SAMALEN TV  (@Samalentv) header
SAMALEN TV  (@Samalentv) profile picture

💻 Tech Expert | 🎙️ Content Creator | 🎧 Podcaster | 🎨 Designer | ⚽ Sports | 🎮 Gamer | 🏆 Forbes-Recognized | Temporary Secretary of @Samalentips

SAMALEN TV
Joined August 2021
Photo by SAMALEN TV  (@Samalentv)Photo by SAMALEN TV  (@Samalentv)Photo by SAMALEN TV  (@Samalentv)Photo by SAMALEN TV  (@Samalentv)Photo by SAMALEN TV  (@Samalentv)Photo by SAMALEN TV  (@Samalentv)Photo by SAMALEN TV  (@Samalentv)Photo by SAMALEN TV  (@Samalentv)Photo by SAMALEN TV  (@Samalentv)Photo by SAMALEN TV  (@Samalentv)
🚨 BIG ANNOUNCEMENT 🚨 From today, I’m officially open for collaborations and partnerships 🤝✨ Over the past months, I’ve been working hard to upgrade my skills and portfolio, and now I’m ready to work with brands, companies, and organizations in different industries. 🙏
1
2
561
🇹🇿 TANZANIA 🇰🇪 KENYA | AFCON 2027 STADIUM COMPARISON ⚽🏟️ Cc @Samalentv
1
2
382
SAMALEN TV  retweeted
Them : Sam unavaa vibaya Me : Because im not poor!!! 😅
1
3
589
SAMALEN TV  retweeted
I pay in dollars 🔥
1
3
516
Hongera kwa Mheshimiwa Milton Dick kwa kuchaguliwa kuwa Rais mpya wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU). 🇹🇿 Ni heshima kubwa kukutana nawe katika Mkutano wa 153 wa IPU Nakutakia kila la heri katika majukumu yako mapya ya kuimarisha demokrasia, nk @IPUparliament @MiltonDickMP
6
2
4
24
14,442
1
3
641
Da tairi yetu ime bust
1
2
708
When someone doesn't like you, they eventually team up with someone else who feels the same. And before long, there's an entire group talking behind your back. But here's the truth. People who gossip about you or hate you don't even enjoy each other's company.
1
2
759
IPU is Over , Asanteni Dunia kwa kuungana nasi na niwapongeze wananchi kwa kufanikisha hili pia kwa kutupa nafasi ya kutekeleza majukumu yetu bila changamoto , vile vile Tunavishukuru Vyombo vyetu vya usalama kwa kuimarisha ulinzi wa hali ya juu sana mkoa mzima 🤝
5
2
12
2,237
Nilipata wasaa wa kuongea na Mwanasheria na Advisor wa Mbunge kutokea Nchi ya Laos 🇱🇦 , Tuliongea mengi sana na baadhi ya dondoo nilishawishiwa kuziweka hewani ila wenzangu walikwama kidogo kwenye upande wa mic hivyo sauti ikawa imepotea, anyway Inasikika kwa mbali sikiliza ,,
9
1
15
3,441
SAMALEN TV  retweeted
Anko wangu alinitembelea kidogo tukazungumza mambo mengi sana , Sijutii kuwa na anko kama yeye ✌️🙌
28
9
7
106
16,627
SAMALEN TV  retweeted
Naomba Tu VOTE HAPA Jisikie huru JE UNAMKUBALI SAMALEN HATA UKISHAWISHIWA KUMCHUKIA ??
86%SIMKUBALI HATA KIDOGO
14%NAMKUBALI SANA HATA IWEJE
42 votes • Final results
1
3
4
1,490
SAMALEN TV  retweeted
Baada ya Miezi 3 Nimerejea huku Twitter(X) Baada ya kupost video flani tarehe 6 June 2026 nikizungumza na kuwakumbusha watu tusitengeneze chuki zisizo na sababu kwenye mitandao. Baadhi ya watu walianza kuni attack na kunishambulia SOMA UZI 🧵
30
6
21
29
23,574
Yani CHADEMA ikitaka ife iendelee kuwasikiliza hawa wanaharakati kama akina mange, maria sarungi ni shangazi nampa heshima yake sana na sitaki kabisa kumsema kwa ubaya au kukinzana nae ila akina hilda wanakosea sana kuitafsiri kauli ya Lema , Mangi usijibizane nao FOCUS !! ✌️
Nimeona matusi na sintofahamu nyingi mtandaoni baada ya kuchapisha ujumbe wa kutoa pole kwa Mama Samia, hasa niliponukuu salamu za pole za Mwenyekiti Lissu kutoka gerezani. Kwa sisi jamii tunaodai kupigania uhuru wa maoni na demokrasia, hili linapaswa kutufikirisha. Kutofautiana kwa hoja hakuhitaji matusi, dhihaka wala chuki. Lissu amekaa gerezani takribani mwaka mmoja na miezi sita, akikabiliwa na kesi ambayo sisi tunaamini ni ya kisiasa na isiyo na haki. Anafahamu yaliyompata na serikali iliyomweka mahabusu. Lakini alipofahamishwa kuhusu msiba wa mume wa Mama Samia, akiwa mbele ya mahakama, alitoa salamu zake za pole kwa wafiwa mara mbili. Huu si unyonge. Hii ni hekima, utu na ukomavu wa kiwango cha juu. Na si mara ya kwanza. Aliwahi pia kumtetea Sabaya katika kesi yake Moshi. Wengi tulishangaa, nami nilishangaa. Lakini nilipomuuliza baadaye, nilielewa kwamba kwake haki haichagui upande. Hilo ndilo fundisho kubwa tunalopaswa kulibeba. Tunaweza kupinga serikali, kudai haki na kupigania demokrasia bila kujenga harakati zetu juu ya chuki na kisasi. Lakini kama tunasema tunampenda Lissu, basi pale anaposema ana pumzi ya kuvumilia mateso na kukaa gerezani, sisi tunapaswa kuchukua kauli hiyo kama mwito wa ujasiri, si ruhusa ya kukaa kimya. Kama tunaamini kesi hii si ya haki, basi viongozi tunanapaswa kuwaongoza wananchi katika hatua za amani, kisheria na kidemokrasia za kudai haki, pengine kwa njia ya maandamano. Sio kwenye keyboard tu na microphone. Demokrasia inahitaji wananchi wanaothubutu kusimama kwa kile wanachoamini. Na kama siku moja tutapata nafasi ya kuongoza nchi hii, tusije tukarudia makosa tunayoyapinga leo. Lazima tutawala kwa haki, utu na dhamira njema. Mimi nitasimama kwenye upendo, utu na haki siku zote ktk kazi hii. Anyway , hekima ya Lissu kutoa pole kwa Mama Samia was a top-class thinking. Inaonyesha kwamba hata unapoteseka, unaweza kuchagua utu, hata unapopinga, unaweza kukataa kisasi. Wakati mwingine Mungu hataki umshinde adui yako kwa chuki, bali kwa upendo, hekima na maisha yenye ushuhuda kwamba uovu wake haukukushinda. Mimi niko tayari kusimama kwa amani na kwa ujasiri. Katika hatua ya kupigania uhuru wa Lissu kuwa nje ya kuta za gereza na sio kusema ana pumzi ya kukaa jela hata maisha. Tuna watu wengi sana Chama hiki , pumzi yetu itoke mtandaoni , fikeni tu hata mahakamani kwa sasa na huku viongozi wakuu watusaidie kutafakari jambo muhimu la haki , sheria na amani. “You don’t have to hate those who hurt you. Sometimes the greatest revenge is to rise above them with peace, dignity, and success.” Thank you !!
2
780
When you are sinner and you become a singer in a church choir 😅
2
134
Leo tena kuna mtu kasema kuhusu hiki kisiwa 😳😳 nimeelezea zaidi hapa instagram.com/p/DctTubyjWmx/…
KUMBE KUNA WATU WANAMILIKI VISIWA HUKU TANZANIA?? Leo nilikuwa na scroll tiktok nikakutana na jambo la ajabu sana katikati ya hii video huyu jamaa ametamka kitu ambacho kimeniacha na maswali mengi sana hivi kumbe wazungu wanamiliki visiwa vyetu ??? Mh mbona kama hii ni hatari sana sasa 😭😭
2
163