“Usimtafsiri mtu kutokana na maneno ya watu, ishi nae kwanza ujionee, yote ni kwa sababu binadamu huishi maisha tofauti kulingana na watu tofauti - “ BWM
Richard Steven Itembe - Ricky retweeted
Maafisa Wanafunzi wakivalishana vyeo baada ya kutunukiwa Kamisheni na Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Amiri Jeshi Mkuu, katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha tarehe 21 Novemba, 2026.
Richard Steven Itembe - Ricky retweeted
Dear RC
Don’t plan to miss tomorrow’s Mass for the
Feast of Christ the King. Good songs 🔥
I know nobody asked guys but my beautiful lady is looking ridiculously gorgeous tonight Kamependeza mnoo 🙌
19
Richard Steven Itembe - Ricky retweeted
Matukio mbalimbali wakati wa sherehe za kutunukiwa Kamisheni Maafisa Wanafunzi kundi la 07/23- Shahada ya Sayansi ya Kijeshi na Kundi la 73/25- Regular kwenye uwanja wa Gwaride wa JJ Mkunda katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha tarehe 21 Novemba, 2026.
Richard Steven Itembe - Ricky retweeted
MAAFISA KUTOKA NCHI 9 ZA AFRIKA WAHITIMU TMA MONDULI, WAPO MARUBANI, MADAKTARI BINGWA, WAHANDISI
Maafisa wanafunzi kutoka nchi tisa za Afrika wamehitimu mafunzo ya kijeshi katika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi (TMA) Monduli mkoani Arusha, wakiwa na taaluma mbalimbali zikiwemo marubani, madaktari bingwa, wahandisi, walimu na wataalamu wa uchumi.
Akizungumza katika hafla ya kutunuku kamisheni kwa maafisa wanafunzi wa Kundi la 07/23 la Shahada ya Sayansi ya Kijeshi na Kundi la 73/25-Regular, Mkuu wa chuo hicho, Meja Jenerali Jairos Mwaseba, amesema wahitimu hao wanatoka mataifa mbalimbali yakiwemo Afrika Kusini, Burundi, Ethiopia, Kenya, Msumbiji, Namibia, Rwanda, Uganda na Zambia.
Hafla hiyo imefanyika leo Jumamosi, Novemba 21, 2026, katika chuo hicho ambapo mgeni rasmi ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyewatunuku Kamisheni hizo, ikiwa pia ni mahafali ya saba ya kijeshi ya Kundi la 07/23.
Meja Jenerali Mwaseba amesema, maafisa wa Kundi la 07/23 wamepata mafunzo kwa miaka mitatu, huku Kundi la 73/25-Regular wakipata mafunzo kwa mwaka mmoja, yakilenga kuwajengea uwezo wa uongozi, mbinu za kijeshi, kufanya maamuzi na kushirikiana katika kutekeleza majukumu katika mazingira yenye changamoto mbalimbali.
Amesisitiza umuhimu wa uwekezaji katika miundombinu, vifaa na teknolojia, akieleza kuwa ni sehemu muhimu ya kujenga maafisa wenye uwezo wa kukabiliana na changamoto za kisasa na zijazo.
Aidha, Mkuu huyo wa chuo ametoa shukrani kwa Rais na Amiri Jeshi Mkuu, Waziri wa Ulinzi, Dkt. Rhimo Nyansaho, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob John Mkunda, pamoja na bodi ya wasimamizi wa chuo chini ya mwenyekiti wake, Jenerali Samwel Othman, huku akiahidi kuendelea kuboresha mitaala, mbinu za ufundishaji na tathmini ya mafunzo.
Richard Steven Itembe - Ricky retweeted
Sema tunachukuliana poa sana humu ndani...
Anyway acha tuendelee iko siku tutazipanga..
Tanzania na ICAO zinaimarisha ushirikiano kuendeleza mafunzo na kujenga uwezo wa wataalamu wa sekta ya usafiri wa anga. Mazungumzo jijini Montréal, Canada, yamelenga kuoanisha mafunzo na mahitaji ya sekta na kuimarisha uwezo wa kitaalamu nchini.
#UsafiriWaAnga | #TCAATanzania
Richard Steven Itembe - Ricky retweeted
Replying to @JohnieZeBest @officialtcaa
Katika kujiandaa na ukaguzi wa ICAO wa USOAP CMA unaotarajiwa Aprili 2027, @officialtcaa inaendelea kuimarisha uwezo wa watumishi na wadau wa sekta ya usafiri wa anga. Ushirikiano na ICAO unalenga kuongeza ufanisi katika usimamizi wa usalama wa anga nchini.
#UsafiriWaAnga |
TCAA na ICAO zinapanga kuimarisha utoaji wa mafunzo kupitia Kituo cha Mafunzo ya Usafiri wa Anga (CATC), ikiwemo kuwaandaa wakufunzi wa ndani. Hatua hii itaongeza uwezo wa kutoa mafunzo maalumu nchini na kukuza utaalamu katika sekta ya #UsafiriWaAnga
#TCAATanzania
Richard Steven Itembe - Ricky retweeted
Tanzania na ICAO zinaimarisha ushirikiano kuendeleza mafunzo na kujenga uwezo wa wataalamu wa sekta ya usafiri wa anga. Mazungumzo jijini Montréal, Canada, yamelenga kuoanisha mafunzo na mahitaji ya sekta na kuimarisha uwezo wa kitaalamu nchini.
#UsafiriWaAnga | #TCAATanzania
Richard Steven Itembe - Ricky retweeted
Replying to @officialtcaa
@officialtcaa na ICAO zinapanga kuimarisha utoaji mafunzo kupitia Kituo cha Mafunzo ya Usafiri wa Anga (CATC), ikiwemo kuwaandaa wakufunzi wa ndani. Hatua hii itaongeza uwezo wa kutoa mafunzo maalumu nchini & kukuza utaalamu katika usafiri wa anga.
#UsafiriWaAnga #TCAATanzania
I was here wondering why I was being treated so nicely today unlike last week, kumbe ni Men’s Day 😂😂 Suddenly, everything makes sense
5
95















































