Baraza la Famasi limeratibu na kuendesha zoezi la mitihani ya taaluma kwa Wafamasia 473, Fundi dawa sanifu 3341, Fundi dawa wasaidizi 176 na Watoa dawa 93 katika vituo vilivyopo mikoa ya Dar es Salaam, Mbeya, Mwanza, Arusha na Dodoma. Mitihani imeanza tarehe 11 - 13 Novemba,2026
#Repost @taphata1999 with @use.repost
・・・
Mkutano Mkuu wa 27 wa Chama Cha Wateknolojia Dawa Tanzania (TAPHATA) Jiji la Arusha kuanzia tarehe27 hadi 30 Oktoba 2026 Corridor Spring Hotel Hall Arusha
#tukutaneArusha27thAGM
##umahirinateknolojia
UJUMBE kutoka Kwa Rais wa Chama cha Wateknolojia dawa na Wateknolojia dawa Wasaidizi Tanzania (TAPHATA), Bw. Thabiti Milandu
2
183
BARAZA LA FAMASI LAWAAPISHA WAFAMASIA 25 NA WATEKNOLOJIA DAWA WAPYA 99 .
Baraza la Famasi limeendesha mafunzo elekezi na kuwaapisha wafamasia 25 na wateknolojia dawa 99 wapya, tarehe 15 Oktoba 2026, jijini Dodoma.
Menejimenti ya Baraza la Famasi inafanya Kikao Kazi cha kiutendaji na kimkakati (Management Retreat) kinachofanyika kwa siku tatu kuanzia tarehe 07 hadi 09 Oktoba, 2026 mkoani Morogoro.
Kikao hiki kina lengo la kuimarisha utendaji na uongozi katika ngazi zote za Baraza.
UJUMBE KUTOKA KWA AFISA MUUGUZI MKUU KUTOKA HOSPITALI YA MKOA WA DODOMA BW. STANLEY MAHUNDO - MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFAMASIA DUNIANI
UJUMBE KUTOKA KWA KAIMU MSAJILI WA BARAZA LA FAMASI MFAMASIA ALOYCE GREGORY -MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFAMASIA DUNIANI
Baraza la Famasi limeadhimisha Siku ya Wafamasia Duniani leo tarehe 25 Septemba, 2026kwa kufanya shughuliza kijamii kwa kutoa msaada wa mahitaji mbalimbali kwa wahitaji na wagonjwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodomana Kituo cha Kulelea Watoto Yatima cha TumainiFoundation






























