PaschalSam1 (@P_simpleman95) header
PaschalSam1 (@P_simpleman95) profile picture

A good heart atract blessing. ||SimbaSCTanzania & ManUtd ||

kuala lupmur
Joined November 2025
Photo by PaschalSam1 (@P_simpleman95)Photo by PaschalSam1 (@P_simpleman95)Photo by PaschalSam1 (@P_simpleman95)Photo by PaschalSam1 (@P_simpleman95)Photo by PaschalSam1 (@P_simpleman95)Photo by PaschalSam1 (@P_simpleman95)Photo by PaschalSam1 (@P_simpleman95)Photo by PaschalSam1 (@P_simpleman95)Photo by PaschalSam1 (@P_simpleman95)Photo by PaschalSam1 (@P_simpleman95)
29.10.2025 💔🕊
30
71
619
3
4
106
TAMWA-ZNZ kupitia Programu ya CADiR inaendesha mafunzo ya utengenezaji sabuni kwa wanachama wa vikundi 10 vya Kijaluba kutoka Wete, Mkoani na Chake Chake, Pemba. Mafunzo hayo yanalenga kuwajengea washiriki ujuzi wa kuanzisha na kuimarisha shughuli za uzalishaji kipato, kukuza fursa za kiuchumi na kujenga jamii jumuishi ambayo kila mmoja ana nafasi ya kujitegemea. Huu ni muendelezo wa mafunzo yanayotolewa na TAMWA ZNZ kwa kushirikiana na SHIJUWAZA, ZANAB na NAD ZANZIBAR.
3
3
151
Awamu ya pili ya mafunzo ya CADiR yamefika Unguja. TAMWA-ZNZ inaendelea na mafunzo ya utetezi wa haki (Advocacy) na ujenzi wa muungano (Coalition Building) kwa Jumuiya tano za Watu Wenye Ulemavu (OPDs) zilizopo Unguja, baada ya awamu ya kwanza kufanyika Pemba. Mafunzo haya ya siku nne, chini ya Programu ya CADiR (Collective Action for Disability Rights), yamezikutanisha jumuiya za @official_shijuwaza, @juwauza, @zanab1993_znz, UWZ na JUVIZA kwa lengo la kuimarisha ushirikiano na kuongeza nguvu katika utetezi wa haki za watu wenye ulemavu. ___________________________________________ The second phase of CADiR training has arrived in Unguja! Following the first phase in Pemba, TAMWA-ZNZ is continuing its four-day training on advocacy and coalition building for five Organisations of Persons with Disabilities (OPDs) in Unguja. Under the CADiR (Collective Action for Disability Rights) Programme, the training brings together @official_shijuwaza, @juwauza, @zanab1993_znz, UWZ and JUVIZA to strengthen collaboration and collective action in advancing the rights of persons with disabilities. From Pemba to Unguja, building a stronger collective voice for disability rights.
5
7
147
KATIKA KUENDELEA KUONGEZA USHIRIKI WA WANAWAKE KATIKA UONGOZI TAMWA-ZNZ imeendesha mafunzo ya siku nne ya uongozi kwa wanawake vijana 30 kutoka vyama vya siasa, asasi za kiraia na vyuo vikuu Zanzibar, wakiwemo wanawake wenye ulemavu. Mafunzo hayo yamefanyika Tunguu, Unguja, kupitia awamu ya pili ya mradi wa W-LEAD. Aidha, washiriki 20 watapata fursa ya kujifunza kwa vitendo katika taasisi mbalimbali, ili kuongeza uzoefu wao na kuwaandaa kushika nafasi za uongozi katika jamii na taasisi zao. ________________________________________ ADVANCING WOMEN’S PARTICIPATION IN LEADERSHIP As part of ongoing efforts to increase women’s participation in leadership, TAMWA-ZNZ has conducted a four-day leadership training for 30 young women from political parties, civil society organisations and universities in Zanzibar, including women with disabilities. The training took place in Tunguu, Unguja, under the second phase of the W-LEAD project. In addition, 20 participants will have the opportunity to gain practical experience in various institutions, helping them build their experience and prepare for leadership roles in their communities and institutions.
7
5
163
PaschalSam1 retweeted
JUMMAH MUBARAK.
8
8
175
PaschalSam1 retweeted
Wiki hii kwako ilikuwaje? TAMWA-ZNZ imemaliza wiki hii kwa kuhitimisha mafunzo ya siku nne ya uongozi kwa wanawake vijana 20 kisiwani Pemba. Mafunzo hayo yaliwahusisha wanawake kutoka vyama vya siasa, asasi za kiraia na vyuo vikuu na vyama vya watu wenye ulemavu. Mafunzo hayo ni sehemu ya awamu ya pili ya program ya W-LEAD ambayo yamelenga zaidi katika uongozi, kufanya uteyezi, jinsi ya kuandaa mipango kazi na jinsi ya kutumia vyombo vya habari na kushiriki katika michakato ya kufanya maamuzi, pamoja na kuwapa maarifa ya kukabiliana na changamoto zinazoweza kuwazuia wanawake kushika nafasi za uongozi. How was your week? TAMWA-ZNZ wrapped up the week by concluding a four-day leadership training for 20 young women on Pemba Island. The training brought together young women from political parties, civil society organisations, universities, and organisations of persons with disabilities. The training forms part of the second phase of the W-LEAD Programme, with a focus on leadership, advocacy, work plan development, effective use of media, and participation in decision-making processes. It also aimed to equip participants with the knowledge and skills to address challenges that may prevent women from taking up leadership positions.
10
6
149
PaschalSam1 retweeted
Unataka samaki Fresh kesho? Weka oda yako hapa 0762344677
12
17
415
#Repost From Uhuru FM Tech & Media Convergence (TMC) imeendesha mafunzo ya siku tatu kwa waandishi wa habari, wahariri na viongozi wa vyumba vya habari, kuanzia Oktoba 27 hadi 29, 2026, jijini Dar es Salaam, kwa lengo la kuwajengea uwezo wa kutumia teknolojia ya Akili Unde kwa kuzingatia sheria, maadili na uwajibikaji katika uandishi na uhariri wa habari. Katika siku ya kwanza, washiriki walijadili mifumo ya kisheria na kisera inayohusiana na matumizi ya Akili Unde nchini Tanzania na Kenya. Majadiliano hayo yaliongozwa na Wakili Robert Sylivester Majige, Kiongozi wa Sera na Teknolojia za Kiraia wa TMC. Wakili Majige pia aliongoza mjadala kuhusu namna ya kubadilisha misingi ya usimamizi wa Akili Unde kuwa kanuni na sera zinazotekelezeka kulingana na mahitaji na majukumu ya vyumba vya habari. Katika siku ya pili, Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Media Foundation (TMF), Dastan Kamanzi, aliongoza majadiliano kuhusu hatua za kiufundi za kuhakikisha matumizi salama na yenye uwajibikaji wa Akili Unde. Washiriki pia walibadilishana uzoefu na kujadili maeneo muhimu ya kuzingatia wakati wa kuandaa sera za matumizi ya teknolojia hiyo. Mafunzo hayo pia yalihusisha Anuar Said, mkufunzi na mshauri wa TMC, aliyesimamia majadiliano ya kubadilishana uzoefu, huku Janet John Kahindi, Mratibu wa Sera na Programu wa TMC, akiratibu maandalizi ya kazi za vikundi na uandishi wa rasimu za sera. Katika siku ya mwisho ya mafunzo, leo Oktoba 29, waandishi wa habari wamepitia rasimu ya sera ya matumizi ya Akili Unde na kutoa mapendekezo ya kuiboresha ili iendane na mahitaji halisi ya vyumba vya habari. Mapendekezo hayo yamezingatia masuala ya usahihi wa taarifa, maadili ya uandishi wa habari, uhuru wa uhariri, ulinzi wa taarifa binafsi na uwajibikaji. Mafunzo hayo yamehitimishwa kwa lengo la kusaidia taasisi za habari kuwa na miongozo iliyo wazi ya matumizi ya Akili Unde, huku TMC ikiendelea kuimarisha matumizi yenye uwajibikaji wa teknolojia hiyo, kulinda uadilifu wa uandishi wa habari na kuendeleza imani ya wananchi kwa vyombo vya habari katika mazingira ya kidijitali.
1
7
1
11
470
PaschalSam1 retweeted
Kila siku, Watanzania wana jambo la kusema kuhusu maisha, uchumi, huduma za umma, fursa na mustakabali wa jamii yetu. Lakini je, tunasikilizana vya kutosha? #Tumewasikiliza, tunafungua nafasi ya kusikia mitazamo tofauti, kuelewa changamoto na kujadili hatua zinazowezekana.
1
4
11
721
Malaika Gray na Marioo kupitia My Fever wametukumbusha kuwa muziki wa Bongo fleva una uwezo wa kuvuka boda youtu.be/7Wi7VbNKZ30?si=ZlD4…
1
8
33
2,679
PaschalSam1 retweeted
Madogo waliomaliza kidato cha nne wamezua taharuki wiki hii baada ya video zao kusambaa mitandaoni. Lakini je? vijana wote wanafahamu athari za matumizi yasiyo sahihi ya mitandao? Tukutane Jumamosi hii kwenye mjadala mbashara kupitia kurasa za @ElimikaWikiendi #ElimikaWikiendi
9
14
245
PaschalSam1 retweeted
Wanangu wa kubet chukueni hizo odds 10 za Leo Leo Betpawa ✍🏿⚽👉🏿O6NJ85V Karibuni kwenye channel yangu mpya 👉🏿whatsapp.com/channel/0029VbD… Kuna matren kama yotee huko #REPOST
4
14
25
1,176
PaschalSam1 retweeted
Jukwaa bora la Vijana Jumamosi hii litakuwa hewani. Hii ni sehemu ya kushare taarifa, ujuzi na kupata elimu kutoka kwa wataalam. Hata wewe ni sehemu usikose #ElimikaWikiendi
8
9
123
#mtumba🇰🇪 #fredymitumba🇹🇿 MTUMBA💯 📞🇹🇿0762077008 Mali ni Safi✍️
1
3
3
235
Hizi Odds Tano Nyepesii kabisa kutoka 777Bet. Kuuona Mkeka Gusa Link hii ks.gy/1tZ00S610027 ni mkeka umenyooka Mnoo. Tumia Promo code: 777ANU #777BetMabingwa #777BetTz
3
19
20
954
PaschalSam1 retweeted
Today, I had the opportunity to participate in a Focus Group Discussion (FGD) organised by @MediaConvergecy (TMC), themed “Regulating the Small Voice: Licensing, Proportionality & Public Interest Under Tanzania’s 2026 Online Content Amendments.” #DigitalMedia | #DigitalRights
1
15
1
18
674
Kila siku unahangaika kututumia sms za " tuma kwenye namba hii" tumeamua kukuletea cash kabisa..! 😂
12
16
50
1,027
PaschalSam1 retweeted
Labda hawa ndo watatuletea Grammy ipe sikio hii Fever kama ina kitu hivi… Link:youtu.be/7Wi7VbNKZ30?si=ZlD4…
5
12
55
5,639
Zanzibar - Tanzania
2
7
1
36
770
PaschalSam1 retweeted
Humaira Phone Point wao wameamua kuwa daraja la Raia wa mataifa yote ya Kiuchumi kupata simu na vifaa vyake vyote muhimu kwa bei nafuu. Wanajipambanua kama watoa huduma zaidi ya "wauza bidhaa" Tuwaunge mkono. Wapo Sinza. Contact 0716980848 Please rt 🙏🏼
4
10
3
18
4,499