Wizara Imetenga Fedha Za Kuwajengea Uwezo Wataalamu Katika Sekta Ya Madini Kwa Kuwasomesha Ndani Na Nje Ya Nchi.
#BajetiMadini
Kuhusu utekelezaji mpango kazi wa mazingira sekta ya Madini 2025-2030 na Programu ya MBT
#BajetiMadini
PT retweeted
Katika kujenga taifa lenye wataalamu wa madini,Wizara imetenga bajeti maalum ya kuwajengea uwezo wataalamu wa sekta ya madini kwa kuwasomesha ndani na nje ya nchi.
#BajetiMadini
PT retweeted
Mapinduzi ya kidijitali katika sekta ya madini yanaimarisha ukusanyaji wa mapato ya Serikali. #BajetiMadini
PT retweeted
MBT ni daraja la matumaini kwa wachimbaji wadogo kupata elimu, mitaji na masoko ya uhakika. #BajetiMadini
PT retweeted
Serikali inaweka kipaumbele katika matumizi salama ya rasilimali madini bila kuharibu mazingira. #BajetiMadini
PT retweeted
Serikali inaendelea kuimarisha utaalamu wa ndani ili kuendana na teknolojia za kisasa katika sekta ya madini. #BajetiMadini
PT retweeted
Wizara imeweka ni ya kutekeleza Mpango Kazi Wa Mazingira Wa Sekta Ya Madini 2025 - 2030.
~ Mh. Antony Mavunde
#BajetiMadini
PT retweeted
ESG sasa inaongoza upangaji na usimamizi wa sekta ya madini nchini.
#BajetiMadini
PT retweeted
Wizara Imetenga Fedha Za Kuwajengea Uwezo Wataalamu Katika Sekta Ya Madini Kwa Kuwasomesha Ndani Na Nje Ya Nchi.
Mh Anthony Mavunde
#BajetiMadini
PT retweeted
Bajeti ya Wizara ya Madini 2026-2027
#BajetiMadini
PT retweeted
Mkakati wa kutunza mazingira katika sekta ya uziduaji kwani mazingira bora ni muhimu kwetu sote
#BajetiMadini
Mafunzo ya ndani na nje ya nchi yatawajengea wataalamu ujuzi wa kisasa katika usimamizi na uchakataji wa madini. #BajetiMadini
41
























