Msafiri retweeted
"Azizi ki kawa mzito, azizi ki hachezeshi kule mbele, aziz ki hamlishi mipira shasha man, azizi ki hana msaada kwenye timu, azizi ki hachezi kama mchezaji"
Binafsi nasimama na azizi ki ataendelea kuwepo yanga na ana kadi ya uwanachama lolote baya nitamtetea kwa wivu sana🤝
Watu wa medicine bana unakuta namba ya mteja wake kaisave kwa jina la dawa utasikia amoxicillin kanipigia😁😁
Msafiri retweeted
Sasa sisi mashabiki wa man U tumemkosea nini muumba?au laana juu yetu!! FVCK YOU CHELSEA & ARSENAL FANS
Msafiri retweeted
Gaffer juma mwambusi 🔥
Tumpe muda ataibadili United ana ideas nzuri nimeziona kuna kitu anajaribu kukipanda chama litarudi kwenye makali..
GG Man United
Kuna mzee hapa kijiweni yeye ni shabiki wa Man U kasema anaiona kabisa msimu huu ikishuka daraja vipi mzee atakuwa sahihi au amepuyanga?😁
Msafiri retweeted
Nilikuwa safarini...ndio napitia matusi yenu😂Mmekuja juu km moto wa kifuu wenyewe ...Hakuna hata tusi jipya ..watu tumezaliwa kipindi ichoo tusi kubwa mngese mpka sasa hv limekuwa kimvumishi🚮mweh😂😂😂

























