The Official Page Of Tanzania Civil Aviation Authority (TCAA)

Dar es Salaam, Tanzania
Joined May 2018
Mwenyekiti wa Bodi ya TCAA, Dkt. Hamisi Mwinyimvua, ameongoza timu ya TCAA kupokea ujumbe wa Bodi ya SSCAA kutoka Sudan Kusini, tarehe 24 Oktoba 2026, kwa ziara ya mafunzo na kubadilishana uzoefu katika usimamizi wa sekta ya usafiri wa anga. #TCAA #usafiriwaanga
2
6
155
Mkurugenzi Mkuu wa TCAA, Dkt. Jabiri Bakari, amewahimiza watumishi kufanya kazi kwa bidii, kuzingatia maadili na kutoa huduma bora kwa wakati, akifungua mkutano wa kwanza wa Baraza la Wafanyakazi kwa mwaka wa fedha 2026/27, Oktoba 23, Dar es Salaam. #TCAA #usafiriwaanga
5
1
9
284
Mkurugenzi Mkuu wa TCAA, Dkt. Jabiri Bakari, amepokea ujumbe wa viongozi wa Transom ulioongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu, Mhandisi Ibrahim Said Al Amri, kwa lengo la kujitambulisha na kuimarisha ushirikiano.Transom hutoa huduma za ardhini JNIA na Uwanja wa Ndege wa Mwanza. #TCAA
4
6
169
#TCAA na mashirika 13 ya ndege wamekutana Kibaha kuimarisha ushirikiano na kuboresha huduma kupitia CASP. Dkt. Jabiri Bakari amesisitiza matumizi ya mfumo huo, mawasiliano ya karibu na utoaji wa mrejesho ili kuongeza ufanisi wa huduma. #TCAA #CASP
5
1
7
286
Heri ya Wiki ya Huduma kwa Wateja! Dawati letu la Huduma kwa Wateja liko tayari kukuhudumia! #CSW2026 #TCAA #usafiriwaanga #CASP
1
6
1
6
320
Happy Customer Service Week! Our Customer Service Help Desk is ready to serve you! #CSW2026 #TCAA #AirTransport
1
8
1
7
326
TCAA ilianzisha Dawati la Huduma kwa Wateja linalopokea maswali, maoni, pamoja na kutoa taarifa na mwongozo kuhusu huduma zake. Lifikie kupitia WhatsApp +255 771 564 070, simu ya bure 0800 110 193, barua pepe [email protected] na [email protected]. #TCAA #usafiriwaanga
6
1
8
437
TCAA imeanza Wiki ya Huduma kwa Wateja, tarehe 5–9 Oktoba 2026, kwa mafunzo kwa watumishi na kusikiliza maoni ya wateja katika ofisi zake nchini. Kauli mbiu “The Extra Mile” inahimiza kujituma zaidi katika kutoa huduma bora, kwa heshima na ufanisi. #TCAA #usafiriwaanga
6
1
9
347