Kuvaa hijab, tarban, kujifunikafunika sio ndio kwamba wanajua Sana dini, wakarimu mno, la hasha, hiyo ni tamaduni Tu kama kufuga Rasta.
1
18
China ilisoma mahitaji ya majority of African consumers kuwa ni price ndogo, changamoto gani wanazo wakaona miundombinu, wakaboresha, so far mzigo unapatikana mpaka sitimbi.
Mifumo Tu hakuna uchawi
1
11
Tf is going on?,
Watu wamerudisha lisaa limoja nyuma na shega Tu. 😂😂😂 Ndio maana wajuvi wa elimu ya kale wanatucheka Sana tunaoshupalia hizi dini.
1
47
Namuweka JOH MAKINI kwenye Vs na msanii yoyote wa rap hapa nchini, na pengine east Africa, Nina uhakika, hakuna wa kugusa Moto wake,
Ngoma kwa Ngoma
Weka aweke, mnatoka kapa,
Mjomba ana mikwaju sumu, versatile,
Just go through his music catalogue utatambua.
1
15
There is a big reason every FMCG company keeps launching new SKUs and new products.
There is a significant reason behind✍️✍️✍️.
2
22
Kuna namna hawa wasanii na wadau wa HIPHOP wabadilike, la sivyo wataendelea kufanya muziki wa kimasikini na wasitudanganye wanafanya Tu kwa mapenzi.
Miaka inaenda, sound zinabadilika, flow na styles pia, lakini wadau wako pale pale na mentality ya bum ku bam.
1
21
Every new product needs to be developed,
And there is a strategy behind that development.
......NPD..............
