Learner✝️🛐 (@ProLearner77) header
Learner✝️🛐 (@ProLearner77) profile picture

A Real Human. Being // Reposts≠endorsements

Ponta do Ouro
Joined April 2015
Photo by Learner✝️🛐 (@ProLearner77)Photo by Learner✝️🛐 (@ProLearner77)Photo by Learner✝️🛐 (@ProLearner77)Photo by Learner✝️🛐 (@ProLearner77)Photo by Learner✝️🛐 (@ProLearner77)Photo by Learner✝️🛐 (@ProLearner77)Photo by Learner✝️🛐 (@ProLearner77)Photo by Learner✝️🛐 (@ProLearner77)
Learner✝️🛐 retweeted
Mtoto aliyepigwa risasi Oktoba 29 Manzese atamani kurudi tena shule, mama awaangukia Watanzania. Unaweza kuwasiliana na mama yake kupitia 0763747599 (Happyness Julius Melea). Mama mzazi anasema kwa kipindi chote amekuwa akimuuguza binti yake mwenyewe, na hivi karibuni aliitikia wito wa kufika mbele ya Tume ya Jaji Lila baada ya Mwenyekiti wa Mtaa anaoishi kumtaka aende. Ambapo ameeleza baada ya kutoa maelezo mbele ya Tume, alifika Ofisi za Wilaya kushughulikia taratibu za kupata msamaha wa matibabu kutokana na ugumu wa maisha anaoupitia hivi sasa.
46
148
23
427
17,378
Learner✝️🛐 retweeted
I’m in love with this sentence: “The degree to which a person can grow is directly proportional to the amount of truth they can accept about themselves without running away.”
36
972
24
5,881
131,129
Learner✝️🛐 retweeted
Tingatinga painting sells for Sh7.6m as art buyers splurge Sh46m in one night The painting became the highlight of the event that brought together art enthusiasts who bought 61 of 68 items at Nairobi’s Circle Art Gallery. More on: zurl.co/C6Y17
41
8
85
6,394
Learner✝️🛐 retweeted
MSAIDIZI WA LISSU ALIYETEKWA AFUNGUKA MAZITO KUMBUKIZI YA WATU WALIOUAWA OKTOBA 29 SIKILIZA ZAIDI: youtu.be/hbbciGkgHb4?si=fFih…
1
73
237
3,954
Learner✝️🛐 retweeted
#Tanzania: UN experts concerned that 1-year after post-election violence, victims still await publication of findings from Commission of Inquiry. “We condemn patterns of repression against civil society organisations, journalists & #humanrights defenders.” ohchr.org/en/press-releases/…
53
443
14
945
23,842
Learner✝️🛐 retweeted
Hatujui miili iliyopotea ilizikwa wapi "Tukasikia maiti zimepotea. Niliona wahusika wanazika nguo, viatu. Kuna mengi ambayo hatuyajui: miili iliyopotea ikapelekwa wapi? Wengine wanasema ikazikwa kwenye makaburi ya jumla. Hatujui wako wapi," Mama Lutgard Kagaruki akizungumzia kumbukumbu yake ya Oktoba 29. Fuatilia kipindi kizima hapa>>>>youtu.be/8dHMHe3y9Os?si=CLzN…
1
54
143
3,146
Learner✝️🛐 retweeted
A year after Tanzania's bloody election, many remain traumatised by the violence, while government critics live in fear of abduction and arbitrary arrest, or facing treason and terrorism charges. ow.ly/ynxY5101ZoS
1
60
112
2,325
Learner✝️🛐 retweeted
Askofu wa Jimbo Katoliki la Bukoba, Dr Jovitus Mwijage, ameomba maombezi ya Bikira Maria ili taifa liwe na Haki,Ukweli,Amani,Mshikamano,na Upendo. Wakati huo huo,amewaombea huruma ya Mungu wanaoteka watu,wanaoua watu,wanafanya rushwa,utawala wa kibabe…
29
109
2,828
Learner✝️🛐 retweeted
🇹🇿 OCTOBER 29 -ONE YEAR LATER. WE REMEMBER. WE MOURN. WE DEMAND JUSTICE. 🕯️ Today marks one year since one of Tanzania’s darkest days, when many lives were lost amid the violence surrounding the 2025 elections. I am sharing one of the longest videos I have ever posted here-not only to honor the souls we lost, but also to update you on the work we have continued behind the scenes to pursue justice for the victims and their families. Today, we mourn together. We remember every life lost, extend our heartfelt condolences to the grieving families, and stand with all those still seeking truth and accountability. Our work continues, even when it happens out of public view. We will not forget the victims, and we will not stop speaking up for the voiceless. Every life matters. Every family deserves answers. Those responsible for human rights violations must be held accountable through fair and lawful processes. 🕯️ WE REMEMBER. WE MOURN. WE WILL NOT BE SILENT. May the families who continue to grieve find strength and comfort. Tanzania deserves truth, justice, dignity, and respect for human life. This video was shared on Instagram and other sources also to educate🙏 #October29 #TanzaniaRemembers #JusticeForTanzania #HumanRights #NeverForget
3
82
287
4,633
Learner✝️🛐 retweeted
VIDEO: Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Hugo Kitima, amewataka Watanzania kutubu na kujirekebisha kutokana na matukio ya mauaji yaliyotokea wakati wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, akisisitiza kuwa hatua hiyo ni muhimu ili kuzuia madhara kama hayo kujirudia. Padre Kitima ametoa wito huo leo Oktoba 29, 2026 wakati wa adhimisho la Misa ya kuwaombea marehemu na waathirika wa matukio ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, akisisitiza umuhimu wa kujifunza kutokana na yaliyotokea badala ya kuangalia yajayo bila kukiri na kurekebisha makosa ya nyuma. Amesema Kanisa lina wajibu wa kuwakumbusha waumini na jamii kwa ujumla umuhimu wa kutubu, kujirekebisha na kurejea katika misingi ya kutenda mema. Akizungumzia athari za matukio hayo, Padre Kitima ameeleza maumivu yanayoendelea kuzikabili familia zilizopoteza wapendwa wao, akitoa mfano wa mtoto aliyeshiriki mahafali ya Kidato cha Nne bila wazazi wake, ambao alielezwa kuwa waliuawa nyumbani kwao Oktoba 29. Amesisitiza kuwa Watoto na familia zilizoathirika wanahitaji kupewa matumaini, lakini matumaini hayo yanapaswa kwenda sambamba na toba na mabadiliko ya kweli katika jamii Aidha, Padre Kitima amesema kuwa jamii inapaswa kujifunza kutokana na historia na makosa yaliyotokea ili kujenga mazingira yanayoheshimu uhai wa binadamu na kuzuia matukio ya mauaji kujirudia.
9
120
3
423
12,305
Learner✝️🛐 retweeted
October 29–a day that took so much from us! Cry, my beloved country 🇹🇿 💔😭
15
269
1
942
7,137
Learner✝️🛐 retweeted
😪
🤖 Made with AI
6
145
2
496
3,434
Learner✝️🛐 retweeted
Leo umetimia mwaka mmoja tangu mauaji yaliyofanywa kwa makusudi na vyombo vya dola vya Tanzania dhidi ya Watanzania wasio na hatia. Mauaji ya October 2025 yalikua yanaweza kuepukika na uchaguzi ukafanyika kwa amani na usalama. Kwasababu ya kiburi na uchu wa madaraka watawala waliamua kupuuza wito wa mda mrefu wa viongozi wa dini, vyama vya siasa, mashirika yasiyo ya kiserikali na hata watu maarufu ya kutaka mabadiliko ya katiba na sheria za uchaguzi ili kuwezesha uchaguzi huru na haki. Mpaka sasa mwaka mmoja baadae Nchi iko kwenye mkwamo mkubwa wa kisiasa, watu wanaendelea kutekwa, kuuawawa na kupotezwa. Kila anaetoa sauti ya kukemea uovu na kutaka maridhiano na uwajibikaji wa kweli anakabiliwa na kifo au mashitaka ya uongo. Inaonekana hawa watawala wameshindwa kujifunza kwa yale mabaya yaliyotokea, Inaonekana wanafurahia kuendeleza utawala wa mkono wa chuma, udikteta na ubabe, mauaji, utekaji na kunyamazisha badala ya kushawishi na kutatua matatizo. Kwa kutumia njia hizi mbele ni giza tupu, hakuna sehemu ambayo utawala wa kibabe Umefanikiwa kunyamazisha watu wote, Nchi hii ina watu zaidi ya milioni 70, hakuna siku watu wote hawa watanyamazishwa kwa uongo na kikundi kidogo cha watu kwa kutumia ubabe. Njia pekee ya kutatua mkwamo huu ni. 1. Kumuachia Mwenyekiti Lissu na kufuta kesi za uongo dhidi ya wanachama wetu wote. 2. Kuachia mateka wote na kusitisha utekaji na mauaji ya kiholela. 3. Kuruhusu msuluhishi huru (mediator) kuleta watu pamoja na kuzungumza kwa ukweli na uwazi. 4.Uwajibikaji bila upendeleo kwa wahusika wa mauaji, kulipa fidia familia za wahanga, kutibu majeruhi wote na kuwapa fidia. 5. Kuruhusu Uchunguzi huru na kuomba radhi mbele ya Watanzania kwa makosa makubwa yaliyofanywa na vyombo vya dola dhidi ya raia wake. 6. Kuandika katiba mpya ya Nchi na sheria za uchaguzi ambazo zitarudisha umoja na haki kwa kila mtu. 7. Kutamka kwa uwazi kwamba makosa kama yale hayatajirudia tena kwenye Nchi yetu. 8. Kuhakikisha familia zinapata miili ya wapendwa wao na kufanya maziko ya heshima, kiafrika na kidini. Kuendelea kutumia ubabe ni kuchochea chuki, uhasama na visasi kwa siku zinajazo… Watawala badala ya kutumia chawa na ubabe kujaribu kuhujumu Chadema na uongozi wa Chadema, Tumia busara kufanya jambo sahihi la kuponya Nchi hii. Tunajua mipango yenu dhidi yetu, lakini haki haijawahi kushindwa. Endeleeni kupumzika kwa amani wote mliouwawa kikatili na kibabe, poleni majeruhi na wahanga wote. Haki inaweza kuchelewa Lakini haki itapatikana tu.
81
732
12
2,208
28,644
Learner✝️🛐 retweeted
2
62
213
1,899
Learner✝️🛐 retweeted
A Tanzanian activist and human rights defender, Twaha Salim Mwaipaya, was reported abducted in Kamulu, Kenya, on October 25, 2026. His whereabouts remain unknown. Mwaipaya had sought refuge in Kenya after he reported torture and threats linked to his activism in Tanzania.
17
167
9
288
14,424
Learner✝️🛐 retweeted
This is Paris Notice anything different?
2,988
1,737
464
5,998
697,845
Learner✝️🛐 retweeted
Uganda’s retired Lieutenant General Peter Elwelu has gone into hiding over fears for his life, a relative has said, following public accusations of treachery by Chief of Defence Forces General Muhoozi Kainerugaba. instagram.com/p/DfCGeoAOBDR/…
4
1
1
822
Learner✝️🛐 retweeted
CHADEMA: Tutapepea bendera nusu mlingoti Oktoba 29 - Novemba 4.
18
43
1,397
Learner✝️🛐 retweeted
Ukweli mchungu!… #FreeTwahaMwaipaya
10
208
1
1,211
38,417