
Building @kazzziapp || Youth Advisor in UNICEF π©΅ || Economics, Business & Global Studies π || 10 Yrs+ driving youth engagement & Sustainable Development π
Peace
Joined June 2018
- Tweets652
- Following1.1K
- Followers1.9K
- Likes802
Emmanuel Cosmas Msoka retweeted
Mabechela, hamna haja ya kuhangaika na usafi wa nyumba! π§Ήπ‘
Kupitia app ya Kazzzi, unaweza kupata huduma za usafi na kupanga ratiba kulingana na mahitaji yako. Wewe shughulika na mambo yako, usafi achia wataalamu!
Download Sasa kazzzi.com/go/x-socials-x-in⦠ni rahisi.
Emmanuel Cosmas Msoka retweeted
Umebanwa Majukumu unashindwa kufua na kufanya usafi nyumbani kwako?
Kuna hawa wanaitwa KAZZZI watakusaidia kupata mtu wa kufanya usafi tena kwa gharama nafuu kabisa.
Pakua App yao kupitia link hii upate mtu wa usafi wenye gharama nafuu
kazzzi.com/go/x-socials-x-inβ¦
Tujifunze historia yetu na tuifundishe kwa watoto na vijana wetu. Kuijua safari yetu ya maendeleo kiuchumi, kijamii, kisiasa na kiutamaduni, mapambano ya ukombozi tuliyopitia, na hata wale waliokwamisha maendeleo ya taifa letu, ni chachu ya uzalendo na msingi wa uongozi bora.
Emmanuel Cosmas Msoka retweeted
Mwanetu @MsokaEmmanuel at it again! πβ¨
Once a proud recipient of the Commonwealth Youth Award for Excellence in Development Work (2025) in the Peace category, Emmanuel continues to demonstrate outstanding leadership, impact, and dedication to community development.
Now, adding to this impressive recognition (among others), he has won 1st Place at the Hood College Entrepreneurship Pitch Competition ππ½ Keep going and inspiring other youth-a Generation Z leader showcasing the power of youth leadership from Tanzania to the world. The journey continues, and the impact is only growing.
Hongera sana, Emmanuel! πΉπΏ
Protect our youth-they are the drivers of tomorrowβs change.
Emmanuel Cosmas Msoka retweeted
Botswanaβs President Duma Boko:
Africa is poised to rule the world.
Tucker Carlson:
So, what are your plans for the world once you rule it?
Boko:
To make it fairer, to make it more equitable. To ensure that intellectual property is internalized in every part of the African continent, that innovation serves humanity and not just a predatory elite, and that everybody can partake equitably and benefit from the fruits of the economy and the vast opportunities that are available in the world.
Emmanuel Cosmas Msoka retweeted
Zimbabwe's President Emmerson Mnangagwa:
We donβt need to please the West or please the East; we please ourselves.
Emmanuel Cosmas Msoka retweeted
Big day π
@NALAmoney (via @rafiki_api) + @Noah_HQ are launching an instant stablecoin settlement network for emerging markets.
Global businesses can now collect USD and pay out local currency in minutes β not days β without relying on correspondent banking rails built for another era.
I'm excited about this payment collections and settlement layer we've built for emerging markets β‘π
2025 π
- Launch @Kazzziapp
- Won 2nd Peace Prize
- Won Commonwealth Peace Award
- Won Bromer Award
- Won π₯ THINK BIG Pitch Competition
- Youth Advisor UNICEF Private Partnerships & Fundraising
- Youth Advisor Comic Relief US
- Tanzania Youth Workshop Season 2
- Wrote Kids Book
Emmanuel Cosmas Msoka retweeted
From Jan 1, 2026, Tanzanians are effectively locked out of the US on B1/B2 visas β valid or not β unless they receive a rare national-interest exemption.
Imagine being a founder of a US-backed tech company, with your largest customers in the US, and being unable to attend meetings with banks, your board, your employees or customers.
Passport inequality is a tax on ambition.
Wapo vijana tuliwaheshimu, ila walipoanza kuzungumza tukagundua hawana nia dhabiti katika yale wanayoyasema. Wapo vijana tuliowaona kama vioo vya jamii, lakini walipojaribiwa wakati tumbo na mifuko ikiwa mitupu walipindisha misimamo yao juu ya UKWELI na HAKI. Wapo vijana waliopata fursa kwa sababu ya matukio ya picha walizochapisha mitandaoni, walionekana wenye uwezo na uzalendo wa kweli wa tamaduni zetu, wenye sifa za kuja kutuongoza. Lakini pale tamaduni zetu zilipokandamizwa, wao walinyamaza na hata kupongeza waliotukandamiza. Hakika, katika dunia ya leo tunakumbushwa kuwa βumdhaniae ndiye kumbe siye.β
Ni ngumu kuona vijana wanapoteza utu na kupindisha ukweli kwa matumaini ya kupata vyeo au kuboresha maslahi yao ya leo na familia zao, wakiweka rehani kesho ya mamilioni.
Kuzungumza UKWELI, kuwa na nia dhabiti ya kutenda tunachokisema, kusimamia HAKI hata katika majaribu, na kuwa wazalendo wa dhati kwa tamaduni zetu ni baadhi ya vitu vinavyoweza kutengeneza taifa imara. Pia tukumbuke UMOJA wetu ni NGUVU yetu!
Nimalize na maneno ya Pastor Martin NiemΓΆller
βMwanzoni walikuja kwa kuwakamata Wakomunisti, nikanyamaza kwa sababu mimi sikuwa mkomunisti.
Kisha wakaja kwa Wanajamaa, nikanyamaza kwa sababu sikuwa Mjamaa.
Kisha wakaja kwa vyama vya wafanyakazi, nikanyamaza kwa sababu sikuwa mwanachama.
Kisha wakaja kwa Wayahudi, nikanyamaza kwa sababu sikuwa Myahudi.
Mwisho walipokuja kunichukua mimi, hapakubaki mtu wa kunitetea.β
Emmanuel Cosmas Msoka retweeted
Ifike mahali TCRA isiwe na mamlaka kamili ya kufanya vitu ambavyo vinaathiri haki na uchumi wa watu kidigitali,maamuzi ya kuzima mtandao kwa nchi nzima yanapaswa kuwa ni maombi maalum mbele ya Mahakama Kuu ili waweze kupewa ruhusa hiyo kwasababu inagusa maslahi mapana ya wananchi
Emmanuel Cosmas Msoka retweeted
Usipoteze muda na kazi za nyumbani.
Kupitia Kazzzi App, unaweza kupata mfanyakazi wa kufua, kupika au kudeki kwa urahisi,uharaka na uhakika.
Fanya maisha yako rahisi leo kwa
Ku-Download Kazzzi App kwenye Google Play au App Store, weka kazi yako upate msaidizi haraka.
Emmanuel Cosmas Msoka retweeted
Umeamka ghetto chafu, shuka chafu, nguo chafu, vyombo vichafu π©
Ukijicheki huna mood kabisa, mwili umechoka, akili imekata connection
Ingia KazzziApp, upload hizo kazi zako π§Ή
Dakika chache tu, unapata mtu wa kukufanyia kwa bei rahisi.
Rahisi kuliko kupiga simu
ππ½ apps.kazzzi.com
Wadau wa X naomba retweet zenu kila mtu aone hili tangazo Muhimu π₯
Nakusogezea App inaitwa Kazzzi
Kwenye App hii unaweza kuweka tangazo la Kazi zako zote kama
1. Kazi za ndani
za kufua, kudeki, Kuosha vyombo, kupika, kuangalia mtoto
Kusafisha nyumba nzima madirisha makochi , kwenda sokoni
2. Kazi za kiofisi
kazi za kupanga ofisi, graphic designer, sales manager, cashier wa duka au supermarkets, models, mtu wa phamarcy,
Haina haja ya Kuteseka kuumiza kichwa ishi kama mfalme π. Weka kazi zako kwenye app ya Kazzzi
Unachotakiwa kufanya ni kuPakua App yako na weka kazi zako Kupitia Link Hii π
apps.kazzzi.com
Usalama ni mkubwa, binafsi kazi zangu za ndani zote huwa naweka kwa Hii app.
Kila kitu kimerahisishwa kiganjani π
Emmanuel Cosmas Msoka retweeted
Wadau wa X naomba retweet zenu kila mtu aone hili tangazo Muhimu π₯
Nakusogezea App inaitwa Kazzzi
Kwenye App hii unaweza kuweka tangazo la Kazi zako zote kama
1. Kazi za ndani
za kufua, kudeki, Kuosha vyombo, kupika, kuangalia mtoto
Kusafisha nyumba nzima madirisha makochi , kwenda sokoni
2. Kazi za kiofisi
kazi za kupanga ofisi, graphic designer, sales manager, cashier wa duka au supermarkets, models, mtu wa phamarcy,
Haina haja ya Kuteseka kuumiza kichwa ishi kama mfalme π. Weka kazi zako kwenye app ya Kazzzi
Unachotakiwa kufanya ni kuPakua App yako na weka kazi zako Kupitia Link Hii π
apps.kazzzi.com
Usalama ni mkubwa, binafsi kazi zangu za ndani zote huwa naweka kwa Hii app.
Kila kitu kimerahisishwa kiganjani π
Emmanuel Cosmas Msoka retweeted
Usikose Hii App Kwenye Simu Yako.
AFU Kama una kazi hakikisha unapost kazi yako hata kama ya siku moja au masaa
Unatafuta mpishi, dobi, mfanya usafi, msaidizi wa kukulelea watoto n.k
Usalama 100 maana kila mtu amehakikiwa
Download Appstore/Playstore - apps.kazzzi.com
Harakati za Maisha zinaleta uchovu mwingi sana sasa mkombozi amefika,
Kuna App inaitwa Kazzzi, Huku unaweza kuweka Kazi zako zote za kufua, kudeki, Kuosha vyombo, kupika, kuangalia mtoto, kazi za kupanga ofisi, graphic designer, kwenda sokoni.
App hii itakusaidia kupata mfanyakazi tena kwa gharama nafuu na uaminifu mkubwa
Pakua sasa App yako na weka kazi zako Kupitia Link Hii apps.kazzzi.com chap unapata mtu wa kukusaidia kazi
Emmanuel Cosmas Msoka retweeted
Vipi Nyumbani kwako kuna kazi nyingi lakini unakosa muda wa kuzifanya?
Kuna App inaitwa Kazzzi, Huku unaweza kuweka Kazi zako zote za kufua, kudeki, Kuosha vyombo, kupika, kuangalia mtoto, kazi za kupanga ofisi, graphic designer, kwenda sokoni.
App hii itakusaidia kupata mfanyakazi tena kwa gharama nafuu na uaminifu mkubwa.
Pakua sasa App yako na weka kazi zako Kupitia Link Hii apps.kazzzi.com chap unapata mfanyakazi



























