seagask (@SeagasK) header
seagask (@SeagasK) profile picture

The Official twitter page for SEA Gas Kenya. #BoreshaUpishi

Kenya
Joined September 2019
Je wajua? Kukataka vipande vidogo huharakisha mapishi na huokoa gesi? Tupe njia zingine za kuokoa gesi kwenye comment section! Boresha upishi na SEAGAS.
3
Sambaza upendo na ufuharie nyakati za pamoja na familia. Jumma Mubarak kutoka SEAGAS!
7
Happy International Men’s Day! Leo tunasherehekea wanaume wanaofanya maamuzi mazuri, wanaojali familia zao, na wanaohakikisha nyumba inatembea vizuri. Wanaume wanaofikiria mbele huchagua SEAGAS; gesi salama, safi na ya kuaminika kila wakati. Boresha upishi na SEAGAS!
19
Maisha bora huanza jikoni. Boresha upishi, boresha maisha na SEAGAS! Tupigie kwa nambari yetu ya bure 0800 723 666 kupata yako leo.
12
seagask retweeted
Replying to @SeagasK
Jumma Mubarak may every struggle strengthen your faith
1
13
Ijumaa hii ni Siku ya Ukarimu Duniani. Tenda wema, gusa mioyo. Jumma Mubarak Kutoka SEAGAS!
1
1
29
Quality is more than compliance. It's about better products, reliable service, operational excellence and continuous innovation. From cylinder manufacturing and Bulk LPG to Seagas @ProGasKe and @otogas_ke , quality drives how we deliver and improve. Quality: Powering Performance. Powering Forward. Happy Quality week from us! #WorldQualityWeek
2
3
38
seagask retweeted
Quality is more than compliance. It's about better products, reliable service, operational excellence and continuous innovation. From LPG manufacturing and Bulk to @ProGasKe , @SeagasK and OTOGAS, quality drives how we deliver and improve. Quality: Powering Performance. Powering Forward. Happy Quality week from us! #WorldQualityWeek
3
2
28
seagask retweeted
Quality is more than compliance. It's about better products, reliable service, operational excellence and continuous innovation. From cylinder manufacturing and Bulk LPG to Progas, @SeagasK and @otogas_ke , quality drives how we deliver and improve. Quality: Powering Performance. Powering Forward. Happy Quality week from us! #WorldQualityWeek
3
2
90
Jumma Mubarak! Baraka tele kwako na familia yako. Chakula cha familia kinahitaji moto wa uhakika na SEAGAS iko tayari. Piga 0800 723 666 kuagiza yako leo.
10
Funika sufuria, okoa gesi! Unapopika, funika sufuria na utumie moto mdogo, chakula kitachemka haraka na utatumia gesi kidogo. Boresha upishi na SEAGAS! Piga sasa 0800 723 666 uagize au ujaze tena.
10
Jumaa Mubarak familia! ✨ Iwe ni pilau, chapati, samaki ama chakula chochote unachopika leo, SEAGAS iko hapa kukupa moto thabiti bila wasiwasi. Baraka tele kutoka SEAGAS kwa nyumba yako.
11
Gas ikiisha ghafla, uko na back up? Usingoje gas iishe ndio uanze kuhangaika! Jiwekee akiba ya SEAGAS ili upike bila wasiwasi. Agiza SEAGAS yako kwa kutupigia kupitia nambari yetu ya bure 0800 723 666.
14
Heri ya Siku ya Mashujaa! Tunawakumbuka mashujaa waliopigania uhuru na wale wa kila siku wanaojenga Kenya kwa bidii. SEAGAS tunajivunia kuwapa gesi salama na ya kuaminika. Happy Mashujaa Day!
9
Wiki ya Huduma kwa Wateja Njema! Wiki hii tunakusherehekea wewe, mteja wetu, kwa kutuamini na kuchagua SEAGAS kila siku. Endelea kuboresha upishi na SEAGAS!
10
Happy Boyfriend’s Day! 🎉
21
Asubuhi ya pwani, moyo mtulivu! Seagas iko nawe kwa mahitaji yako ya jikoni. Tunakutakia wiki njema!
11
Kiungo kikuu cha mahamri ni kipi? Tuambie kwenye comment section.
14
Boresha upishi wako, boresha wiki yako. Tunakutakia wiki njema!
21
Jumma Mubarak kutoka Seagas!
1
17