Ukitaka Usiumwe Tete Kuwanga Maishani basi Umwa Tete Kuwanga....
Baadhi Ya Mambo ili uweze kuyakabili basi Suluhu ni Kuyapitia.
Sometimes it's the journey that teaches you a lot about your destination.
Nyakati Zingine Mchakato unakufunza Sana kule unakoelekea maishani
10 Years Ago
Ukipata Nafasi ya Kumtia mtu moyo fanya hivyo ungali hai....ukipata Nafasi ya kumshukuru Mtu ama Kumu appreciate mtu fanya hivyo hujui nani atatangulia...utatamani kuandika akiwa ameondoka then kwake haina maana sana inawezekana ungemwambia akiwa hai ungemtia moyo.
Kesho Muhimbili Tuna Jambo Letu.....Hitsong iliyopo mjini kwa sasa ni Ujio wa Wasudani nchini! Ma hitmaker wako wa Taifa #Clouds360 hatuna Jambo Dogo.
6
1,161
Zamani nilikuwa najua Mtu akiwa analielezea jambo halafu akachomekea Neno la Kiingereza nilikuwa najuaga huyo Jamaa ana maakili sana......aah Kumbeee
24
1,074
Maeneo muhimu ya Kibajeti.
1. Matumizi Ya Internet Katika ku download magazeti
2. Gharama za fedha Kwa ajili ya kuimarisha Mahusiano na Makapuni ya Uchapaji magazeti
3. Tozo mpya za Kuwasomea watu magazeti ili yanunuliwe
4. Bajeti ya kuajiri Graduates Political Analysts.
13
751
Wanasheria Ile "Legitimate Expectation" ya kwenye Administrative Law huwa hai apply kwenye Marriage Law?
Enzi hizo zamani mkorofi mkorofi marafiki zake Baba walikuwa Wananiita "Kijana wa Sasali" hawakutaka kabisa kujihusianiasha na Mimi Ila siku hz wananiita "Kijana Wetu"
#Andika Jina Lako Vizuri...
6
562
Kilele Cha Kurasa 365 ndani ya Mlimani City..
#NaniKamaMama instagram.com/p/Cp-xLfgtI5R/…
1
492













