Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Mhe. Thobias Andengenye, amezindua rasmi zoezi la ugawaji wa vyandarua vyenye dawa katika ngazi ya kata, mitaa, vijiji na kaya, mkoani humo, ambapo vyandarua zaidi ya milioni 1.7 vitagawiwa bure kwa wananchi katika halmashauri nane za mkoa huo.
Katibu Tawala Mkoa wa Kigoma Ndg. Hassan Rungwa awataka wadau wa Sekta ya Afya Mkoani Kigoma, wametakiwa kushirikiana na MSD kwa ukaribu katika utekelezaji majukumu na mipango yao, Ili kuboresha upatikanaji wa bidhaa za afya nchini.
#Tabora
Mkuu wa Wilaya ya Tabora Mhe.Deusdedith Katwale ameipongeza Menejimenti ya MSD pamoja na Uongozi na Watumishi wa MSD Kanda ya Tabora, kwa kuboresha na kuimarisha huduma zake Mkoani humo, hali iliyowezesha kupungua kwa malalamiko ya wateja na wananchi kwa ujumla.
Bohari ya Dawa (MSD), inawakaribisha Makampuni, viwanda na Taasisi za Serikali na za binafsi na watanzania kwa ujumla kutembelea banda lake kwenye maonyesho ya Kimataifa ya Usalama na Afya mahali pa kazi kwa mwaka 2025, yanayofanyika kitaifa Mkoani Singida kwenye viwanja vya
Bohari ya Dawa (MSD) imenunua na kupeleka mashine za kisasa zenye Tekinolojia ya Akili Mnemba (Artificial Intelligence) kwa ajili ya Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), ili kuiwezesha taasisi hiyo kutoa huduma za kisasa.
Mashine hizo ambazo baadhi tayari
Bohari ya Dawa (MSD), imetunukiwa tuzo ya umahiri wa utoaji huduma kwenye sekta ya Famasi nchini *(Award of Service Excellence in Pharmaceutical Sector)* kupitia tuzo za mwaka za Tanzania Service Excellence Award 2024, zilizoandaliwa
Bohari ya Dawa ( MSD) imeingia makubaliano na Jeshi la Polisi Tanzania yanayolenga kuimarisha ulinzi na usalama wa bidhaa za afya zinazosambazwa na MSD nchini.
Makubaliano hayo pia yamelenga kusimamia kikamilifu mfumo wa usafirishaji wa bidhaa za afya







































