
ATR/HUMANITY is my religion || #UbinadamuKwanza
Zanzibar South and Central
Joined June 2017
- Tweets62.4K
- Following1.4K
- Followers18.2K
- Likes153K
Pinned Tweet
Nidhamu, heshima na uvumilivu katika kazi ni njia bora ya kufikia mafanikio.
Tuwe na mafanikio mema katika utaftaji wa kila siku.
Hata kama mmefanikiwa kuzuia maandamano ila hamjazuia kilichomo ndani ya mioyo yao. Ni kweli wamekaa ndani ila mioyo yao inatoa sauti kali, iko siku wala hawatopanga ila yatafanyika na matunda yataonekana.
5
154
ATR Mtiling’ati retweeted
Tunza sana Afya yako maana huo mwili ndio gari pekee utakalo litumia katika safari ya kutimiza ndoto Zako.😊
ATR Mtiling’ati retweeted
Happy Women's day to all the good Women out there.
Wanawake mkisimama kwenye nafasi zenu, Familia, Jamii na Taifa uimarika.
Uwezo wenu wa kulea, kutunza, kufariji, kuboresha,kuhamasisha, Kuinua ni Top Notch 🙌🏼.
Ninyi ni nguzo,msingi, na moyo wa jamii.
Tunawapenda ❤️🙏🏼
Mwisho mweupe umeonekana
Sema neno
Ndoto za mchana hizo!..
Mtu aliyeasisi vikosi vya wasiojulikana aliwa waziri wa mambo ya ndani hawezi kiwa hizo........
Mtu mwenye masakata lukuki ya mikanganyuko ya hela zeru za mikopo ya kujenga SGR hawezi kuwa hizo ......
Mtu anayehonga hela awe PM na kusema kamshika Rais na watu wake na kuwa anajua mambo yao hawezi kuwa PM
Na akiwa tutajua kweli kuna mambo anajua na anateuliwa kuyalinda hayo mambo!
Na hapo sasa ndipo vumbi litatimka haswa !!
1
3
307
Imagine kuna familia imepoteza watoto watatu na ndugu wengine wa karibu wanne, wako na misiba saba ya wapendwa wao. Kama taifa tufunge na kusali nchi ipate faraja mpya.
1
113
Mwenyezi Mungu tutizame na sisi katika jicho la kuponya nchi kwa maumivu tunayozidi kuyapata tuponye baba fanya jambo ikawe faraja kwetu.
46
RIP wapendwa wetu, mmekufa kifo cha kishujaa imani ni kuwa damu zenu zitahusika katika ukombozi ujao muda mfupi.
1
84
MEDIA zetu hazijali yale yalotokea wala yanayoendelea nchini badala yake zimeamua kuwa sehemu ya kuficha ukweli. Haya mambo yana mwisho wake.
1
81




