha yako.
#katibanasheria #MSLAC #sisiniTanzania #Nchiyangukwanza #Nchiyetufahariyetu #WizaraYaKatibaNaSheria #kazinaututunasongambele #SSH #HakiKwaWote
Wasiliana nasi:
0262160360
Heri ya siku ya uhuru,Tuendelee kulinda tunu zetu za Amani,umoja na mshikamano.
#katibanasheria #MSLAC #sisiniTanzania #Nchiyangukwanza #Nchiyetufahariyetu #tanzania #HakiKwaWote #WizaraYaKatibaNaSheria
KWANINI UHAKIKI WA UMILIKI NI MUHIMU KABLA YA KUFANYA MALIPO YA ARDHI.. ? #katibanasheria #MSLAC #wizarayaardhi #SisiniTanzania #Nchiyangukwanza #TanzaniaNiwajibuwetu #tanzaniayahakinaamani#Nchiyetufahariyetu #wizarayakatibanasheria @ikulu_mawasiliano @juma_zuberi_homera
























