Futbal Planet ✴️ (@PlanetFutbal) header
Futbal Planet ✴️ (@PlanetFutbal) profile picture

OFFICIAL FPM TL ACCOUNT. 🟢 ALL ABOUT FOOTBALL NEWS

Dar Es Salaam
Joined March 2022
Photo by Futbal Planet ✴️ (@PlanetFutbal)Photo by Futbal Planet ✴️ (@PlanetFutbal)Photo by Futbal Planet ✴️ (@PlanetFutbal)Photo by Futbal Planet ✴️ (@PlanetFutbal)Photo by Futbal Planet ✴️ (@PlanetFutbal)Photo by Futbal Planet ✴️ (@PlanetFutbal)Photo by Futbal Planet ✴️ (@PlanetFutbal)Photo by Futbal Planet ✴️ (@PlanetFutbal)Photo by Futbal Planet ✴️ (@PlanetFutbal)Photo by Futbal Planet ✴️ (@PlanetFutbal)
CAF president Patrice Motsepe has watched almost every match AFCON 2025. The man is visible tired and needs to rest now. 🤦🏾‍♂️
173
1,139
79
23,509
2,211,483
UMEIANGALIA hii mechi? . FT: GEITA GOLD 2-1 MASHUJAA FC 46’—⚽️ Fabrice Ngoy 88’—⚽️ Arnold Noah 43’—⚽️ Mundhir Abdallah 65’—🟥 Samson Madeleke
31
1,055
IKITOKEA Doumbia ameachwa na Klabu ya Simba SC, ni timu gani itamfaa akisajiliwa nayo?
15
668
LEO hii JINI katoka ila MGANGA hoi..!! . FT: JKT TANZANIA 1-2 SIMBA SC 09’—⚽️ Said Mkopo 20’—⚽️ Elie Mpanzu 34’—⚽️ Libasse Gueye . NB: Unawaona SIMBA wakimaliza nafasi ya ngapi msimu huu?
2
9
631
SIMBA imefanya COMEBACK kama kawaida..!! . HT: JKT TANZANIA 1-2 SIMBA SC 09’—⚽️ Salim Mkopo 20’—⚽️ Elie Mpanzu 34’—⚽️ Libasse Gueye . NANI atashinda hapa?
17
398
🚨 BREAKING: ORODHA YA WALIORUDISHA FOMU KWA AJILI UCHAGUZI WA KLABU YA SIMBA. . NAFASI YA MWENYEKITI 🇹🇿 Anindum Jonas Semu 🇹🇿 Geoffrey Irick Nyange 🇹🇿 Mohamed Khamis Soloka 🇹🇿 Murtaza Ally Mangungu 🇹🇿 Dr. Seif Ramadhani Muba 🇹🇿 Selemani Haroub Said 🇹🇿 Swedy Khamis Mkwabi
3
1
59
5,890
AZAM ya FEI TOTO imekula CHUMA 4 geto kwake..!! . FT: AZAM FC 2-4 SINGIDA BLACK STARS 27’—⚽️ Feisal Salum (Penalti) 28’—⚽️ Zidane Sereri 38’—⚽️ Emmanuel Keyekeh 51’—⚽️ James Mwashinga 68’—⚽️ Jonathan Sowah 77’—⚽️ Jonathan Sowah
25
751
FADLU DAVIDS aanza na ushindi akiwa YANGA.! . FT: POLISI TANZANIA 0-2 YANGA SC 29’—⚽️ Cheikh Toure 75’—⚽️ Peter Shalulile BAO la pili lililofungwa na PETER SHALULILE limefanywa kama salamu maalumu ya pole kwa MAXI ambaye amepata majeraha yatakayomfanya awe nje ya Uwanja.
1
6
388
GULER wa moto, Mbappe wa moto, Madrid ya moto..!! . FT: VALENCIA CF 🇪🇸 0-3 🇪🇸 REAL MADRID 79’—🟥 Jose Gaya 28’—⚽️ Federico Valverde 36’—⚽️ Arda Guler 75’—⚽️ Kylian Mbappe
16
707
Futbal Planet ✴️ retweeted
"Yanga amepangwa na vibonde kwenye kundi lao kule CAF. Kwa lugha nyepesi naweza kusema Yanga ambaye naye ni kibonde amepangwa na vibonde wenzake kwenye kundi lake, kwahiyo ni kundi la vibonde watupu" . DULLAH HEAVYWEIGHT, Mchambuzi WASAFI FM.
7
5
70
3,112
"Hata kama mtu hanipendi mimi, ila mimi ndio Mwenyekiti wa timu. Utavimba, utapasuka,utasema na utachanika lakini mimi ndio Mwenyekiti mpaka pale uchaguzi utakapofanyika au nikifa au litokee jambo lolote litakalofanya nitoke ila vinginevyo nabakia kuwa Mwenyekiti wa Simba.
1
1
19
982
tumeshaziandikia barua mamlaka kwa kufuata utaratibu na mamlaka zikiruhusu basi taratibu zingine zitafuata" "Watu wengi wananiuliza kwanini umezungumza eeh eeh lakini nimesema wajue mimi ndiye ninawawakilisha wanachama wote wakiwemo wao kama ni wanachama. Nimezungumza kwa
1
65
sababu watu walikuwa njia panda na ikabidi niseme mimi kama Mwenyekiti wao na ndio nimeyasema hayo" . MURTAZA MANGUNGU, Mwenyekiti wa Klabu ya Simba SC.
50
"Yanga amepangwa na vibonde kwenye kundi lao kule CAF. Kwa lugha nyepesi naweza kusema Yanga ambaye naye ni kibonde amepangwa na vibonde wenzake kwenye kundi lake, kwahiyo ni kundi la vibonde watupu" . DULLAH HEAVYWEIGHT, Mchambuzi WASAFI FM.
7
5
70
3,112
BARCA wamefungwa na kunyanyaswa geto kwao..!! . FT: BARCELONA 1-2 REAL MADRID 61’—⚽️ Raphinha 40’—⚽️ Kylian Mbappe 88’—⚽️ Kylian Mbappe . 🚨 OFFICIAL: Real Madrid inafikisha ushindi wa 107 dhidi ya Barcelona huku Barcelona ikibakiwa na ushindi mara 106.
3
256
🚨 BREAKING: SINGIDA BS YAFUZU MAKUNDI AFRIKA..!! . FT: SINGIDA BS 🇹🇿 1-1 🇰🇪 TUSKER FC 66’—⚽️ Jonathan Sowah 80’—⚽️ Victor Mbaoma AGGREGATE 🇹🇿 2-1 🇰🇪
1
43
1,245
🚨 OFFICIAL: Tanzania inakuwa nchi ya kwanza Barani Afrika kwa timu zake zote nne kufuzu hatua ya Makundi ya Mashindano ya CAF ngazi ya vilabu msimu huu. . 🇹🇿 Yanga SC—Klabu Bingwa 🇹🇿 Simba SC—Klabu Bingwa 🇹🇿 Azam FC—Kombe la Shirikisho 🇹🇿 Singida BS—Kombe la Shirikisho
1
42
650
INASEMEKANA MAKOSA YA MAN UNITED NI KUJIITA RED DEVILS😃 . FT: MAN UNITED 0-3 BOURNEMOUTH 38’—⚽️ Rayan 43’—⚽️ Marcus Tavernier 71’—⚽️ Evanilson FT: LIVERPOOL 2-0 BRIGHTON 17’—⚽️ Gross (OG) 21’—⚽️ Alexander Isak FT: HULL CITY 1-1 BRENTFORD FT: CRYSTAL PALACE 0-2 NEWCASTLE
8
296
NJIA gani itumike ili DOUMBIA afunge? . HT: SIMBA SC 🇹🇿 0-0 🇬🇶 15 DE AGOSTO AGGREGATE 🇹🇿 6-1 🇬🇶 . NB: Ibrahim Doumbia amepata NAFASI ZA WAZI (Clear Chances) za kufunga zaidi ya tano lakini hajafanikiwa kufunga kwenye nafasi hizo.
3
13
610
📷 Kikosi cha Yanga SC kimeanza safari ya kurejea Dar es Salaam kikitokea Jijini Arusha ambako hapo jana kililazimishwa sare dhidi ya TRA United na kupelekea kufukuzwa kwa benchi lao la ufundi likiongozwa na Manqoba Mngqithi. Yanga wanajiandaa na mchezo dhidi ya Mashujaa Jumanne
2
4
76
1,323