Tanzania - SGR Project ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@SGR_tz) header
Tanzania - SGR Project ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@SGR_tz) profile picture

Ukurasa huu unasimamiwa na Shirika la Reli Tanzania - TRC kwa ajili ya kutoa taarifa za maendeleo ya Mradi Mkubwa wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa - SGR nchini๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2017
RATIBA YA TRENI ZA SGR KUTOKA DSM HADI DODOMA NA DODOMA HADI DSM KUANZIA JAN 03, 2025.
1
2
592
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUREJEA KWA HUDUMA ZA USAFIRI WA TRENI ZA SGR KATI YA DAR ES SALAAM NA DODOMA
1
1
2
600
Daraja la Malagarasi ni alama muhimu katika mradi wa SGR Awamu ya 2, kipande cha Sita kati ya Tabora na Kigoma. Daraja hili lenye urefu mita 465 (zaidi ya viwanja vinne na nusu vya kuchezea mpira wa miguu) likibebwa na nguzo 17 ujenzi wake umefikia asilimia 80.
1
5
854
Tutakukumbuka daima Baba wa Taifa.
1
1
461
CP Mstaafu Thobias Andengen'ye, amesema mradi wa SGR kipande cha Uvinza hadi Musongati
1
4
584
MAHOJIANO YA KAIMU MKURUGENZI MKUU TRC NA ZBC KATIKA KIPINDI CHA ASUBUHI NJEMA Mada; Maendeleo ya mradi wa SGR na shughuli za uendeshaji wa treni za mwendokasi (SGR) youtube.com/live/RmCBTvsQasQโ€ฆ
985
Stesheni kuu ya SGR Dodoma, sasa kufahamika kama STESHENI KUU SAMIA SULUHU DODOMA.
1
2
1
9
1,349