Leo tunashiriki Kongamano la Masoko la Bidhaa Zitokanazo na Mazao Lishe Yasiyopewa Kipaumbele na Yaliyosahaulika.
Kauli mbiu:Imarisha afya yako kwa kula vyakula bora vitokanavyo na mazao lishe yasiyopewa kipaumbele,yazalishwayo kwa mbinu za kiikolojia
#KilimoHai
#NUS4HealthyDiets
"Serikali kushirikiana na #TARI na kuanzisha miundombinu ya kimkakati ya utunzaji wa nasaba za mazao ya #KilimoHai kupitia #NPGRC ni hatua muhimu katika kukuza #KilimoIkolojia na uhifadhi wa mbegu asili!" - Dkt. Hussein Mohamed Omar, Naibu Katibu Mkuu, @WizaraKilimo
Mkakati wa #KilimoHai (National Ecological Organic Agriculture Strategy - NEOAS) unatoa mwanga juu ya uendelezaji wa kilimo hai na uhakika wa uzalishaji wa chakula salama, toshelevu na chenye lishe bora nchini Tanzania. -Dkt. Hussein Mohamed Omar, Naibu Katibu Mkuu, @WizaraKilimo
Congratulations Dr. John Constantine, you have just made it PhD @agroecology at Sokoine University Morogoro.
#KillimoHai
6
115
We are empowering women with required agroecology skills to grow healthy food, good for human health and environment.
#KilimoHai
3
7
231
Agroecology for healthier and nutritious food.
#MbenuniUhai
2
117
@SWISSAID_Tz inafanya kazi na wafanyabiashara wakiwemo I am Organic kuwezesha kufikisha bidhaa za #KilimoHai kwa walaji wa mwisho.
"Mwanzoni tulikua tunategemea soko la majumbani ambalo uhitaji wake ni mdogo, kwa sasa hivi soko limepanuka mpaka mahotelini." - Aidan, I am Organic

Integrated farming is beneficial in several ways including:
✅It helps farmers to get all the necessary inputs for crop production in a given area,
✅It is also a way to boost income for small scale food producers.
Learn more on the video. ⤵️
#KilimoHai
Faida za kilimo cha mjumuisho ni pamoja na:
✅ Kumsaidia mkulima kupata mahitaji muhimu ya uzalishaji katika eneo husika,
✅Pia ni chanzo cha kipato kwa wakulima wadogo.
Jifunze zaidi kupitia video hii: ⤵️