Pinned Tweet
Pale SUA semester 2 huwa kuna ile course ya Statistics mnasoma chuo kizima...huwa panachangamka sana 馃槀
Send off, harusi zote zinahitaji pesa nawewe hauna. Achana na kusumbua watu kama haujajipanga. Nasisi tuna plans zetu.....
Kuna mtu mmoja yeye mali zake zote wameandikisha watoto wao na wanajua kabisa. Ila saivi sababu wapo hai yeye na mke wake ndio wanacontrol. Wakifariki hakuna kitu ndugu wataambulia.
Jirani yangu ifike saa 12-1 asubuhi asiposikia nimepiga Attente ya Fally Ipupa lazima anipigie kuniuliza kama nimeamka salama 馃槀馃槀
Bajaj 3000 mpaka town. Boda buku jero mpaka mazimbu road pale then bajaj jero hadi town...kupanga ni kuchagua 馃槀
Haya matamasha tunashindwa kutazama na familia zetu, kuna baadhi ya maudhui hayako sawa. Acha tusogee bar 馃槀









