RASHIDI ADINANI (@Rasheed_Atm) header
RASHIDI ADINANI (@Rasheed_Atm) profile picture

Rashidi Adinani Maziku Bu Twalha Mjasiliamali/Truck Driver/Mwanafunzi/Muslim Sunni Salafi Admin of: https://teapawt.net/t.co/knp1BGNnPX

Dar es Salaam, Tanzania
Joined September 2020
Photo by RASHIDI ADINANI (@Rasheed_Atm)Photo by RASHIDI ADINANI (@Rasheed_Atm)Photo by RASHIDI ADINANI (@Rasheed_Atm)Photo by RASHIDI ADINANI (@Rasheed_Atm)Photo by RASHIDI ADINANI (@Rasheed_Atm)Photo by RASHIDI ADINANI (@Rasheed_Atm)Photo by RASHIDI ADINANI (@Rasheed_Atm)Photo by RASHIDI ADINANI (@Rasheed_Atm)Photo by RASHIDI ADINANI (@Rasheed_Atm)Photo by RASHIDI ADINANI (@Rasheed_Atm)
السَّلامُ عَلَيْكُمْ وَرَحْمَةُ اللهِ وَبَرَكَاتُه. Ndugu katika Imani, Nakualika kwa mahabba Ujiunge katika Channel yetu hii ya Telegram ya "Durusu na Faida za Kielimu" 👇 t.me/Durusu_na_Faida_za_kiel… Usome na kupata faida mbali mbali za Dini yetu na Upate ujira. وبالله التوفيق.
6
9
24
7,131
Kuna Akili halafu kuna Akili-Kipaji tofautisha.
Every major league ball still gets its 108 double stitches sewn by hand, and this is what that looks like up close. Hard to stop watching once you start
73
Sifa ya Vazi la Muumini.
1
7
298
Yote hii ni sababu ya Umaskini.. Allah atukinge na Umaskini
1
174
Alhamdulillah, Kazi nzuri Sana.
🇸🇻🇭🇹 El Salvador’s President @nayibbukele had his troops LIGHT UP a Haitian gang boss’s mansion from the air and called it his gift to the PEOPLE of Haiti. He sent around 2,500 soldiers there last month after 4 of his own went missing in gang territory... Since then, his forces have gone after 2 gang leaders’ homes and THOUSANDS of Haitians have marched in the streets to back him. He cleaned up El Salvador, and is now doing it for Haiti. 💪 Writer: Daniyal
1
62
Kumbe Gomz kushaanza mwendo kasi ama kweli Kongo sio kongowe.
1
3
161
RASHIDI ADINANI retweeted
Nyie Vijana hamko Siriazi kabisaa.. Mwanamke mmoja anatoshaje kwa mfano?! Kwamba kasimama katika majukumu yake ana watoto wa kutosha yuko na kila kitu?! Mwanaume hakuumbwa hivyo tazama hata Jogoo au Viumbe wengine uone dume yukoje Uislamu uko mbele ya muda siku nyingi.
4
1
5
362
RASHIDI ADINANI retweeted
Wewe Dada, Kabla haujazini jiulize huyo Future Hubby wako umemuandalia nini cha spesheli kama wawapa zawadi ya Mumeo wahuni ambao hawakuoi? Je ni Akili hiyo au Matope?! Ndio maana bikra ni Bora @mlinganya Tuache Zinaa Zinaa ni Dhambi Zinaa ni Uchafu Zinaa ni mbaya.
2
91
RASHIDI ADINANI retweeted
Wewe Kijana , Kabla haujazini jiulize uko tayari Kuoa Mwanamke aliye kwisha haribiwa na wahuni?? @mlinganya Uko tayari binti yako achezewe na wahuni??? Kama inauma Acha Mabinti za Watu Zinaa ni Dhambi Zinaa ni Uchafu Zinaa ni Uharibifu.
2
4
105
RASHIDI ADINANI retweeted
Kuna hili Janga la baadhi ya Watu ni waathirika wa UKIMWI wanafanya kuusambaza kwa Wasio athirika kwa Roho mbaya na Makusudi Huku ni kuuwa kwa Makusudi.
1
63
RASHIDI ADINANI retweeted
Muziki na Wasanii ni Chombo cha kuharibu maadili ya Jamii Angalia kila baya na ovu kwenye Jamii leo hii chanzo chake ni Tv na Wasanii Ila tunasubiri mpaka Wazungu waseme ndio nasi tutie akilini Aibu iliyoje kwa Sisi waafrika tulivyo wagumu wazito kuelewa mambo.
3
1
1
4
223
RASHIDI ADINANI retweeted
Moja ya faida ya Kuoa Mwanamke #bikra Bro mmoja aliwahi niambia ni kwamba Unamshepu kwa size yako Wewe Akili Kumkichwa.
1
77
RASHIDI ADINANI retweeted
Wakati tunahimizana Kuoa bikra kwa Usalama wa Ndoa zetu hakikisha hatuwi ni miongoni mwa waharibifu wa hizo bikra.
1
4
94
RASHIDI ADINANI retweeted
Allah kaumba kuwa: Mwanaume ni Mfalme Mwanaume ni Mkuu Mwanaume ni Mkubwa Mwanaume ni Kiongozi Mwanaume ni Msimamizi Kuwa Juu haimaanishi Dhulma na Manyanyaso kwa walio chini bali kheri na faraja kwao Hizo kelele za Usawa wa Jinsia sijui nini peleke kule.
2
6
355
RASHIDI ADINANI retweeted
Mtume wetu Muhammad Swala na Salamu ziwe juu yake ametuambia Jambo moja la muhimu sana kuhusu hawa Wanawake “Ukiweza kuwa Bora kwa Mwanamke IE Mke basi Wewe ni Bora kuliko Watu wote” Ni kashughuli.
1
69
RASHIDI ADINANI retweeted
Mimi ni Muumini wa Hoja na Dalili yaani Facts pekee na kinyume chake.
1
65
RASHIDI ADINANI retweeted
Ubaguzi ni Dhambi mbaya ya Kijahilia yenye kunuka Iwe ni kwa ajili ya Maumbile (Ulemavu) au iwe kwa ajili ya Rangi au Kabila au Hadhi n.k Katika Uislamu hakuna ubora wa Mtu a kwa Uchamungu pekee.
1
7
170
RASHIDI ADINANI retweeted
📍 Haki za Mke kwa Mume wake..
1
3
114
RASHIDI ADINANI retweeted
Ndugu #Muislamu , kwa nini Swala kwanza?!
4
9
196
RASHIDI ADINANI retweeted
Muislamu usiye Swali jitafakari.
2
7
170
RASHIDI ADINANI retweeted
Dini ni Nukuu Sio Fikra na Mawazo na Rai.
1
4
130