EL NINO📢 (@nyema_) header
EL NINO📢 (@nyema_) profile picture
Iringa, Tanzania
Joined February 2016
Tunaofanya kazi private tunanyanyaswa sana kipindi hiki ambacho graduates ni wengi mitaani. Yaani kazini unaonekana kama mwajiri amekusaidia usife njaa.
2
5
1
30
562
EL NINO📢 retweeted
Hakuna watu rahisi kulala nao sahizi kama wake za watu ! Kwani Kuna Nini kwenye ndoa za zama hizi ????!🤌🤔
8
16
51
1,763
Ndoa si kwa ajili ya watu wanaopendana tu, bali ni kwa ajili ya watu wanaojua kusamehe, kuwasiliana, kujitoa, kuvumiliana, kuhudumiana, kujenga pamoja na kulindana. Mapenzi huwaleta pamoja, lakini tabia na matendo ndiyo yanayodumisha ndoa.
6
18
123
5,263
Tutadanganyana maridhiano bila wale wa vidole viwili juu ni kazi bure, mwanzon ilikua hivyo hvyo mkawapuuzia tukaingia maafa yale octoba sasa hv tena tunajifanya tunaweza bila wao na wakati wao ndo waungwaji wakubwa mkono na vijana anyways kugwa kwa mbulu...😅😅😅
38
46
4
383
12,689
EL NINO📢 retweeted
Duniani motivation haziwezi kukupeleka popote. Siku ukianza kulala njaa ndio unagundua unahitaji kuwa na Ujuzi. Ujuzi wa kutatua changamoto fulani mfano ujue kuchomelea ma geti, milango, madirisha. Unatengeneza then unalipwa. Hakuna shortcut.
3
8
21
672
AFANDE SELE APIGWA STOP KUSHIRIKI MIAKA 30 YA BONGO FLEVA. Kosa la AFANDE SELE ni siku ya tamasha lao Mbeya, wakati wimbo wa SWAHIBA unapigwa anakasema “tuimbe pamoja, tuwakumbuke waliotangulia mbele za haki, wengine wa Oktoba 29.., haisahauliki” Lakini, WATAWALA wanatakiwa kuelewa kwamba, kutoa maelekezo, kumzuia AFANDE SELE kushiriki hilo tamasha hakuwezi kuondoa UKWELI wa MAUAJI ya raia yaliyofanyika Oktoba 29, 2025. Ukweli una tabia ya asili ya kudumu na kujisimamia wenyewe, bila kujali nani anausikia, nani anaukataa, au nguvu kiasi gani inatumika kuuficha. Ukweli ni ukweli tu hata kama utachukiwa wakati huo. Kuzuia watu wasiseme UKWELI ni sawa na kufunika moshi kwa kiganja. UKWELI utabaki kuwa UKWELI, hata kama wanaousema watazibwa midomo, watatishwa au kuzuiwa kuusema. Unaweza kuwakandamiza wale wanaosema UKWELI, lakini huwezi kuufuta ukweli wenyewe. Ukweli hauhitaji ruhusa ya mamlaka ili ubaki kuwa ukweli. Oktoba 29, 2025 ni ngumu KUSAHAULIKA.
25
190
8
1,066
45,989
Kuna watu wamejificha kwenye mwavuli wa IBADA, lakini mioyo yao imejaa ROHO MBAYA!.
13
26
2
96
3,286
EL NINO📢 retweeted
TANESCO! KAMA kuna mgao wa umeme, semeni! Kama kuna matatizo ya Umeme pia SEMENI; Hamuwezi kuwa mnakata UMEME mnavyojisikia! Hivi haya MATENGENEZO ni ya Milele, hayana KIKOMO wala Formula? Wewe CEO usitake niseme kilichokukuta Jumba kubwa ulipotaka private audience!
5
8
86
4,593
Mtu Anasafiri Kutoka TANZANIA Mpaka MAKKAH MADINAH Kuzuru Kaburi La MUHAMMAD Wengine Wanasafiri Hadi YERUSALEM Nchini ISRAEL Kuzuru Kaburi La YESU Wanaacha Kuzuru Makaburi Ya Mababu Zao Wanasema Eti Ni MIZIMU Mungu Hapendi. Kwani Muhammad Na Yesu Siwalikua Binadamu Kama Mababu Zetu. Yaani Wao Wanawaita Watu Wao Waliokufa WATAKATIFU Halafu Wakwetu Wanawaita MIZIMU.
41
59
4
370
21,629
EL NINO📢 retweeted
Hakuna kitu kinaharibu maisha ya watu kama DINI! Hakuna Mungu anaepanga upitie magumu, Ni fikra zako, mazoea, na tabia zako MBOVU. Ulimwengu una CAUSE and EFFECT, Kila lenye sababu lina cause, na sio Mungu! Ni wewe hauoni jinisi fikra, hisia na tabia zako zinavyo umba!
Kuna wakati Mungu anaviacha vitu vyako viharibike vyote si kwamba haoni anaona ila kwenye huo uharibifu anatamani kuona Imani yako kwake, yaani katika huo uharibifu anataka kujijulisha kwako si Mungu anayeponya magonjwa bali anaweza rejesha na vilivyo kufa
7
4
2
11
2,199
Replying to @TweveDevota
DINI haikwepeki… Dini ndio mfumo mzima wa maisha, inategemea tu,mtu kaamini nini ! Ila hata tukiachana na mambo ya Dini… tuje huku mnapopataka haki sawa ! 50-50! Tatizo lenu wanawake mnataka 50-50 kwenye ajira,sehem zenye kuingiza kipato! Ila ikija swala la majukumu mnayakwepa saana- unapata mwanamke na mwanaume wote wameajiriwa! Ila majukumu yote ya nyumbani mnamuachia mwanaume- Kutoa matumizi,kulipa Rent,schoolfees ya watoto na maendeleo mwanaume asimamie… nyie hela zenu ni kujinunulia kitenge,kiatu,pochi,kuweka kwenye michezo na kutuma nyumbani kwenu! Hata wasimbe, unapata msimbe kaajiriwa ila kisa wameachana na mwanaume Anataka mwanaume ndio asimamia mtoto,chakula,malazi na Ada ya shule yet mtoto anaishi na mamake! Mkitaka haki sawa mkubali na majukumu tugawane sawa! Otherwise, kaeni nyumbani,mtunze mumeo,mzalie na leo watoto…
72
40
12
259
18,392
Hivi hata wewe ushatekwa na imani za ukiristo na uislamu?
5
6
11
474
EL NINO📢 retweeted
Kumbe ukipunguza tamaa utagundua kuwa si kila mwenye pesa ni muhimu kwako.
8
15
1
44
1,231
MWANAUME Usimtengenezee mazingira mwanamke akahisi anakuweza
18
Dini Hazitaki Uulize Wewe Kubali Tu Kama Kondoo Ukiuliza Unaambiwa Unakufuru. Wafia DINI Karibuni Mtoe Milio
20
17
1
108
7,238
EL NINO📢 retweeted
kwani tumekosea nini 😂😂🙌
Until I die, I will be a Christian. Until I die, I will fight against falsehood. Until I die, I will stand against Islam. Join me. Be a Christian, fight falsehood, and stand against Islam.
12
3
47
3,643
Tukisema uislamu ni dini inayofundisha chuki, ubaguzi, ubinafsi, mauaji na ugaidi, Bado mnasema tunachuki na uislamu
36
5
1
108
7,827
CHIONDA Anajipigia Wafia DINI
37
54
2
266
18,217
Wafia DINI Sikilizeni Hii
7
16
73
4,766
UISLAM Miyayusho Sana. Juzi Pale Nchi JORDAN Baba Kamuua Binti Yake Sababu Binti Kabadili DINI Katoka UISLAM Kaingia UKRISTO Kafata Dini Ya Mume Wake. WAKRISTO Hawaruhusiwi Kumuhukumu Mtu MUNGU Pekee Ndiye Anahukumu. QURAN Na BIBLIA Zinasemaje Kuhusu DINI Ipi Dini Ya Mungu👇 Mtazamo wa BIBLIA kuhusu "Dini Safi" Katika Biblia (Kitabu cha Yakobo 1:26-27) neno "dini" linatumika kumaanisha matendo ya haki na huruma badala ya lebo ya kundi fulani Mtazamo wa QURAN kuhusu Dini Qur'an inaeleza wazi kuwa dini ya kweli inayokubaliwa na Mwenyezi Mungu ni Uislamu (kujisalimisha kwa Mungu), kama inavyosema: "Hakika dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu" (Surah Ali-Imran 3:19). NB: WAISLAM Wapo Tayari Kufanya Chochote Hata Kuua Maelfu Ya Watu Ili Tu Kutetea DINI Yao. Kwenye Nchi Za KIISLAM Watu Wenye Imani Tofauti Hususani WAKRISTO Wanalipuliwa Kila Kukicha.
57
27
5
222
36,394