Hakika Mwenyezi Mungu ametuamrisha uadilifu na kufanyiana wema. Mtume s.a.w. akielezea vile kwanini mtu maarufu au mkubwa,mwenye uwezo akiiba anaachiliwa lakini mnyonge anahukumiwa,akasema laiti ingelikuwa mtoto wake kipenzi Fatma ndio ameiba basi asingefkiria mara
66
Ahmed Shawqy kutoka Misri ambaye alikuwa akijulikana kama Amiru Shuarai (Mfalme wa mashairi) asema; Hakika mataifa hudumu kwa sababu ya maadili mema, maadamu maadili yao yangalipo. Na maadili yao yanapopotea, basi nao hupotea.
Mafunzo ya mashairi kama haya inatufahamisha kuwa maa
6
Maneno yaliyotamkwa Changamwe kwenye mkutano wa mabalozi na incoming Governor 001 Hassan Omar Hassan was just figurative language. It was a figure of speech to emphasize to the people of Mombasa to register as voters in large numbers and turn out massively to cast their votes in
15
Heartfelt congratulations to all the leaders who participated in today's election. Hongera kwenu nyote❤️❤️❤️
2
Kazi ya Rais William Ruto,haihitaji kelele inajionyesha wazi. Kizuri chajiuza chenyewe,kibaya ndio mpaka kijitembeze. Akina Matiangi na Kalonzo mutakapokuja Mombasa mutuambie mumetufanyia nini sisi watu wa Mombasa mulipokuwa mamlakani,hatutaki story za Abunuwas na vipindireeee.
15
Tuekeni siasa kando,watu wa Abdulswamad wasema mimi ni hasidi yake lakini Abdulswamad kunani kwenda kanisani Mikindani Parish kwa wale ndugu zetu 17 wa catholic walopata ajali halafu ukawaahidi utatoa laki 2 na usitoe? Abdulswamad lakini una niniii? Una shida
13
Jitho la hasad kabla sisi kuingia uwanjani alikuwa acheza boli peke yake akifunga mabao peke yake,sasa tumeingia wenyewe akina Messi,jitho linpothea halionekani😂😂😂. Mimi nawaambia,bado ndo mwanzo mkoko waalika maua,yaani hatha jitho la husda wakiungana na Abdulswamad Mwakirung
9
Hassan Omar Hassan ni kipenzi cha wengi,ukiskia kila kona watu wanakuongelea kwa wema ujue ni neema na rehema ya Mwenyezi Mungu.
10
Utetezi bila nguvu za siasa ni ushawishi tu wa kawaida. Huruma ni maadili ya kimungu na ya kikatiba,mwenye kingi amruhumie mwenye kidogo,haya yote yako kwenye maandiko ya vitabu vya dini. Kuna watu wanasema nyumba zinazojengwa za bei nafuu,yaani,affordable housing
8
Tafuteni kwanza ufalme wa Mungu,na haki yake,na mengine yote mtazidishiwa,mtaongezewa,yatafuatia. Hassan Omar Hassan all the way in shaa Allah ❤️❤️❤️
11
Leo tulikuwa Jesus Evangelical Church Shimanzi, Mvita. Mwenyezi Mungu anasema sisi wote ni wamoja,tuishi pamoja na kushirikiana kwa uadilifu na watu wa kitabu. Ukiwa kiongozi unakuwa kiongozi wa dini zote na lazima tudumishe haki,usawa na ulinzi kwa raia wote bila kubagua
9
Rais alimuonea huruma Abdulswamad ikabidi aseme Mgala muue na haki umpe,mimi mwenyewe nimemuonea Abdulswamad huruma,tatizo Abdulswamad ni mbishi,ni mshindani,wananchi waliposema OTG/ WANTAM. Wananchi wakikuzoma ni kwasababu huwajibiki sio mambo na sura. Abdulswamad naye alicatch
10
Kukataliwa kubaya,Jina la Hassan Omar lilipotajwa tu,si vigelegele na shangwe na nderemo hiyoooo. Msema kweli ni kipenzi cha Mungu,ngojeeni niwaambie ukweli, wakati Abdulswamad alipotajwa thu jamaa wote wimbo ukawa mmoja wa WANTAM ilibidi Rais aingilie kati
11
Karibu mombasa Mheshimiwa rais dr William Samoei Ruto tukutane kesho inshallah mupate tittle deeds zenu 🤲🤲🤲
8
Asenteni sana ndugu zangu,wajumbe wetu wapendwa wa UDA Tudor ward. Mwenyezi Mungu awabariki na kwa wale wenye kuwania viti hii ijumamosi tarehe 3 October nawatakia kila la kheri na ushindi kwenye hicho kinyanganyiro.
15
